bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. C

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wa bongo ni kukosa akili au ni uvivu wa kufanya utafiti?

    Nimeona wengi wakiizungumzia mechi ya Simba na Stellenbosch kwamba Simba awe makini kwani siyo kama alivyokutana na Almasry. Sababu ni kwamba wapinzani wa sasa wa Simba wamemtoa Zamalek! Ni napenda niwaulize hao wachambuzi,Je walichukua muda wao kutafiti matokeo ya hivi karibuni kati ya...
  2. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Bora nikaokote makopo Ulaya na degree yangu, kuliko kuokota makopo hapa bongo

    Vijana wenzangu nje KAZI zipo, tumieni maaagent nendeni Dubai Qatar na Canada fursa ni nyingi
  3. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Kiatu cha kiume china 5000 bongo unauziwa 120,000/=

    Mwanzoni nilikua nawaonea huruma sana wabongo wa kariakoo wakilalamika kwanini wachina wamejazana Kariakoo, na walizunguka media mbalimbali kuonesha ubaya wa wachina, kumbe siri wanaijua... Wachina kule kwao bidhaa ni bei ndogo sana, wakawa wanashangaa kwanini wabongo wanajazana kuja kuchukua...
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nakumbuka miaka ya 2000 uraibu kwa njia hii ulishika kasi sana na ilikuwa wazi wazi

    Mtu alikuwaga akifika hii hatua basi ilikuwa inahesabika "ITS OVER". Visa bado vipo ila sio kama ilivyokuwa miaka ya nyuma, nafikiri hizi sober houses zimeokoa vijana sana kwa kiasi chake Hawa jamaa walikuwa na uwezo wa kusimama kwa kujipinda kwa style hio hio kwa muda mrefu bila hata kuyumba...
  5. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wanaume wa bongo bado wanapenda sana kuabudiwa na wanawake?

  6. K

    JamiiForums Tanzania Live music performance Bongo

    Mimi ni Mpenzi wa muziki na nikiwa na nafasi huwa nahudhuria events kadhaa ambazo top artists wa bongo wanaperforme, nimenotice jambo ambalo ni utaratibu ambao sielewi ulianzishwa na nani lakini wasanii karibu wote wameuiga, suala la kuperforme huku bodyguards na videographers wao...
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Visa vya pedophiles vinazidi kuongezeka kwa kasi hapa bongo. Kama mzazi hivi ndivyo unavyoweza fanya angalau kulinda mabint ako wadogo dhidi ya pedos

    Cha kwanza usikubali mtoto wako mdogo awekwe katika mazingira kama ya hii video hapa chini. Hauwezi kuamini idadi ya comments chafu nilizoziona nilipotoa hii video. pili, haijalishi udogo wa mtoto ila usimu expose na kuchezea simu yako na kufahamu mienendo ya social media. Siku izi watoto...
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kwa niaba ya mabaharia wengine hapa bongo ningependa kumpongeza huyu bibie

    Sio mtu unakuwa mpiga vizinga tu muda wote hadi hela ya kununua stick za meno unaomba 😁😁, muda mwingine mnafunguka dada zetu.
  9. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Bongo FM

    Sio kila mtu anaweza kusoma taarifa ya habari.Leo msomaji wa news hq saa 12 asubuhi kasoma vibaya sana,matamshi mabaya sana,kashindwa kutumia nukta,comma na anahema na kumeza mate kwa sauti. Na hivi ndio huwa kila siku. Lakini hii idhaa mmewatengenezea vijana,sioni sababu ya kutangaza news...
  10. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Bongo noma sana pombe Kali zilizokuwa viroba zinauzwa Mpaka leo

    Si unakumbuka zilipigwa marufuku Toka 2017 na ikapelekea MPAka mfanyabiashara wa dodoma kujiua sasa wajanja hawakujiua walificha stock na siku hizi wanazitoa zinauzwa kinyemela wanauziwa bei rahisi hasa wakina mama wanaouza gongo wateja wanaambiwa tu hizi spirit ni konyagi au smart. Pamoja na...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Unahisi nani ni bingwa wa ⚽ Fifa 🎮 Play Station hapa Bongo

