bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Simba itashika nafasi ya pili, na Azizi Ki atakuwa mfungaji bora

    Geita hawajawahi kufungwa na Azam pale kwao, leo wakifungwa wanashuka daraja, leo wakisare wanashuka daraja, wana mambo mawili, wakubali kuisaidia Simba ifuzu nafasi ya 2 na kujinusuru wasishuke daraja au kushuka daraja na kuipa Azam nafasi ya 2. Wakubali kushirikiana na mnyama ili wasishuke...
  2. JamiiForums Tanzania List ya Wasanii 10 bora kwa sasa Tanzania

    1. Marioo 2. Harmonize 3. Jay Melody 4. Mbosso 5. Jux 6. Chino 7. D. Platnumz 8. Zuchu 9. Alikiba 10. Nandy Hizo takwimu ni kutokana na performance zao huku mtaani ndani ya miaka mitano ya hivi karibuni kulingana na mtazamo wangu. Nipe List yako
  3. JamiiForums Tanzania Kusamehe ni njia bora ya kufungua milango yako ya baraka na kuondosha huzuni

    KUACHILIA/KUSAMEHE. Ni pale unapokuwa huru ndani mwako, Jambo hili linatupoteza wengi sana ,na mwishowe tunarudi kuwalaumu wachawi Kwamba ndio wanaotukwamisha mambo yetu kumbe hiyo ni sumu uliyokaa nayo ndani mwako ndio tatizo la mafanikio yako. Kuna mtu unakuta ametunza kinyongo, ametunza...
  4. JamiiForums Tanzania Tumalize Ubishi hapa: Ipi bora kati ya Chama kubaki Simba au kwenda Yanga?

    Salaam Wakuu, Kama ilivyo ada inapofika mwisho wa msimu baadhi ya Wachezaji pia humaliza mikataba na timu zao, Miongoni mwa Wachezaji waliomaliza mikataba yao kwa nchi yetu ni Cloatus Chota Chama ambaye kwa sasa anakipiga mitaa ya Msimbazi Kariakoo. Kutokana na umahiri wa mchezaji huyu...
  5. JamiiForums Tanzania SoC04 Changamoto ya kuheshimu haki za binadamu na jinsi filamu, muziki, na sanaa zinavyoweza kusaidia kufikia Tanzania bora

    Kuheshimu haki za binadamu ni mojawapo ya changamoto kubwa zinazokabili jamii nyingi duniani, na Tanzania haiko nyuma katika hili. Kwa muda mrefu, kumekuwa na matatizo ya ukiukwaji wa haki za binadamu, kama vile ukandamizaji wa uhuru wa kujieleza, ubaguzi wa kijinsia, na ukosefu wa usawa wa...
  6. JamiiForums Tanzania Kati ya Al Mudhish na Nido yapi na maziwa bora ya Unga

    Naomba kujua kwa undani maana naona bei ya Nido imechangamka kuliko Almudhish, je utofauti wake ni upi?
  7. JamiiForums Tanzania Kuna vitu ni muhimu sana lakini havionekani katika hali ya ubora na kuna vitu ni bora lakini kuna wakati si muhimu kwa kiwango chake

    KUWA MUHIMU NA SI BORA Na Comrade Ally Maftah Bahati ninayoipata kijenga marafiki imenikutanisha na Abdulkarim, katika harakati za kisanaa tukiwa katika moja ya kikao nilibahatika kuokota busara kadhaa kutoka kwa kiongozi huyu. KUWA MUHIMU NA SI BORA Kuna vitu ni muhimu sana lakini...
  8. JamiiForums Tanzania Kanuni ipo hivi kwa mfungaji bora wa ligi kuu NBCPL msimu huu 2023/24

    Tupo mwishoni mwa ligi kuu ya NBCPL msimu huu 2023/2024 ambapo mei 28 2024 ndiyo tamati yake hadi sasa vita vikubwa ni Aziz Ki na Feisal katika kuibuka mfugaji bora, vita nyingine ni ya AZam fc na Simba sc kumaliza nafasi ya pili. Sasa tukitazama katika upande wa mfungaji bora ambao wanalingana...
  9. JamiiForums Tanzania Nani mchezaji wako bora wa Yanga (MVP) kwa msimu huu wa 2023/24

    Naaaje wazee! Kwa Sisi wadau wa soka la nyumbani uhondo wetu unafikia mwishoni. Mpaka sasa Wananchiiiii wamesepa na kikombe Chao huku watani zao wakiendelea kujitafuta kupambania nafasi ya pili na dhidi ya wana lambalamba. Tukirudi kwenye mada, msimu huu ni miongoni mwa misimu Bora kwa Young...
  10. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 10% mikopo inayotolewa na almashauri kwa vijana ni bora ikajenge vyuo vya ufundi ilikuwa na wabunifu wengi kuendana na kasi ya teknolojia duniani

    Ili Tanzania kuendana na kasi ta teknolojia duniani ni lazima tuwe na vyuo vingi vya ujuzi angalau kila wilaya, ilikusudi wale wanao onekana wameshindwa mitohani basi baraza liwachague kwenye hivyo vyuo vya ujuzi kuliko kuwaacha wakae mitaani tu hali zikisha kuwa ngumu za maisha ndo wanageuka...
  11. JamiiForums Tanzania Gypsum bora kwa sasa

    Habari wakuu, Kumekua na aina/brand nyingi sana za gypsum boards siku za karibuni. Katika ufuatiliaji wangu, nimekutana na brand zifuatazo: Made in India(bei kubwa Tsh 22000-27000) -Gyproc -Oriana Made in Thailand [Tsh 24000-27000] -Standard gypsum made in Tz (bei nafuu Tsh 12000-16000)...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Utamaduni wa kiafrika ndio utamaduni bora zaidi duniani.

