Bodi ilianzishwa mwaka 2005 kwa lengo zuri kabisa la CCM ya KIKWETE kusaidia wanyonge. Wakurugenzi wengi walipita, Nyatega ambaye baadaye alitumbuliwa alikuwa mtu mzuri na pia alipata kashfa ya kuweka fedha hizo kwenye FIXED account kabla ya kuwapatia wanafunzi, maandamano hayakuisha na Kikwete...