bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. JamiiForums Tanzania Governor wa Kenya akamatwa na kukutwa na Tsh. 275M ikazua taharuki. Bongo mtumishi wa umma ananunua assests za 2B na TAKUKURU inamchekea

    Nimeafatilia hili sekeseke la watumishi wetu wa umma wakijumuishwa na wakuu wa mikoa kununua viwanja huko Arusha kwa billions of shillings nikakumbua mwezi uliopita Governor wa Kenya (Kiambu County) Kimani Wamatangi, alikamatwa na kamisheni ya kupambana na rushwa ya Kenya na kukutwa na Ksh...
  2. JamiiForums Tanzania Trump na MAGA wanamshambulia Taylor Swift kawa kibonge! Wangefika bongo au South Africa wangeshangaa wazimie.

    Kwa wazungu wa Marekani Taylor Swift wa kulia anaonekana amekuwa kibonge na sio wa moto tena kama alivyokuwa kushoto! Sio ajabu Trump hataki kuja Africa maana huku "mizigo" ndio kipaumbele na inayohusudiwa, watu wanataka mwanamke mmoja awe kama Taylor watatu hivi.
  3. JamiiForums Tanzania Majina na a.k.a za wachezaji soka wa bongo yalliyonivutia zaidi

    Baadhi ya majina ya wasukuma ndinga bongo yaliyokuwa yaliokuwa yakinipa Raha kuyasikia yakitamkwa *MNENGE SURUJA ,Afc Arusha *QUIRESHI UFUNGUO, Simba sc *NGADE CHABANGA DIAMWALE , Yanga sc *GAUDENSI MWAIKIMBA ak.a MWAI NNYA, Yanga sc *KAPUMBU MTEGO, reli kigoma * IDDY MBUZI , toto Africa...
  4. JamiiForums Tanzania Roma mkatoliki Tunga wimbo kufuatia Hali ya siasa na maisha hapa bongo

    Kimepita kitambo Sasa tangu msanii Roma mkatoliki atuburudishe Kwa nyimbo zake za kufikirisha. Kwa Hali ilivyo Sasa nakuomba Roma mkatoliki tia neno juu ya haya yanayo endelea.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Online Tv nyingi za Bongo hazina ubunifu

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, online TV nyingi hapa bongo hazina ubunifu wowote. Mfano Kuna ulazima gani wakuipa jina lako? eg.Carl Peter's TV ilihali yako majina mengi tuu unaweza kubuni. Pili Hawajui kutafuta contents unakuta online TV inamuhoji dudu baya kila siku
  6. JamiiForums Tanzania Orodha ya Wasanii ambao hata wafanye nini hawawezi kurudi tena kwenye game... wageukie fani zingine

    Hawa ni wale wasanii ambao bado hawajaukubali ukweli na kila wakihojiwa wanasema wanaanda album au kuna kazi zao zinakuja mashabiki wasikilizie tu; 1. Q Chief 2. TID 3. Baraka da Prince 4. Young Killa 5. Mh. Temba 6. Chege 7. Rich Mavoko 8. Aslay 9. Maua Sama 10. AY 11. Fid Q 12. Joh Makini 13...
  7. JamiiForums Tanzania Soko la mafuta haya ya nazi hapa bongo limekuwa kwa nguvu mno

    MABAHARIA WASHAELEWA🤣
  8. JamiiForums Tanzania Siasa za bongo ziko very predictable!

    Kila mtu alijua baada ya mangi kunyimwa nafasi ya kuliongoza duka la ukoo kwa mara nyingine, atatengeneza mkakati ambao utawahusisha wafanyakazi wa dukani waliokuwa mabest zake ili kumpa wakati mgumu mangi mpya aliochaguliwa na wana ukoo. Kila mtu alijua wafanyakazi hao watajitangaza kuacha...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Tangu nimejua muziki wa HipHop Bongo sijawahi kushuhudia wala kusikia msanii mwenye uwezo kiasi hiki kwenye FREESTYLE, "Wizzy MP" ni level nyingine

    Freestyle na muziki ni vitu viwili tofauti katika Hip Hop, wanaoweza vyote ni wachache, Freestyler hapimwi kwa hits za studio, anapimwa kwa uwezo wa kutema mistari papo kwa papo bila kuandika, bila kujiandaa bila kujali beat. Tangu nianze kuijua hiphop miaka ya 2000 hapa bongo nimewajua...
  10. JamiiForums Tanzania Jana Mbunge wa Kenya kauliwa na huku kwetu kiongozi wa kidini kavamiwa. It makes you wonder kwamba je wewe mpambanaji wa kawaida what worst can happen

    Aisee, Amani na Utulivu ndio tumaini la mwisho katika ubinadamu ila kwa bahati mbaya kwa baadhi ya watu sio kitu cha thamani kwao. Nawatakia Amani ndugu zangu.
  11. JamiiForums Tanzania Washabaki wengi wa mpira bongo wana matatizo ya akili?

