bongo movies

  1. Harunahoba

    Bongo movie wapi mnakwama?

    Taasinia ya Sanaa ya michezo ya kuigiza hapa Tanzania inapitia changamoto nyingi sana zipo tunazoziona sisi mashabiki na pia zipo wanazokumbna nazo wasanii husika. Binafsi hiz ni baadhi ya changamoto ninazoziona kama mdau. 1. UKOSEFU WA SIMULIZI ( STORIES)NZURI. story nyingi za hapa kwetu...
  2. Mohammed wa 5

    Bongo movie bila steven kanumba

    Ni miaka 11 Sasa tokea kifo Cha star mkubwa wa maigizo,the great Steven kanumba kutokea,kanumba alikuwa na content yake special iliyokuwa inambeba,sijaona wakuziba pengo lake,bongo movies ya Sasa Amna aliofikia level ya kanumba kwenye kuigiza,kipaji mpaka production. Steven kanumba baada ya...
  3. Nakadori

    Ndugu wa marehemu Erick Kisauti wawatuhumu bongo movies kufuja milioni 60 za rambirambi

    Ndugu wa msanii wa vichekesho Eric Kisauti ambaye alifariki siku kadhaa zilizopita wametoa tuhuma nzito wakiwatuhumu waliosimamia msiba wa ndugu yao kupora kiasi cha shilingi milioni 60. Tuhuma hizi zilijibiwa na wasanii waliopata nafasi ya kwenda kuzika kwa kuweka wazi kwamba bajeti ya safari...
  4. Poker

    Ni kwanini tasnia ya bongo movies haeindelei mpaka leo ukilinganisha na bongo fleva?

    Hali inazidi kutisha sana katika upande wa bongo movies, kwani hiyo tasnia haiendelei na wala hailipi. Ukija kutafta watu maarufu na wenye hela utakuta ni wa bongo fleva, je huko bongo movies shida ni nini? The late Kanumba alijaribu kuipambania sana hiyo tasnia baadaye JB naye akaipambania...
  5. N

    CHADEMA ya sasa imekuwa kama Bongo Movies!

    1. Hawaeleweki wanataka na wanasimamia nini kama yasivyoeleweka maudhui ya bongo movies! mfano: kufeli kwa ukuta na ukusanyaji wa michango mbalimbali ya fedha kutoka kwa walalahoi 2. Wamekuwa na vijikaulimbiu (slogans) viiingi visivyo na maana kama titles za bongo movies. baadhi ya...
  6. Red Giant

    Quotes kali kutoka bongo movies

    Wakuu naomba tushirikishane quotes kali kutoka bongo movies.
  7. Robert Heriel Mtibeli

    Athari mbaya za Bongo Movies kuwa na Vilaza wengi ndani ya jamii

    ATHARI MBAYA ZA BONGO MOVIE KUWA NA VILAZA WENGI NDANI YA JAMII Kwa Mkono wa, Robert Heriel Wapo watu wataona nimewaandama hawa ndugu zetu, lakini lazima ukweli tuuseme. Hatuwezi sema kuwa hakuna athari chanya walizotupatia Bongo Movies ndani ya nchi yetu, zipo faida kadhaa, kama vile, kutoa...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Bongo Movies wengi ni vilaza, si ajabu wameilaza sanaa ya uigizaji. Wasomi ingieni huko

    BONGO MOVIE WENGI NI VILAZA, SIO AJABU WAMEILAZA SANAA YA UIGIZAJI Anaandika, Robert Heriel Hapana shaka sanaa ya Uigizaji kwa sasa imelala Usingizi wa Pono, imelala fofofo na waigizaji wake wanakoroma. Wapo kwenye ndoto za majinamizi wabaya wanaowakimbiza kwenye mitaro huko usingizini. Tangu...
  9. Victor Mlaki

    Hivi ni kweli wasanii wa bongo movies wameshindwa kutunga tamthiliya pendwa itakayopata mashiko nchini?

    Tanzania ina wasanii wengi mno lakini cha kusikitisha ubinafsi umewapiga kiasi cha kuua kabisa ubunifu wao. Wazee wenzangu tunakumbuka tamthiliya ya tausi ilivyokuwa na mashiko wakati ule. Hivi inaingi akilini nchi ya uchumi wa kati tunaangalia tamthiliya za wenzetu zilizofasiriwa kwa Kiswahili...
  10. mwaswast

    Bongo Movies vs Kenyan Movies

    Movie industry in East Africa inaendelea kupiga hatua sana haswa kwenye quality ya picha, creativity, graphics na storyline. Kenya Kama kawaida ndio kinaara ifikapo quality in terms of production and creativity ukilinganisha na Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Kenyan Movie Bongo Movies
  11. Mimi Youtuber

    Tangazo kwa Wamiliki Bongo movie

    Naamini mpo wazima,pole kwa waleo wagonjwa na wasio jiskia poa "Natafuta Movies kwamiliki wa Bongo movies #businesspurpose Je wewe ni producer au tu mmiliki wa filamu yani una miliki wa filamu za bongo naomba tuongee biashara, filamu zako zisiwe katika mtandao wa youtube tafadhali...
  12. Mimi Youtuber

    NATAFUTA WATU WENYE FILAMU ZA KIBONGO *BIASHARA*

    JE UNAMILIKI FILAMU KUANZIA 20 NA KUENDELEA tafadhali ni inbox au email maige.kenneth22@gmail.com NB: Naomba zisiwe YOUTUBE
Back
Top Bottom