bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuongeza Uwazi na Uwajibikaji kwa Utawala Bora Endelevu nchini Tanzania

    Kuongeza Uwazi na Uwajibikaji kwa Utawala Bora Endelevu nchini Tanzania Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI: Andiko hili linajadili umuhimu wa kuongeza uwazi na uwajibikaji kwa utawala bora endelevu nchini Tanzania. Litaangazia athari za rushwa kwa uwajibikaji na utawala bora, mambo yanayochangia...
  2. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania SoC03 Malalamiko ya Bando na Huduma nyingine za Mawasiliano, tatizo kuu ni Kutofuata Misingi ya Utawala Bora, na suluhisho ni hili

     UTANGULIZI TCRA NI NINI ? Ni mamlaka ya Mawasiliano Tanzania ni taasisi ya Serikali inayosimamia sekta ya mawasiliano katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. TCRA ilianzishwa chini ya Sheria ya Mamlaka Mawasiliano Tanzania namba 12 ya mwaka 2003 baada ya kuunganishwa Tume ya Mawasiliano...
  3. October 2pm

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tutapata wapi viongozi bora wenye maadili?

    Habarini wakuu! Rushwa. Ufisadi, uhujumu uchumi na ubadhirifu wa mali za umma, ukandamizaji na ubinyaji wa haki za binadamu ikiwemo uhuru wa vyombo ya habari,Upindishaji wa haki na sheria, matumizi mabaya ya vyombo vya dola, unyanyasaji na ukosefu wa usawa wa kijinsia miongoni mwa kero na...
  4. Rwetembula Hassan Jumah

    JamiiForums Tanzania Chakula bora ni Dawa

    Habari, Chakula bora ni Dawa. Ila Dawa sio chakula Bora. Tumia chakula kama dawa. Usije jikuta unatumia dawa kama chakula.
  5. A

    JamiiForums Tanzania SoC03 Umuhimu wa utawala bora na uwajibikaji

    Utawala bora ni suala muhimu sana katika nchi yoyote ile. Katika nchi hii, utawala bora ulikuwa ni ndoto ya mbali kwa wengi. Serikali ilikuwa imejaa ufisadi na ukosefu wa uwajibikaji, na wananchi walikuwa wamekata tamaa na kukataa kuamini kuwa serikali yao ingeweza kuwa bora zaidi. Lakini siku...
  6. Engager

    JamiiForums Tanzania Kama lilikosekana Jina zuri la 'Bone Marrow' katika kiswahili, bora lingetoholewa hilo hilo la kingereza

    Ingekuwa nafuu hata tukisema 'Boni maro'. Yaani ndo UBOHO?! hivi aliyepitisha hili neno alikuwa mswahili kweli? Jamani Uboho inatia ukakasi kutamka. Ni nani mwenye mamlaka atuangalizie jina mbadala?
  7. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Huwezi amini huyu ni mtoto wa kiume

    Wanaume siku hizi tumekuwa wazuri hadi tunawazidi wanawake.
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Midundo (Beats) ya Hip Hop 50 Bora ya Muda Wote

    Kwa mujibu wa RAP CAVIAR na Spotify hizi ndio ngoma 50 zenye Beats kali kuwahi kufanywa. Una maoni gani hapa? 1. Still Dre - Dr. Dre & Snoop Dogg 2. Shook Ones Pt. II - Mobb Deep 3. Grindin' - The Clips 4. Who Shot Ya? - The Notorious B.I.G 5. A Mill - Lil Wayne 6. Power - Kanye West 7. Its...
  9. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Kipi ni kizazi bora kati ya 1980’S- 1990’S?

    Ndugu zangu, kizazi kipi hapa ni bora, 1980’S - 1990’S watoto wa 2000 hii mada haiwahusu.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Yanga Imetoa Wachezaji 7 kikosi Bora Cha Wiki CAF

    Hii ni rekodi nyingine kwa kikosi cha wiki cha Caf klabu ya Yanga kutoa wachezaji 7,itabaki na itaishi hii
  11. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania SoC03 Nafasi ya Uandishi wa Habari katika Kukuza Uwajibikaji na Utawala Bora nchini Tanzania

