bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania House Bank (THB) irudi sasa tuwe na makazi bora

    Habari Tanzania !... Pole kwa majukumu, wewe usomaye barua hii. 1. Naomba kuuliza, hii "Tanzania House Bank" (THB) ilienda wapi !?. Ombi langu; Kwa wale wenye mamlaka ikiwapendeza, irudisheni haraka sana hii kitu, itatuondolea changamoto za ujenzi holela wa nyumba, mikopo ya kuumiza kwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania MKALABOKO ndiye mchambuzi bora wa Mpira wa Tanzania kwa sasa. Media kubwa za habari zichukue mali hii.

    Sina haja ya kuongea sana. Tazama na usikilize uchambuzi wake wa mechi ya Simba dhidi ya Yanga. https://m.youtube.com/watch?v=HotFQ_8Cwn4&pp=0gcJCTcMAYcqIYzv Kocha wa Yanga ameomba taulo badala ya shuka wakati wa kulala
  3. JamiiForums Tanzania Waafrika tunapambana kujionesha bora na kutaka sifa na validatio kutoka kwa watu weupe

    Waafrika hatupambani kuwashinda wengine. Tunapambana kusindikiza wengine. Waafrika tuna hali ya unyonge(inferiority complex). Yaani hatuamini kwamba tunaweza kufanya mambo yetu wenyewe, kwa nguvu na akili zetu wenyewe bila kutaka recognition na validation kutoka kwa watu weupe. Sisi waafrika...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ili wikiendi yako iishe ikiwa bora unahitaji burudani gani leo?

    Kuna burudani nyingi sana, mimi leo ili iishe vyema nahitaji kuburudika na mziki laini nikiwa na maji baridiii kwenye kaupepo mwanana kando ya Ziwa Mkuu wewe unahitaji burudani gani?
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania safari channel :Nani msimuliaji bora kati ya Ezekiel vs Mwavindi?

    Kusimulia tabia za wanyama Eneo la kihistoria kwa undani hawa watu wameshindikana kwa kuwa mm ni dume la mbegu basi sauti ya Mwavundi huwa inanipa utulivu wa ajabu . Kama ww ni mtazamaji wa channel hii pendant basi lazima kukubaliana nami kuwa hawa wameshindikana USSR
  6. JamiiForums Tanzania (4) JF VOTES: BFF BORA WA MWAKA (MTU WA WATU HANA MAKUU)

    ..
  7. JamiiForums Tanzania (2) JF VOTES: MCHANGAMSHA KIJIWE BORA WA MWAKA

    Matokeo yatatoka baada ya mwezi mmoja. Piga kura sasa.
  8. JamiiForums Tanzania (1) JF VOTES: MTENGENEZA MAUDHUI BORA WA MWAKA

    Matokeo yatatoka baada ya mwezi mmoja. Piga kura sasa. THREADS NYINGINE ZA KUPIGA KURA👇👇👇 https://www.jamiiforums.com/threads/2-jf-votes-mchangamsha-kijiwe-bora-wa-mwaka.2480948/ https://www.jamiiforums.com/threads/3-jf-votes-master-wa-comment-kuntu-na-fikirishi-wa-mwaka.2480952/...
  9. JamiiForums Tanzania Elimu bora inapatikana kwetu

    Personalized Learning. Better Performance. Brighter Futures. 🏡 Je, unahitaji mwalimu wa kumfundisha mtoto wako nyumbani? Elite Home Tuition Services inakusaidia kupata walimu wanaofaa kulingana na umri wa mwanafunzi, mtaala anaosoma, mahitaji yake ya kielimu na eneo unaloishi. 📚 HUDUMA ZETU...
  10. JamiiForums Tanzania Hakuna njia yoyote nyingine ya kumtengeneza mtoto bora zaidi ya ukaribu na mtoto ila ule ukaribu ambao sio wamazoea bali ule uitwao SECURE ATTACHMENT.

    Hakuna kitakachoweza kumuangusha mtoto ambae anapitia misingi muhimu inayompelekea awe mwenye afya nzuri ya kihisia, anayejiamini, anayeweza kujenga mahusiano mazuri na wengine na anayejifunza kudhibiti hisia zake. Haya yote hayaji kwa mtoto kama muujiza, haya yanatengenezwa na ukaribu wewe...
  11. JamiiForums Tanzania Kiafya: kipi ni bora kati choo cha kuchuchumaa na choo cha kukalia?

