bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Bora nirudi kwa wazazi wangu wanifunze upya

    "Based on a True Story " SEHEMU YA 1 "Tina! twende baba yangu amekuja" Haya ni maneno ya rafiki yangu Emmy mchana ya Siku ya jumamosi ya mwisho wa mwezi. "Mmh! Wewe nenda ukirudi utanikuta" nikamjibu " Twende nikakutambulishe baba yangu hana shida, lazima ameniletea chakula na huku bwenini...
  2. JamiiForums Tanzania Iangaliwe namna bora ya kuwanusuru watoto na madhara ya kitabia migodini

    Hivi mbona swali hili sijawahi kupata majibu yaliyonyooka? Ni kwa nini watu hawa wanatukana sana katika baadhi ya mazingira yao ya kazi? TANESCO (WAKIWA SITE) WANAJESHI (KWENYE OPERATION NA MAZOEZINI) WATU WA MADINI (MACHIMBONI) WAJENZI (WANAPOKUWA SITE) Na kadhalika na kadhalika, kiufupi kazi...
  3. JamiiForums Tanzania Like Stars on Earth: Filamu Bora kwa Wazazi na Walezi.

    Filamu ya Like Stars on Earth ya mwaka 2007 ni moja ya kazi bora za sanaa zinazogusa kwa undani masuala ya malezi, elimu, na namna tunavyowahukumu watoto katika jamii ya kisasa. Imeongozwa na Aamir Khan na Amole Gupte, na inajumuisha nyota wa filamu kama Darsheel Safary, Aamir Khan, pamoja na...
  4. JamiiForums Tanzania Kukosa Majibu Katika Ujenzi wa Majengo ya Elimu na Afya, bila kujali matumizi Bora ya Ardhi upande wa Tanzania Bara

    Katika kipindi hiki, kumekuwepo na hali ya kushangaza kuhusu sera za serikali, hasa zinazohusiana na ujenzi wa majengo ya taasisi za elimu na afya. Serikali ya awamu ya sita imeweka marufuku juu ya ujenzi wa majengo ya ghorofa, jambo ambalo linaweza kuonekana kuwa na athari kubwa katika...
  5. JamiiForums Tanzania Ipi simu bora kati ya iphone 12 pro na Samsung Galaxy A35 mwaka huu 2025?

    Leo nimeenda dukani kununua Galaxy A35 yenye storage ya 256 GB na kwa bahati mbaya sikuipata. Katika kuangaza macho nikaiona iphone 12 pro used ina battery health ya 86%. Nikavutiwa kuikagua na kweli bado ina vitu kadhaa vinavyovutia ila sikushawishika kuinunua hiyo pamoja na kuwa na bei sawa...
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri juu ya heater bora kwa ajili ya nyumba ya vyumba 4

    Waungwana, amani na iwe kwenu. Bila kupepesa macho, naamini hapa ni sehemu sahihi kwa ajili ya hili suala linalonitatiza. Ntajitahidi nieleze kwa ufupi. Nipo katika hatua za mwisho za kufanya ukarabati wa nyumba kwa ajili ya kuweka wapangaji. Nyumba ina vyumba 4. Mojawapo ya amenities ambayo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Dube sio level ya kimataifa. Ni bora wacheze Mzize na Musonda kama washambuliaji. Dube apumzike

    Hii ni fact Dube kaja kuirudisha yanga nyuma
  8. JamiiForums Tanzania Yupi ni mke bora kati ya hawa?

    1. Mke anayekaa nyumbani: Huyu anajitolea muda wake wote kuhudumia familia, kulea watoto, na kuhakikisha nyumba iko sawa kila siku. 2. Mke mwajiriwa: Huyu anafanya kazi na anaingiza kipato cha kusaidia familia. Anaendelea na ndoto zake za kikazi lakini pia anajaribu kusawazisha kazi na maisha...
  9. JamiiForums Tanzania Basic salary 390,000 - mkopo, take home Laki na thelasini, mtumishi wa umma, na bado tunataka huduma bora zenye ufanisi!

    Kuna sehemu nimeiona hii salary slip nimeshangaa sana wazee, Nchi inayoelekea uchumi wa kati, Mwaka huu bado kuna watu wanalipwa hvyo toa mkopo mtu anabaki na laki na theraaini kwa mwezi, na tunataka huduma bora na nchi imeimarika kiuchumi! Hii ni kada gani hapa nchini?
  10. JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa China na Afrika waonyesha mfano bora wa kuendeleza ustawi wa pamoja

    Wakati mwaka mpya unapoanza, Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi, ameanza ziara yake ya kwanza nje ya nchi kwa mwaka 2025 kwa kutembelea bara la Afrika, akiendeleza utamaduni wa diplomasia unaotimiza miaka 35. Ziara hii inaonyesha ahadi ya kudumu ya kuimarisha ushirikiano na Afrika na...
  11. JamiiForums Tanzania Tangu Taifa la Tanzania lipate uhuru hajawahi kutokea mwanasiasa bora na mzalendo kama Lissu. Kila atakayeshindana naye ataanguka