    Ni game iliyojizolea umaarufu hapa nchini, ningependa kuwajua mafundi wake watukutu
  12. U

    JamiiForums Tanzania Bongo kwa ubabaishaji ni sawa na pete na kidole

    Utangulizi; Nchiniki TZ kiongozi anaweza kuamua jambo la umma anavyotaka, mtajua wenyewe mfikiriaje! Hoja kuu; Juzi kati timu ya Singida walizindua uwanja wa kuchezea mpira mzuri tu. Mpaka hatua za kuuzindua maana yake upo tayari kwa matumizi. Cha ajabu, leo Azam Sports wanatangaza kwamba...
  13. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Hii ingependeza na huku bongo muuongozo huu utumike kwa manabii na wachungaji...

    Hii taarifa ingependeza hata huku kwetu bongo itumike kuwabaini...
  14. KENZY

    JamiiForums Tanzania Bongo flavour love songs tano nizipendazo za wakati huo..

    Huyu bidada kwenye hii alijua kunivuruga!, lala salama huko ulipo!. Hii R&B hapa bongo binafsi kwangu ndio best R&B ever!, mpaka sasa sijaona mpinzani kuanzia beat mpaka mashairi heko kwako kabaisa. Hehe!, Huyu mwamba na hii ngoma yake aliifanyia haki stahiki haichuji ni utachuja umri tu ila...
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ingawa bongo tunaongoza Africa katika utumiaj wa Internet lakini tumekosa kuwa na influencers/content creators wa kuvuka boda. Ni issue ya english au?

    Au basi tu vijana hawaja challenge fursa hii. https://youtube.com/shorts/bjlEGS1vcv4?si=I6VHSCv3AGimkeWw
  16. BATULUNGE

    JamiiForums Tanzania Mazda bongo inauzwa

    Gari bado nzima Sana ipo dsm Goba Ina engine f8 Cc 2790 Bei ni Mil 12 maongezi yapo 0656077998
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Salim Kikeke mbona umelambishwa Asali na 'Mama Fulani' mapema sana? Nilijua ukiwa Ulaya na kurudi Bongo huwezi kuwa Chawa au Muoga wa Maisha mapya!!

    Halafu acha Kutudanganya kuwa umerejea Nyumbani kwakuwa Mama fulani Kakushawishi na kwamba sijui Baridi Kali la Uingereza pia ni sababu, bali ukweli ni kwamba kwa ilivyokuwa BBC na kwa Umri wako (huku ukiwa huna jipya tena) waliamua Kukumwaga mapema. Wewe ni mwana Simba SC Mwenzangu na nilikuwa...
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Haya ni baadhi ya matukio ambayo wapenda haki #FreePalestine wameyakalia kimya. Concern yao ni pale unagusa taifa lolote la mashariki isipokuwa Israel

    Wakristu na Washia kuuliwa Syria march 2025 Vita ilioletwa na wahuthi kusababisha njaa na utapia mlo hapo yemen Waturuki kuwaua wakurdi kwa mashambulio ya ndege huko syria Itikadi kali kuvamia kanisa na kuua waumini congo 2025 Magenge kutoka pakistan na nchi za kiarabu nyingine kufanya...
  19. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ni wachambuzi gani wa soka hapa bongo unawaelewa zaidi?

    Ingawa wengi wao ni uchambuzi maandazi ila kuna huyu mwamba alieopo azam Na huyu kijana aliepo east africa Atleast wapo logically and un-biased
  20. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Tabia za wanawake "choka mbaya" wa bongo

    Heshima kwenu wakuu wa Jamiiforums! Kama kawaida, dunia haina usawa, ila kuna viumbe ambao wao wanaamini wameumbwa tofauti na sisi wengine. Hapa sizungumzii malaika au miungu, hapan naongelea wale mademu choka mbaya wa Kibongo! Yaani, wadada hawa si wa kawaida kabisa. Wakitembea, ni kama ardhi...
Back
Top Bottom