    Hi guys, Kwa wale wataalamu tusaidiane kuelimishana Asanteni sana
  12. JamiiForums Tanzania Dini bora kwa jinsia ya kiume.

    Kwa maslahi mapana ya uanaume ,dini bora ni uislamu, na mafunzo yake. Kwa kuokoa kizazi hiki uislamu unapaswa uwe kwa kila jamii na sheria zake kamilifu. Dunia ya sasa hii ndio dini dume iliyo bakia tu. Binafsi sina dini ila nikipaswa nitaje dini kwa maslahi ya dunia ya sasa Islam ni...
  13. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kuwa mwaka huu ni wa shesRise, amekuwa mtengeneza maudhui bora humu JF ambayo pia inavutia uchangiaji mkubwa. Hongera ndugu.

    ShesRise_1 keep it up blood! Nasubiria comments za kuwa wewe ni mimi katika parody😁😁😁
  14. JamiiForums Tanzania Mwongozo wa Uzalishaji wa Nguruwe

    1. Umri wa kuanza kuzalisha Nguruwe jike huanza kubalehe takribani miezi 5–7, lakini ni muhimu kuzingatia ukuaji, uzito na afya yake kabla ya kumpandisha. Nguruwe dume anaweza kuanza kutumika kwa uzazi kuanzia takribani miezi 7–8 au zaidi, kulingana na ukuaji na afya yake. 2. Dalili za nguruwe...
  15. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Prof. Kabudi: Kiongozi akichaguliwa huwezi kumwita Haramu, Tuheshimiane

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, Prof. Palamagamba Kabudi, amewataka viongozi na wanachama wa vyama vya siasa kuheshimiana katika kueleza tofauti zao za kisiasa, akisema matumizi ya lugha kama kumuita kiongozi mwenzake ambaye amechaguliwa “haramu” sio...
  16. JamiiForums Tanzania Ni bora kuamini Mungu yupo umkose kuliko kuamini hayupo umkute?

    Huu ni msemo maarufu ambao unatumika na waamini mungu wengi siku ya leo lakini muanzilishi wake ni mwanahisabati na mwanafalsafa Mfaransa Blaise Pascal katika Karne ya 17, hoja hii imepwa jina la kamari ya Pascal. Inasema kwamba mtu yeyote mwenye busara anapaswa kuishi kana kwamba Mungu yupo...
  17. JamiiForums Tanzania Nimeshiriki ibada nyingi sana za kiimani. Buddhism is the most best kwa mafundisho. Ila kibongobongo hamna dini bora kama Ukristo.

    Dini ni nini? Dini ni jumla ya imani, mafundisho, na desturi ambazo humwongoza binadamu katika uhusiano wake na Mwenyezi Mungu au nguvu za ghaibu, pamoja na kuweka mwongozo wa maadili na mtindo mzima wa maisha. Neno hili limetokana na neno la Kiarabu "Ad-din" (اﻟدﻴن), lenye maana ya utaratibu...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Israel inaamini ni Bora wakuogope kuliko wakupende

    Kwa wanachofanya Israel hapo mashariki ya kati licha ya kelele nyingi zinazopigwa Hawa jamaa bado wanaishambulia tu Gaza na Lebanon
  19. G

    JamiiForums Tanzania Badala ya kufanya maandamano yatakayoleta usumbufu Kwa raia Bora zishonwe T shirt 29 Oct za rangi Nyeusi watanzania wote wanaotaka hiyo kumbukumbu

    Ni maoni yangu hakuna haja ya maandamano mengi Kwa sasa Taifa litulie kwanza Badala ya kufanya maandamano yatakayoleta usumbufu Kwa raia Bora zishonwe T shirt 29 Oct za rangi Nyeusi watanzania wote wanaotaka hiyo kumbukumbu Ikiwezekana uwepo mfuko MAALUMU wa kuwakumbuka wale wote waliopata...
  20. JamiiForums Tanzania RC ROSEMARY SENYAMULE: HUDUMA BORA KWA WAZEE NI KIPAUMBELE

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Rosemary Senyamule, amesema Serikali ya Mkoa itaendelea kuhakikisha changamoto zinazowakabili wazee zinapatiwa ufumbuzi, hususan katika upatikanaji wa huduma za afya. Amesisitiza watendaji kuwafuatilia wazee kwa karibu na kujiridhisha kuwa wanapata huduma za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…