Upendo sasa hivi katika mahusiano ya kimapenzi, bila kuwa na MUNGU ndani yako hesabu ni maronyaronya. Jione uko sokoni tu unasagulasagula. Tena soko la kikundi morogoro
Usijipe uhakika hata robo vinginevyo umeamua kumuishi MUNGU kwa kufata sheria na amri zake. Mambo mengi yamebadilika, nyakati...