Kwa upande wako kiongozi mwenye sifa zipi ndiye mtawala bora?

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,245
4,339
Moja ya sifa ya kuna demekrasia ni uwepo wa utawala bora, dhana hii ya utawala bora imekuwa na mtazamo tofauti tofauti kutoka kwa mtu mmoja kwend akwa mwingine, kila mtu amekuwa akiweka kipimo cha kumjua mtawala bora kulingana na na jinsi alivyokuwa akitegemea kuongozwa na mtawala au kiongozi.

Wapo wanaosema kiongozi au mtawala bora ni mwenye kaliba ya upole wengine ukali, wengine anaechukua hatua papo kwa papo wengine anaeachia mchakato ulioratibiwa wa namna ya kuchukua hatua dhidi ya jambo fulani, wapo wanaotaka anayefanya miradi wengine anaewafanya watu waone unafuu wa maisha, ilimradi kila mtu ana mtazamo wake.

Ukiachilia mbali sifa za jumla za kiongozi au mtawala aliye bora kama anatakiwa kuwa muwajibikaji, muwazi na anayezingatia mamlaka ya katiba kwako sifa zipi ukiziona unasema hakika huyu ni kiongozi au mtawala bora, au ungetamani kumpata kiongozi mwenye sifa zipi ili uone umepata mtawala aliye bora?
 
Kiongozi mwenye hekima za uongozi huyo ndio kiongozi bora,, anapaswa atambue maamuzi sahihi kwa kila situations,, lakini kwa sasa ningependa tuwe na mitazamo ya kuifanya Afrika kuwa nchi as professor Lumumba do,, hii migogoro yote ya ndani ya Tanzania itaisha tu if new country is formed,,

We need new country
We need one currency (called afro for now)
We need one language
We need one system in education one policy, one ruling system
We need free movement of people in our continent
We need Africa to have a power as our defense against the third parties
Africa we must have a value in this world
 
Another sifa is uzalendo is a mojor criteria for a good leader in general for all criterias is wisdom
 
Kwangu kiongozi bora ni yule alisiye na sifa za mtawala

I don't think if you're right or not, but there is so many ways for someone to be mtawala,, unaweza kuwa mtawala wa haki (hekima) i can term this as a Gift, lakn pia unaweza kuwa mtawala ambaye si wa haki (dictator) yan kukosa hekima za uongozi ila unalazimisha tu
 
A ruler is someone wh gives orders but a leader is someone who stands by his fellows and bears the difficulties with them
 
All of them are rulers one is leading psychologically but both of them are rulers, someone who failed to lead people psychologically some people may defines in bad way as yourself
 
Moja ya sifa ya kuna demekrasia ni uwepo wa utawala bora, dhana hii ya utawala bora imekuwa na mtazamo tofauti tofauti kutoka kwa mtu mmoja kwend akwa mwingine, kila mtu amekuwa akiweka kipimo cha kumjua mtawala bora kulingana na na jinsi alivyokuwa akitegemea kuongozwa na mtawala au kiongozi.

Wapo wanaosema kiongozi au mtawala bora ni mwenye kaliba ya upole wengine ukali, wengine anaechukua hatua papo kwa papo wengine anaeachia mchakato ulioratibiwa wa namna ya kuchukua hatua dhidi ya jambo fulani, wapo wanaotaka anayefanya miradi wengine anaewafanya watu waone unafuu wa maisha, ilimradi kila mtu ana mtazamo wake.

Ukiachilia mbali sifa za jumla za kiongozi au mtawala aliye bora kama anatakiwa kuwa muwajibikaji, muwazi na anayezingatia mamlaka ya katiba kwako sifa zipi ukiziona unasema hakika huyu ni kiongozi au mtawala bora, au ungetamani kumpata kiongozi mwenye sifa zipi ili uone umepata mtawala aliye bora?
Asitokane na CCM.
 
Tatizo tulilonalo kubwa waafrica ni kuto kuhoji na hili tatizo linaanzia kwenye ngazi ya familia mambo mengi yamevurugika kwenye jamii sababu ni kuto kuhoji,
 
Back
Top Bottom