bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania Mwanariadha Simbu aweka muda bora 2:04:38 Valencia Marathon 2024

    Mwanariadha wa Tanzania Alphonce Felix Simbu ameshika nafasi 4 kwa muda wa saa mbili , dakika 4 na sekunde thelathini na nane ( 2:04:38 PB) na kuweka muda bora zaidi ya uliopita wa (2:05:39 huko China) kwenye mbio za Valencia Marathon 2024 huko Valencia, Uhispania. Mashindano hayo yamefanyika...
  2. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa yatangazwa mshindi wa kwanza tuzo ya umahiri katika utayarishaji bora wa taarifa za hesabu kwa mwaka 2024

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imeendelea kung'ara katika uwanja wa usimamizi wa fedha za Umma. Katika hafla ya tuzo iliyofanyika usiku wa tarehe 29 Novemba 2024, DCEA ilitangazwa mshindi wa kwanza tuzo ya umahiri katika utayarishaji bora wa taarifa za hesabu kwa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mgodi wa barrick north mara washinda tuzo kubwa za mwajiri bora 2024

    Naibu Waziri Mkuu Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Dotto Biteko akitoa pongezi kwa Meneja Uhusiano wa Barrick, Georgia Mutagahywa kwa ushindi wa North Mara baada ya kumkabidhi. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Mhe. Ridhiwani Kikwete (kushoto)...
  4. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Nchi hii tuna bora viongozi na si viongozi bora

    Wasalaam, Leo naandika kwa uchungu sana kuhusu tabia ya makampuni ya simu hasa hawa tigo kukwepa kodi kila baada ya miaka 5. Serikali ina viongozi ambao wengi wapo pale kwa maslahi yao na si watanzania. Tangu jana nawapigia ndugu zangu waliopo tigo najibiwa kwamba namba unayopiga haipo...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi Wafundishwe Nidhamu Bora na Tamaduni za Kitanzania: Bashungwa

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) ametoa wito kwa Wazazi, Walezi na Walimu kuwalea, kuwaandaa na kuwafundisha Wanafunzi katika misingi ya nidhamu bora na tamaduni za kitanzania ili iweze kufaa katika jamii na kuwa na mchango kwa Taifa kupitia taaluma zao. Bashungwa ameeleza hayo Novemba...
  6. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete atabaki kuwa Baba wa Demokrasia bora Tanzania kupita Marais wote waliopita na wajao

    Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Nimefikilia sana leo juu ya uchaguzi ulivyo fanyika, kulinganisha na chaguzi zingine zilizo pita chini ya maraisi mbalilmbali Tanzania Nikabaini kuwa mh.kikwete miaka yake kumi alifanya bora zaidi ya katika kuruhusu democrasia ya kweli. - Watu wali...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ni bora Vijana Watanzania tungepigania Maslahi ya nchi yetu sababu huko kwenye kushabikia mpira muda wote hatujapa tija ya kutosha kwenye maisha yetu

    Licha ya sisi vijana kushabikia Simba na Yanga muda wowote bado hutujafanikiwa kutambulika kimataifa kama nchi ya Nigeria na nchi zingine za Afrika Magharibi na Kaskazini wanaofanya vizuri kwenye Soccer na pia hata kwenye kupigania mustakabali wa maisha yao hawapo nyuma. Bora hata jirani zetu...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Mdada kaniomba nimunulie Kiatu, bei yake laki na nusu! Bora ninnue ndama

    Wakuu habari. Jana kwenye jukwaa la Love niliandika Uzi wa kutafuta mwanamke!. Nikifanikiwa kupata DM za wanawake 2 tu mmoja Yuko Mwanza mwingne Mwanza. Kwasababu Niko Kanda ya ziwa huyu wa Mwanza nikaona atanifaa. Basi bhana Leo mchana Fulani nimejibeba Hadi nikaenda kuonana na huyo Bidada...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Picha bora kabisa ya mwezi huu wa Novemba 2024

    Kichwa cha habari chahusika
  10. PROFOUND NOTION

    JamiiForums Tanzania Ni bora nife nikifukuzana na ndoto zangu kuliko kufa njaa kwenye dunia isio na haki

    Kipi special sanaa katika hii dunia kinachoweza kunijali kwa dhati eti nikionee huruma??? Eti kinifanye nicheze kwa standards zilizo fair, hakipo, so ni muda wa kuwa ruthless. Anaekuhubiria uache pombe, anatembea na mke wako Anaekukamata haujalipa kodi, anapita na pesa zote za mradi wa mtaani...
  11. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Magodoro bora na yanayodumu: Ushauri Kati ya QFL, COMFY, VITARAHA, TANFOM, SPRING n.k

