bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. M

    Bongo Zozo: Tume kazi yake ni kuweka mambo wazi. Kusema Ripoti ni ya Rais ndio ilizidi kuharibu kabisaa

    Tume kazi yake ni kuweka mambo wazi, Kusema Ripiti ni ya Rais ndio ilizidi kuharibu kabisaa Maana ya Tume ni kuweka vitu vyote wazi, kufungua milango yote ya nyumba nzima na kuruhusu mwanga uingie ndani, na kumulika palipokuwa na giza, lakini tume hii haikufanya hivyo kabisa, sana sana kitu...
  2. Jidu La Mabambasi

    Bongo Zozo anamzidi akili Jaji Chande(?) Common sense must prevail

    Jaji Chande na Tume yake imegeuka kuwa toilet paper ya utawala. Common sense must prevail.
  3. J

    PostGE2025 Wamejaza magari ya washa-washa mitaani kabla ya Ripoti ya Chande kukabidhiwa

    Yaani kuua muue wenyewe kujichunguza mjichunguze wenyewe, ripoti mpike wenyewe na bado mnaogopana wenyewe loh 😂👏👏👏
  4. Lycaon pictus

    Changamsha bongo: Wasomi, unaweza tumia njia gani kutenganisha huu udongo?

    Ukiambiwa utenganishe huu udongo utatumia njia gani?
  5. M

    Media na wasanii Bongo ni wanafiki sana, walikufa watu wengi Oktoba 29, 2025 hamkupost, akifa mtu mmoja post kila kona

    Media na wasanii Bongo ni wanafki sana, walikufa watu wengi Oktoba 29, 2025 hamkupost, kafa mtu mmoja post kila kona halafu mnajiita nyie ni vioo vya jamii. Nyie ni vioo vya jamii gani? Mbona hiyo jamii haiwatambui kama vioo, kwanza vioo mmetoa wapi, unafki tu
  6. Waziri Mayai Wa Maradhi

    Bongo Fleva Sensation And Vaileti Hit Maker Matonya Charged With Rape In Kenya

    Tanzanian musician Sefu Shabani, better known by his stage name Matonya, has been detained in Kenya after being accused of rape. According to a statement released on X by Kenya's Director of Public Prosecutions (DPP), the 43-year-old disputed the charge when he appeared in court in the seaside...
  7. M

    Yusuph Lupilia: Mafuta yamepanda tukiwa na stock ya miezi mitatu nchini, hapo tumepigwa

    Mwenyekiti wa Umoja wa Wasafirishaji Mwanza, Yusuph Lupilya akizungumza katika mkutano wa wadau wa usafirishaji uliondaliwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (Latra), amesema kuwa serikali ilipandisha bei ya mafuta ikiwa imetoka kutuambia kuwa kuna mafuta ya kutosha kwa miezi mitatu.
  8. matunduizi

    Mwanaume wa sasa Bongo ukiwa huna kazi na biashara imefeli utashambuliwa kwa uvivu na maneno makali na nchi nzima

    Mazungumzo ya wachungaji, mashehe, wanasiasa ni kana kwamba mwanaume kukoswa pesa ni jambo la kujitakia na uzembe. Mtu wa namna hii hupuuzwa na kushambuliwa kama ni mvivu hata kama ni kipindi cha mpito anapitia. Hii tabia inawaweka wanaume wenye changamoto za kiuchumi katika hali ngumu sana...
  9. N

    Nitajie content creators/celebrities wa 3 bongo uliowafuatilia zaidi mwezi March

    Kwa mimi binafsi Kwa March kuna 1.Stan bakora na mwenzake aisee content zao ziko so unique ni fupi haziboi halafu hazivunji sana maadili, no wonder why makonda amewahi kumsifia stan yuko vizuri kwa sasa kwenye upande huo..mwingine kwa comedy ni Azaboi mkali sana 2.rich msafi east africa...
  10. fimboyaukwaju

    Jingles za Clouds FM na Bongo FM ni kiboko

    Hizi redio zenye maudhui ya vijana zinashindana sana.Zimetengeneza nyimbo za utambulisho wa redio zao kiboko kwelikweli. Clouds wimbo wao ni nyoosha njia na Bongo FM wimbo wao ni hakuna mipaka. Nyimbo hizo huwavutia sana wasikilizaji kiasi cha kuwaongezea wasilikilizaji, kitu ambacho ndio...
  11. P h a r a o h

    Chemsha bongo: Jina langu ni Chai. Mke wangu ni Sukari. kijana wangu ni... ?

