JE, HISTORIA YA PHILIBERT KABAGO IMESAHAULIKA KWENYE MIAKA 30 YA BONGO FLEVA?
Tarehe 8 Agosti 2026, macho ya wadau wa muziki yataelekezwa jijini Mwanza katika tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva litakalofanyika The Climax, Rock City Mall. Ni tamasha linalolenga kuenzi safari ya muziki wa Bongo...