Nikiwa kama mdau wa elimu, nafahamu kwamba kufundisha na ujifunzaji ni mchakato mgumu sana. Unahitaji utekelezaji na ufuatiliaji.
Katika insha hii, lengo langu halisi ni kuangalia cha kupaswa kufanywa ili kupatikane ufundishaji na ujifunzaji bora, yaani kwa maneno mengine, tupate elimu bora...