    Riddle Time
  12. Kijakazi

    Missile ya Mullahs wa irani inafika Bongo!

    huo ndio mzingo ambao irbm ya islamic republic of iran inaweza ku-hit, ni 4500km from tehran, hawa mullahs siyo wa mchezo mchezo aisee ...
  13. Lumbi9

    Chemsha bongo

    Point ngapi unazo mdau...
  14. Yoda

    Kwa nini Jesca ni content kubwa bongo?

    Sijawahi kuelewa kwa nini Jesca ni habari kubwa sana ya mjini!
  15. Sex body

    Piki piki ipi ni imara kwa Barabara zetu za kibongo bongo

    Wakuu Habari,naomba niende moja kwa moja kwenye mada nahitaji kumiliki piki piki ila naomba nipate ushauri ni piki piki gani nzuri ya kununua kati ya hizi Sinoray SR250 & XR650 Or xr250 Hasa ukizingatia upatikanaji wa vifaa vya matengenezo na ubora wa kustahimili barabara za vumbi sambamba na...
  16. Yoda

    Ni watu maarufu wanasilimu kwa kasi bongo au watu kusilimu huambatana na kampeni kubwa ya matangazo?

    Wabillahi taufiq, Nimeona taarifa za kusilimu kwa watu maarufu wa mitandaoni bongo hivi karibuni, kuanzia Pierre Liquid, Snura majanga na Gigy money. Watu wakisilimu taarifa zao hujaza sana mitandaoni kuanzia kusilimu kwao, kufunga ndoa za Kiislamu na kwenda kuhiji Mecca. Sijawahi kuona...
  17. Yoda

    Kuna mradi mpya bongo awamu hii ambao haujapewa jina la Samia?

    Leo nimesikia tangazo la Samia Land clinic, mradi kwa ajili kutatua matatizo ya ardhi. Kuna Samia cup, Samia Stadium, Samia SGR Station, Samia this Samia that... Kuna mradi mpya utaanzishwa usipiwe jina lake awamu hii? Vipi kuhusu Samia Airport?
  18. Kipenzi Changu

    Je, hii ndio Rap Song of All Time kwa Bongo?

    https://youtu.be/UiIa2i29PZ4?si=2FBzIVDQBmQWwV81 Sikiliza mistari, mstari kwa mstari Sikiliza beat, sijui nani aliwatengenezea Sikiliza Father Nelly(RIP) anavyonata na hilo beat Sikiliza ujumbe mzito, ujumbe relevant mpaka leo Ninazijua nyimbo zote za Rap toka 2010s kushuka chini. Nawajua...
  19. O

    Mbona wanawake wakikamata PESA NDO wanaanza kusema wanajitambua

    Eti kujitambua ni nini? Mbona wanawake wakikamata PESA NDO wanaanza kusema wanajitambua Ikifika hiyo stage kama ALIKUWA na mume anaanza kuona kero, hasa kama atamzidi, kama ALIKUWA na mchumba ake vivyo hivyo. Anaanza KUWA mwanamme WA kike, anaanza kusahau KUWA ana ..., anaanza KUWA feminist...
  20. M

    Kununua gari kwa mbongo ni mtihani, wauzaji wengi wanaficha matatizo yaliyowashinda, mnunuzi anaachiwa apambane nalo.

    Hata ukienda na fundi ni ngumu kukagua matatizo yote. Gari inaweza kukazwa vizuri unapoenda kuinunua na ukaitesti ukajisifu umevuta chuma ila kuna matatizo hutaweza kuyaona kwa muda huo, utayajua baadae Gari kunywa sana mafuta Enhine kumaliza oili haraka kila miezi mitatu unabadili Gari...
Back
Top Bottom