    Nchi yoyote inayotaka kuendelea inahitaji uwajibikaji na utawala bora. Katika Tanzania, vyombo vya habari vinalo jukumu kubwa katika kukuza uwajibikaji na utawala bora. Kupitia andiko hili, tutachunguza jinsi uandishi wa habari unavyochangia katika kukuza uwajibikaji na utawala bora nchini...
  12. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) kufanya uchunguzi wa kifo cha Mwanafunzi wa UDOM

    Katika kipindi cha karibu wiki mbili, Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imeona katika vyombo vya habari taarifa ya ajali ya gari iliyomhusu Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Afya), Mheshimiwa Dkt. Festo Dugange iliyotokea katika Jiji la Dodoma na...
  13. N

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji au Utawala Bora katika Nyanja Mbalimbali

    Utangulizi, Uwajibikaji na utawala bora ni misingi muhimu ya maendeleo endelevu katika jamii. Katika nyanja mbalimbali kama vile kisiasa, kiuchumi, na kijamii, uwajibikaji na utawala bora huchangia katika kuimarisha uwazi, ufanisi, na usawa. Lengo la makala hii ni kuchunguza umuhimu wa...
  14. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania SoC03 Namna Bora ya kuondoa au Kupunguza kabisa Ajali za Barabarani

    Ajali za barabarani nchini Tanzania zimekuwa ni janga ambalo limekosa ufumbuzi na linaloendelea kugharimu maisha ya watanzania wengi na kupoteza nguvu kazi ya Taifa.Licha ya kupoteza nguvu kazi ya Taifa lakini pia ajali hizi zimekuwa zikiwaacha watu na ulemavu wa maisha vilevile kuziacha familia...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Atoa Milioni 100, Kuongeza Uzalishaji Mbegu Bora

    RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan ametoa sh. milioni 100 kwa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI) Kituo cha Hombolo, kuongeza uzalishaji wa mbegu bora za mazao kwa wakulima. Akizungumza jijini hapa mwisho wa wiki, Meneja wa Kituo cha TARI Hombolo, Dk. Joel Meliyo alisema fedha hizo zimesaidia...
  16. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Elewa hivi ili usiwakatishe tamaa wengine ili ujisikie vizuri/ uonekane bora

    Kila mtu anamkatisha mwengine tamaa kwa namna moja au nyingine. Lakini ni juu yetu kupunguza hizo tabia, na kuruhusu wengine wawe bora zaidi. Unapoona mtu anajitahidi, usimshushe chini. Angalia maneno yako unayoongea. Maneno yako ni kioo cha akili yako. Inaonesha akilini mwako umejaza nini...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kipi ni bora, Watu au wanyama pori?

    Mhe. Waziri Mkuu aliwatuma Mawaziri wa kisekta kubaini mpaka halali wa Hifadhi ya Serengeti na Wilaya ya Tarime maeneo ya Gorong'a na Gibaso baada ya kilio cha muda mrefu kutoka kwa wananchi kuhusu mpaka huu. Matokeo ya Tume hiyo ni kuwa malalamiko ya wananchi wa eneo husika hayana mashiko...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Aziz Ki Kashinda Tuzo Mchezaji Bora wa Mwezi April

    Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga ya Dares Salaam, Stephane Aziz Ki amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Aprili wa Ligi Kuu ya NBC huku Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons, Abdallah Mohammed, akichaguliwa Kocha Bora wa mwezi huo. Kikao cha Kamati ya Tuzo za TFF kilichokutana Dares Salaam...
  19. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Ikatokea wanagawa tuzo kwa wasanii / watangazaji bora. Ungempendekeza yupi?

    Ungempendekeza msanii yupi wa bongo flaver, hip hop au muziki wa injili? Pia presenter (mtangazaji), mwanamitindo, msimulizi, muigizaji ama mchekeshaji yupi?
  20. S

    JamiiForums Tanzania Diarra kipa Bora ligi kuu NBC 2022-2023

    🥇 KIPA namba moja wa Yanga, Djigui Diarra amefikisha clean sheet 16 katika Ligi Kuu na zikiwa zimebaki mechi tatu kwa kila timu ili kukamilisha msimu tayari ametangazwa Kipa Bora wa msimu kutoka na na kuwa na clean sheet 16 hadi sasa ambazo haziwezi kufikiwa na kipa yeyote. 🧤
Back
Top Bottom