bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    JamiiForums Tanzania Mchezaji bora chipukizi

    Kutoka Nchini Cameroon 🇨🇲, Mchezaji wa klabu ya Victoria United, Wilfried Nathan Douala ambaye ni Kiungo mwenye umri wa miaka 19, ameshinda Tuzo ya Mchezaji Bora Chipukizi wa msimu huu Nchini Cameroon. Ikumbukwe kwamba Mchezaji huyo alikuwa miongoni mwa Wachezaji waliokuwa wakiunda kikosi cha...
  2. JamiiForums Tanzania Picha BORA kabisa ya Mwaka

    A picture that speak louder than words Wakati ukifika ambapo ukombozi kamili wa Taifa hili ukikamilika picha kama hizi zitapamba Makumbusho ya taifa na zitaishi vizazi kwa vizazi kutambua mchango mkubwa wa watu walio weka rehani maisha yao kwa sababu ya kupigani haki na misingi yake NO REFORM...
  3. JamiiForums Tanzania Vyuo Bora vya IT Tanzania (Upande wa Practical Skills)

    1/ Katika kipindi hiki cha maendeleo ya kiteknolojia, tunahitaji kujadili kwa kina: Ni chuo gani nchini Tanzania kinachofanya vizuri zaidi katika kufundisha IT kwa vitendo na kuzalisha vijana wenye ujuzi? 2/ Ninazungumzia practical skills — sio tu vyeti. Tunazungumzia mafunzo yanayowaandaa...
  4. JamiiForums Tanzania Vyuo Bora vya IT Tanzania (Upande wa Practical Skills)

    1/ Katika kipindi hiki cha maendeleo ya kiteknolojia, tunahitaji kujadili kwa kina: Ni chuo gani nchini Tanzania kinachofanya vizuri zaidi katika kufundisha IT kwa vitendo na kuzalisha vijana wenye ujuzi? 2/ Ninazungumzia practical skills — sio tu vyeti. Tunazungumzia mafunzo yanayowaandaa...
  5. JamiiForums Tanzania Yesu ndio anabaki kuwa "religious figure" bora kuwahi kutokea. Katika safari yake hakuagiza damu yoyote wala hakufanya figisu kuufikia umashuhuri.

    Sijali kama utamuita Mwana wa Mungu, Nabii au Mwalimu. Ila katika maandishi ya vitabu na simulizi hatujaona mahara alisema mchukie wayahudi kwa kunikataa, muaue waroma kwa kunisurubu na muangamize wote wasiotaka kufata kile nilichowafundisha. CHRIST IS KING
  6. JamiiForums Tanzania Bora kusomea Degree nyumbani Tanzania halafu Masters Nje kama una uwezo?

    .
  7. JamiiForums Tanzania Bora Simba Sc wafungwe maradufu ili CCM wakome Kuvuna wasipopanda

    GT Mimi ni simba ila kitendo cha maCCM kuzichukulia timu zetu kama sehemu ya propaganda na campaign kuelekea uchaguzi mkuu kinanikera sana. Kwa maana hiyo basi ili kuwakomesha hawa maCCM na kuwaziba midomo maana siwapendi acha tu simba sc wafungwe tu na wasichukue kombe kabisa. Kama maCCM...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Bora chadema ife tu

    Haya mambo ya utekaji yataondoka Unaona ilipokufa cuf Zanzibar imetulia? Ikifa chadema haya mambo ya watu kupotea yataondoka.
  9. JamiiForums Tanzania REA YAENDELEA NA UHAMASISHAJI MATUMIZI BORA YA NISHATI YA UMEME, NA UUNGANISHAJI WATEJA MKOA WA MOROGORO

    📌Wananchi wapewa elimu matumizi bora ya nishati ya umeme 📌Wahimizwa kujiunganisha na huduma ya umeme 📌Wananchi wahamasika na UMEME TAYARI ( Ready Board) Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeendelea kuhamasisha matumizi sahihi na endelevu ya umeme kwa Watanzania ikiwa pamoja na kutoa elimu...
  10. JamiiForums Tanzania Mume bora ni yupi?

    Leo nataka niwasaidie wadada kwenye mahusiano. Na ukinielewa leo hauwezi ukaingia kwenye hizi kesi ambazo zimetesa wanawake wengi, wadada wengi sana. Unaingia kwenye mahusiano na mwanaume anakupa mimba anakuacha. Nataka niwaambie wanaume wanaofanya hivi wanakosea sana na ni uovu mbele za Mungu...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje Baba miaka 30 unahangaika kwenye nyumba za upangaji?