    Kila nikiwasikiliza mashabiki wengi wa mpira bongo wanavyoongea, kuandika, katika tambo na mabishano yao ya kimpira huwa nashindwa kuelewa kama vichwa vyao ni vizuri au kweli ni hisia na mahaba tu ya timu zao za mpira.
  12. JamiiForums Tanzania Wasomi Bongo Wameshindwa Kufahamu Street English: Je, Lugha ya Mtaa ni Makosa au Maarifa ya Mjini?

    Listen up, vijana wa Bongo: Mna-labda kusoma sana vitabu, kusuiti, kujiita graduates, lakini mnaposikia mtu anadrop street lingo kama: "Yo, I been grindin’ since day uno, no cap." "I’m outchea makin’ moves, stackin’ that cheddar, lowkey tho." "Shorty tryna flex but she ain’t got no sauce."...
  13. JamiiForums Tanzania Wasomi Bongo Wameshindwa Kufahamu Street English: Je, Lugha ya Mtaa ni Makosa au Maarifa ya Mjini?

    Listen up, vijana wa Bongo: Mna-labda kusoma sana vitabu, kusuiti, kujiita graduates, lakini mnaposikia mtu anadrop street lingo kama: "Yo, I been grindin’ since day uno, no cap." "I’m outchea makin’ moves, stackin’ that cheddar, lowkey tho." "Shorty tryna flex but she ain’t got no sauce."...
  14. JamiiForums Tanzania Wadau, App Gani Mpya Inahitajika Bongo au ni wazo gani la App umewahi kuwa nalo? Shusha Idea Yako Hapa!

    Ni app gani uliwahi kuwish iundwe hapa Bongo lakini bado haipo au haijafika kiwango cha kimataifa? Au kuna changamoto gani uliwahi kukutana nayo ukaona kabisa, "Duh, hapa app ingesaidia!" Huu uzi ni wa kila mtu kushare ideas iwe ni kwa biashara, elimu, afya, usafiri, au burudani. Pengine idea...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wa bongo ni kukosa akili au ni uvivu wa kufanya utafiti?

    Nimeona wengi wakiizungumzia mechi ya Simba na Stellenbosch kwamba Simba awe makini kwani siyo kama alivyokutana na Almasry. Sababu ni kwamba wapinzani wa sasa wa Simba wamemtoa Zamalek! Ni napenda niwaulize hao wachambuzi,Je walichukua muda wao kutafiti matokeo ya hivi karibuni kati ya...
  16. JamiiForums Tanzania Bora nikaokote makopo Ulaya na degree yangu, kuliko kuokota makopo hapa bongo

    Vijana wenzangu nje KAZI zipo, tumieni maaagent nendeni Dubai Qatar na Canada fursa ni nyingi
  17. JamiiForums Tanzania Kiatu cha kiume china 5000 bongo unauziwa 120,000/=

    Mwanzoni nilikua nawaonea huruma sana wabongo wa kariakoo wakilalamika kwanini wachina wamejazana Kariakoo, na walizunguka media mbalimbali kuonesha ubaya wa wachina, kumbe siri wanaijua... Wachina kule kwao bidhaa ni bei ndogo sana, wakawa wanashangaa kwanini wabongo wanajazana kuja kuchukua...
  18. JamiiForums Tanzania Nakumbuka miaka ya 2000 uraibu kwa njia hii ulishika kasi sana na ilikuwa wazi wazi

    Mtu alikuwaga akifika hii hatua basi ilikuwa inahesabika "ITS OVER". Visa bado vipo ila sio kama ilivyokuwa miaka ya nyuma, nafikiri hizi sober houses zimeokoa vijana sana kwa kiasi chake Hawa jamaa walikuwa na uwezo wa kusimama kwa kujipinda kwa style hio hio kwa muda mrefu bila hata kuyumba...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa nini wanaume wa bongo bado wanapenda sana kuabudiwa na wanawake?

  20. K

    JamiiForums Tanzania Live music performance Bongo

    Mimi ni Mpenzi wa muziki na nikiwa na nafasi huwa nahudhuria events kadhaa ambazo top artists wa bongo wanaperforme, nimenotice jambo ambalo ni utaratibu ambao sielewi ulianzishwa na nani lakini wasanii karibu wote wameuiga, suala la kuperforme huku bodyguards na videographers wao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…