    Habari wanaJamiiForums, naomba ushauri wenu/kuukiza kuhusu magodoro bora na yanayodumu kwa muda mrefu. Mwaka 2021 nilinunua godoro la kampuni ya super banco toka kipindi hicho mpaka sasa ni miaka 4, lakini sasa limeanza kumomonyoka na haliwezi tena kutumika. Imrnilazimu kuingia tena dukani...
  12. koboG

    JamiiForums Tanzania Yanga yetu ifanye hivi ili iwe bora

    Pole kwa maumvi wanayanga wenzangu mimi nachona tumfuke Ally Kamwe, Manara arudi kundini afu Eng.Haris abadilishiwe majukum arudi akasimamie makampuni ya GSM hapa tutakua tumeula Nb: Hii mbini ya kudhamini team za ndani haitusaidii tuachane nayo inaficha udhaifu wetu tunazidi kuifanya simba kua...
  13. L

    JamiiForums Tanzania JF MUSIC AWARDS: Upi wimbo bora wa mwaka 2024 kutoka kwa wasanii wa kurap Tanzania?

    Karibu kwenye kipengele hiki kizito cha upi wimbo ulio bora na umefanya vizuri kwa wasanii wetu wa kurap Tanzania. Piga kura ili tumpate mshindi. Tuzo za Tanzania huwa zinalalamikkiwa kwa kukosa uwazi, sasa hizi atakeyekuwa na kura nyingi ndie ataibuka mshindi. Malengo siku moja, sisi wanachama...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Safari ya Malezi Bora wakati huu wa likizo

    Wakati wa likizo ni fursa ya kipekee kwa mzazi au mlezi kujenga uhusiano bora na mtoto. Huu ni muda wa kumfundisha ujuzi muhimu kama vile usafi, kupika, kuogelea, au hata kutembelea maeneo ya kufurahisha. Mbali na hilo, likizo ni wakati wa kuonesha upendo kwa mtoto wako, kumfundisha kujieleza...
  15. NguoYaSikuKuu

    JamiiForums Tanzania Yupi CEO wako bora kuwahi kutokea Tanzania? Nchi masikini zinafeli wapi!?

    Hodi Jamvini, Nawasilisha mada hapo juu kuhusu dhana ya MaCEO's ambayo huku ipo lakini naona bado ipo duni sana. Kwenye suala la utendaji hatupimani kabisa kuhusu performances. Unakuta mtu ni mtendaji mkuu wa kuajiriwa iwe ni sekta binafsi au serikali yupo miaka mingi lakini bado Shirika au...
  16. L

    JamiiForums Tanzania JF MUSIC AWARDS: Upi wimbo bora wa mwaka Afrika kutoka kwa msanii wa kike?

    Helo! Zoezi la upigaji kura kwa ajili ya tuzo hizi umeanza. Pigia kura wimbo wako bora kati ya wasanii hao waliofanya vizuri Afrika kwa mwaka wa 2024.
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania SMZ Imedhamiria Kujenga Makaazi Bora kwa Wananchi-Rais Mwinyi

    SMZ IMEDHAMIRIA KUJENGA MAKAAZI BORA KWA WANANCHI-RAIS MWINYI. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuanzia sasa Serikali itawafidia nyumba bora wananchi wanaotoa maeneo yao kupisha miradi ya maendeleo. Rais Dk. Mwinyi amefahamisha kuwa...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Kati ya PVC board na Gypsum Board ipi ni bora?

    Naomba mnijuze wanajf na wataalamu wa ujenzi!Mimi kwenye eneo hili sielewi chochote hasa ni kwa kuwa wengine tulizaliwa enzi zile za kutumia silingi bodi!Ninaomna mnielimishe boards nzuri kwa ndani ni zipi kati ya PVC na hizo gypsum!!
  19. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Sio vibaya ukianza kwa ku-share tracks tano za rap bora uzipendazo za muda wote

    1: Nas - New York State Of Mind "I never sleep, cause sleep is the cousin of death. Beyond the walls of intelligence, life is defined. I think of crime when I'm in a New York state of mind" 2: Ice Cube - Today Was The Good Day "Get me on the court and I'm trouble Last week, messed around and...
  20. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Nani ni Brand ambassador bora Tanzania kwa sasa kati ya Babalevo, Idriss Sultan, Mwijaku na Joti?

    Nilikuwa natazama nominations ya tuzo fulani hapa Tanzania. Nikaona majina ya brand ambassadors wanaochuana kama mnavyoona kwenye picha. Kwa mtazamo wako unadhani ni nani bingwa hapa kwa kuitambulisha bidhaa kwa mteja na ikamvutia na kuitumia? Mimi kwa sasa nasimama na Babalevo.
Back
Top Bottom