    Utamaduni wa kiafrika ndio utamaduni bora zaidi duniani na unaoendana na matakwa kamili ya Mwenyezi Mungu kwani unazingatia maadili mema na upendo miongoni mwa jamii. Ni muda sasa tuubadili utamaduni wetu kuwa dini kama waarabu walivyofanya utamaduni wao kuwa dini...
  13. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Afya Bora taifa bora

    Taifa Lina hitaji nguvu kazi na nguvu kazi vijana wanali hitaji taifa. Ili taifa kiendelee linahita vijana wenye afya Bora na sio Bora afya je nn kifanyike vijana wabaki kuwa na afya Bora na wananchi wengine. Vifuatavyo vizingatiwe. Vijana wafanye mazoezi mara Kwa mara mana mazoezi n Tiba Kwa...
  14. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Afya bora Kwa vijana bora wa taifa la kesho inawezekana

    Taifa Lina hitaji nguvu kazi na nguvu kazi vijana wanali hitaji taifa pia kuonyesha uwepo wetu Ili taifa liendelee linahita vijana wenye afya Bora na sio Bora afya je nn kifanyike vijana wabaki kuwa na afya Bora na wananchi wengine pia Vifuatavyo vizingatiwe. Vijana wafanye mazoezi mara Kwa...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kwa mashabiki wa Simba

    Ipi ni nafuu kwa watu wa Simba kati ya possibilities hizi: Simba kushika nafasi ya tatu na Feisal kuwa mfungaji bora; au Simba kushika nafasi ya pili na Aziz Ki kuwa mfungaji bora
  16. JamiiForums Tanzania Ni nani mchezaji wako bora wa Simba SC kwa msimu huu wa 2023/24?

    Naaaje wazee, Ligi ya NBC inaelekea ukingoni huku Bingwa akiwa ameshafahamika tayari. Kwa sasa vita ipo sehemu nne tu: 1. Nafasi ya Pili 2. Nafasi ya nne 3. Kujinasua kucheza Playoff 4. Kujinasua kushuka daraja Tutakuwa tunakutana kwenye nyuzi kujadili mambo mbalimbali ya msimu huu unaoisha...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa njia bora ya kuendesha Microfinance

    Wadau wa Jamiiforums mnipe MBINU na njia sahihi ya uendeshaji wa Microfinance. Eli Mimi na wateja wangu wote tufaidike, wao wapate mkopi nafuu wenye kutimiza malengo yao, na Mimi nipate japo faida kidogo. Kwa Sasa interest rate yangu 3.5% Kwa mwezi (0.035%). Gharama nyingine ni ndogo sana...
  18. JamiiForums Tanzania SoC04 Ili kuwa na familia imara na viongozi bora wa baadae Tanzania ifundishe somo la “Utaifa” kuanzia darasa la awali

    ILI KUWA NA FAMILIA IMARA NA VIONGOZI BORA WA BAADAE TANZANIA IFUNDISHE SOMO LA “UTAIFA” KUANZIA DARASA LA AWALI ILI KULINDA TAMADUNI ZETU NA KUJENGA JAMII YENYE MAADILI MEMA. SHULE AU DAY CARE ZA MITAANI PIA ZISHIRIKISHWE MAANA WATOTO WANASHINDA HUKO. Kabla sijaanza anaomba nitoe Maana ya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Misingi bora ya malezi, Tanzania bora

    MALEZI YENYE MISINGI YA KUMCHA MUNGU, UWAJIBIKAJI NA KURIDHIKA. Katika miaka ya sasa hivi wazazi wengi wamekua wakijikita sana katika shuguli za utafutaji kiuchumi ili kukidhi mahitaji ya familia zao na kupelekea upande wa malezi kwa watoto kutotiliwa mkazo na wazazi kama miaka ya zamani. Hali...
  20. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania mpya yenye matumizi bora ya nishati ya gesi asilia

    KURASA 1: UTANGULIZI Maono ya Serikali hivi karibuni yameonyesha ni jinsi gani imepania kufanya mapinduzi ya sekta ya nishati hapa nchini, rejea maagizo ya viongozi wetu wa juu hasa Mheshimiwa Rais Chanzo: Mwananchi Pia, Rais Samia hakuishia hapo alitoa agizo kwa mheshimiwa Waziri Dkt. Seleman...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…