    Hakuna aliyewahi kuthibitisha kuwa Tundulisu amewahi kuhujumu mali au fedha za umma hata sh. Mia mbili. Hajawahi kuwa muoga kwasababu ya maslahi. Anaposimamia jambo uhai wake huuweka pembeni kabisa. Awamu ya tano kila walipotafuta mpenyo wamfunge afie jela hawakuona hata kadirisha kaliko wazi...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Watoto wetu wanaosoma English medium wanafanya vizuri kitaaluma, wanapata lishe bora na maisha bora na wanaandaliwa vizuri tofauti na wenzao

    Wadau hamjamboni nyote? Tafakuri ya kina kwa wenye hekima Hata sisi wazazi wao tulifeli siyo kwa kukosa akili bali tulikosa wanayopata Watoto wetu. Dominika njema
  13. JamiiForums Tanzania Bora kuoa single mother

    Wakulu Nyie ambao mko na interest ya kuoa ni Bora kuoa single mother kuliko Hawa ambao Bado hawana watoto au mtoto hata mmjo.. Kuoa single mother inakupa uhakika kuwa shamba mbalo unaenda kupanda mbegu Lina rutuba ya kutosha Kwa kuzalisha mazao nadhani hapo tumeelewana, maana tofauti na hiyo...
  14. JamiiForums Tanzania kuifanya ndoa yako kuwa bora zaidi na imara hebu zingatia haya machache

    uzi huu nikwaajili ya watu wote yani wale waliopo kwenye ndoa na hata wale ambao bado hawajaingia kwenye ndoa hebu zingatieni vitu hivi ili kuifanya ndoa yako kuwa bora na yenye furaha zaidi, ndoa yenye amani, upendo, uvumilivu, kujali, kusaidiana, kusikilizana, kuelewana n.k kulingana na...
  15. JamiiForums Tanzania Wanawake uswahilini wanaishi maisha magumu sana jijini hapa; bora hata waliopo vijijini huko

    Kama kawaida yangu ya kuchanja mbuga mitaa ya watu, Ijumaa hii nilijikuta nikiangukia mitaa ya Vingunguti. Kusema kweli, mengi niliyoyaona yalifungua macho yangu kuhusu hali halisi ya maisha ya wanawake wanaoishi maeneo haya. Machache yafuatayo yanaweza kutoa taswira: 1. Wanawake wa huku ni...
  16. JamiiForums Tanzania Wanawake na ‘Soft Girl Era’: Ni Starehe tu au Ni Uthubutu wa Kuishi Maisha Bora?

    Katika zama hizi, dhana ya “Soft Girl Era” imechukua kasi kubwa, hasa kwenye mitandao ya kijamii. Wanawake wanajitokeza wakipigia debe maisha ya utulivu, starehe, na kujitunza—mara nyingi wakitoa picha za maisha yenye mwonekano wa kifahari na uzuri wa kila aina. Lakini hii ina maana gani? Je, ni...
  17. JamiiForums Tanzania Ndio kwanza Januari 2, ila huu mwaka bora uishe tu

    Nilikuwa nausubiri sana huu mwaka 2025 coz ilikuwa Aprili niende abroad kwa masomo ya juu zaidi kwangu. Lakini leo nimepokea taarifa kwamba ufadhili wangu huo umesogezwa mbele ni mpaka mwakani. Huu ufadhili nimeusubiri kwa mwaka mzima na ndio ilikuwa achievement yangu ya 2025. Na wewe umepigwa...
  18. JamiiForums Tanzania Kumi(10) bora ya Mawaziri waliofanya vizuri sana 2024 hii hapa

    Hongereni na mwaka mpya. Nimeona nilete mtazamo wangi kuhusu Mawaziri waliofanya vizuri sana kwa mwaka 2024. 1. Hussein Bashe - Kilimo 2. Dorothy Gwajima - Maendeleo ya jamii. 3. Jerry Silaa (Wa ardhi, nyumba na makazi sio kwenye Wizara ya sasa) 4. Jumaa Aweso-Maji 5. Ummy Mwalimu-Akiwa Afya...
  19. JamiiForums Tanzania Kati ya Serie A na la Liga ipi ligi Bora

    Naombeni majibu yenu wakuu, Hizi ligi mbili nilizozitaja ipi ni Bora na yenye ushindani maana kuna ubishani hapa Baa Leo mpaka watu wanataka kupigana Yani mwaka mpya wanataka kuanza na majanga kwakua JamiiForums ni kisima Cha maarifa nikaona nilete huu mzozo umu Ili mnifafanulie
  20. JamiiForums Tanzania Automatic door lock nimebuni mwenyewe tunaweza kuiboresha pia ikawa Bora zaidi

    https://youtu.be/9kXhJgeaBms?si=DL79cRrrlihd_3Z0 Mm ni mbunifu hivo nabuni kulingana na mazingira yangu Wakosoaji ruksa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…