    Hivi inakuaje baba Zima miaka 30 unahangaika kwenye nyumba za upangaji huwa nawashangaa majitu kama haya aisee Tanzania ilivyokua na ardhi kubwa hivi watu tunajimegea tu aisee nyie wazee acheni ujinga jengeni muishi na familia zenu sio mnakaa mnanig'inia kwenye nyumba za kupanga nyie Sasa ni...
  12. JamiiForums Tanzania Maghayo & Bichwa KOMWE ndio Couple bora ya Muda wote kuwahi kutokea JF

    Mzuka wana Jamvi ? Yerereeeeeerreereerreereyere ree!!! Zimepita couple nyingi Jf Real na Fakes , Serious and for Jokes , Za Siri na za Wazi ila mpka sasa sijaona ya kufika kati ya Maghayo The Mongolian Savage na Binti mrembo pisi Kali Jf nzima BICHWA KOMWE - Tokea Jambo forum mpk sasa Jamii...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini Max Mpia Nzengeli ni Bora kuliko Elie Mpanzu Kibisawala

    Ndio, hata kama hamtaki lazima tukubali kuwa kuna baadhi ya wachezaji ni wazuri sana kwenye aspect ya dribbling lakini sehemu nyingine si wazuri sana, ndio mana hata kwasasa Mzee wa uwalaza Mutale anaonekana anafanya vizuri kuliko mkimbiaji na dribbler Kibisawala kwasababu ukitoa dribbling kwa...
  14. JamiiForums Tanzania JE WALIJUA SHAMBA LA KUKU BORA?

    🐓S&Q_GROUP_INTERNATIONAL LIMITED🐓 AGIZA NASI VIFARANGA BORA KWA VIWANGO VYA KIMATAIFA 0781647066 ____________________________________________ 📠☎️ 0781647066 WAZALISHAJI WAUZAJI NA WASAMBAZAJI WA VIFARANGA BORA VYA KUKU WA NYAMA PAMOJA NA KUKU WA MAYAI TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM , DODOMA NA...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Je, Unahitaji Spare Parts Bora na Huduma za Kuaminika? Jerry Spare Parts and Services Ndiyo suluisho

    Je, umewahi kuhitaji spare parts za magari na kutafuta sehemu za ubora? Au pengine unahitaji huduma za kutunza gari lako ili likuweke kwenye hali nzuri? Jerry Spare Parts and Services inakuletea suluhisho bora! Kuhusu Jerry Spare Parts and Services:Jerry Spare Parts ni duka la kuaminika...
  16. JamiiForums Tanzania Namna bora ya kujenga uzalendo kwa njia rahisi.

    Mbwa anafundishwa akiwa mdogo, samaki anakunywa angali mbichi na udongo unapatwa ukiwa na umajimaji. Uzalendo hauna mbadala kwenye kila taifa. Kama kwenye gari uzalendo ni kama usukari(stearing). Hata mtoto mdongo anaijua usukani ndio unaoelekeza gari liielekee wapi, Hata bila gari mtoto...
  17. JamiiForums Tanzania Onesimo Ole Ngurumwa: Ni Bora Demokrasia ndani ya Udikiteta kuliko Udikteta ndani ya Demokrasia, Uganda ndio Case Study

    Wakili Onesmo Olengurumwa Onesmo Kasale Olengurumwa ambaye ni mwanaharakati wa kutetea haki za binadamu na Mratibu Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), kupitia ukurasa wake wa X ametoa somo kuhusu masuala ya Demokrasia akilinganisha mifumo ya Demokrasia kati ya...
  18. JamiiForums Tanzania Pope Benedict wa 16 ana salia kuwa Pope bora kuwahi kutokea katika Kanisa Katoliki

    Awali ya yote shukrani kwa mwenyezi Mungu kwa kujalia makadnali kumchagua kiongozi mpya wa kanisa kwa muda mfupi kuliko ilivyo dhaniwa. Shukrani na pongezi kwa Pope mpya kwa jina la Leo wa 14, matarajio kama kanisa chini ya uongozi wake ni makubwa sana haswa wakati huu dunia ikikabiliana na...
  19. JamiiForums Tanzania Usafiri bora Dar - Dubai

    Heshima zenu wasafiri wazoefu! Ukiacha Shirika letu la ATCL, ni mashirika gani bora ya Ndege, hasa zinazomilikiwa na nchi za Kiafrika, kwa safari ya Dar - Dubai? Daraja ni la UCHUMI! Nimeshasikia mashirika yafuatayo yakisifiwa! 1. Kenya Airways(KQ) 2. Ethiopian Air Lines (EAL) 3. RwandAir 4...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Ni bora Serikali wangenyamaza waonekane wajinga kuliko kuongea kuwapa watu ushahidi huo

    Mahakama imekataa kuwa kwenye muonekano wa wajinga. Sasa tujiulize waziri wa sheria, waziri wa mambo ya ndani, mkuu wa mkoa na Polisi wananchi watawaelewaje. Sasa Chadema na wananchi wakienda hapohapo mahakamani kwa amani mtawaambia sababu ya wale walio umizwa ilikuwa nini hasa? Serikali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…