==
Nimekutana na hii taarifa kwenye group songezi la Whatsapp Kwa ruhusa yenu naomba tuijadili Kwa uwazi na haki,
Mimi mleta mada Kwa namna bwana huyu alivyoituliza Kilosa naona kama nafasi aliyonayo huyu DC Kwa sasa inambana sana atafutiwe nafasi nyingine ya juu saizi yake ili Taifa liweze...