Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,359
- 2,789
Umeshawahi kutizama hii movie aiseeh
Movie hii imechezwa eneo moja linaitwa Seoul liko Korea kusini, humu ndani kuna mtaalamu mzee aa kupiga watu mabanzi ya nguvu 😀😀 anaitwa Man Dong Seok.
Movie hii ni historia ya kweli Kabisa iliyotoka Karne ya Kumi na nane miaka ya 1958 ambapo kuna jamaa mmoja anaitwa Charles starkweather muuaji kijana akishirikiana na mwanamke wake Caril Ann fugate waliweza kuua watu 11.
Sasa tukirudi kwenye movie yetu story inaanza hivi baada ya kutokea kwa tetemeko la ardhi katika mji wa Seoul nchi Korea kusini mji unageuka kuwa mgumu na hatari kwani mauaji mbalimbali yanatokea.
Kuna dokta mmoja ambaye ni mwana sanyansi tapeli aliyeshindwa kwenye majaribio mbalimbali ya kisayansi ya kuweza kuwabadilisha binadamu Kwa kuwazuia kufa Kabisa pale wanapopatwa na changamoto.
Angalia trailer lake sio poa Kabisa 🫡
View: https://youtu.be/OgEdf07k9Vk