Dharau zilivyoiponza Uganda, Mlipuko wa Bomu Kampala

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,503
2,977
Jumanne 16, Novemba 2021, zilisambaa picha katika mitandao ya kijamii zikionesha mlipuko uliotokea katikati ya mji mkuu wa Uganda Kampala. Taarifa kutoka katika mamlaka nchini humo zimeeleza kuwa kilichotokea tukio la kujitoa mhanga katika maeneo mawili tofauti. Moja ya mlipuko huo ulitokea jirani na Bunge la nchi hiyo na mwingine ukitokea karibu na Kituo Kikuu cha Polisi. Mwezi uliopita kulitokea milipuko mingine tena Kampala na kusababisha vifo vya watu wawili akiwemo mhudumu wa baa.

Habari mbaya ni kwamba Ijumaa ya Oktoba 15, 2021 Uingereza walionya juu ya uwezekano wa kutokea tukio la kigaidi nchini Uganda lakini Jeshi la Polisi nchini humo lilieleza kuwa hakuna haja ya kuinua na kuongeza viwango vya tahadhari kwani hali ni shwari nchini humo.

Mwezi mmoja na siku moja baadae Uganda imekumbwa na kilekile ambacho waliambiwa na wakakipuuza, pengine wasingedharau na kuongeza ulinzi labda wangeweza kuzuia tukio hili. Tuchukue tahadhari, tujifunze, bora kinga kuliko tiba.

Picha kwa hisani ya mtandao.

Uganda.jpeg
 
View attachment 2014011
ingekuwa bongo tungeishutumu uingereza kuwa ina mafungamano na magaidi,.....uingereza walijuaje?
 
mbowe kiboko pamoja na wadau Kama uingereza marekani walichemka kutoa taarifa mapema kwa polisi tz kwamba kunampango huo
 
Jumanne 16, Novemba 2021, zilisambaa picha katika mitandao ya kijamii zikionesha mlipuko uliotokea katikati ya mji mkuu wa Uganda Kampala. Taarifa kutoka katika mamlaka nchini humo zimeeleza kuwa kilichotokea tukio la kujitoa mhanga katika maeneo mawili tofauti. Moja ya mlipuko huo ulitokea jirani na Bunge la nchi hiyo na mwingine ukitokea karibu na Kituo Kikuu cha Polisi. Mwezi uliopita kulitokea milipuko mingine tena Kampala na kusababisha vifo vya watu wawili akiwemo mhudumu wa baa.

Habari mbaya ni kwamba Ijumaa ya Oktoba 15, 2021 Uingereza walionya juu ya uwezekano wa kutokea tukio la kigaidi nchini Uganda lakini Jeshi la Polisi nchini humo lilieleza kuwa hakuna haja ya kuinua na kuongeza viwango vya tahadhari kwani hali ni shwari nchini humo.

Mwezi mmoja na siku moja baadae Uganda imekumbwa na kilekile ambacho waliambiwa na wakakipuuza, pengine wasingedharau na kuongeza ulinzi labda wangeweza kuzuia tukio hili. Tuchukue tahadhari, tujifunze, bora kinga kuliko tiba.

Picha kwa hisani ya mtandao.

View attachment 2014011
Habari mbaya ni kwamba Ijumaa ya Oktoba 15, 2021 Uingereza walionya juu ya uwezekano wa kutokea tukio la kigaidi nchini Uganda lakini Jeshi la Polisi nchini humo lilieleza kuwa hakuna haja ya kuinua na kuongeza viwango vya tahadhari kwani hali ni shwari nchini humo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom