binti

Binti Jua (born March 17, 1988) is a female western lowland gorilla in the Brookfield Zoo, in Brookfield, Illinois, outside of Chicago, US. She was involved in an incident in 1996, in which she tended to a three-year-old boy who had fallen into her enclosure.
Binti Jua (whose name means "Daughter of Sunshine" in Swahili) is the niece of Koko, a gorilla whose linguistic accomplishments have been the subject of several scientific studies. Her mother, Lulu, was originally from the Bronx Zoo and died on January 24, 2011, after residing at the Columbus Zoo and Aquarium. Her father is Sunshine, from the San Francisco Zoo.

View More On Wikipedia.org
  1. Kifaru86

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna binti nilimuahidi nitamuoa mwaka huu ila bado mambo magumu, nifanyeje?

    Huyu binti nina mwaka nipo nae katika mahusiano na moja kati ya promise niliyomuahidi nitamuoa mwaka huu mambo yangu yatakapokaa sawa Ila mpka sasa mambo magumu. Na binti naye kwao wameanza kumsumbua kwani alishawaeleza ana mchumba anataka kumuoa sasa home kwao mpaka sasa hivi wananisikilizia...
  2. Juandeglo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naongea na msichana au binti

    Upendo sasa hivi katika mahusiano ya kimapenzi, bila kuwa na MUNGU ndani yako hesabu ni maronyaronya. Jione uko sokoni tu unasagulasagula. Tena soko la kikundi morogoro Usijipe uhakika hata robo vinginevyo umeamua kumuishi MUNGU kwa kufata sheria na amri zake. Mambo mengi yamebadilika, nyakati...
  3. Nyankurungu2020

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miaka ya nyuma ilikuwa dili kumvua nguo ya ndani binti, siku hizi wanavua wao

    Miaka ya nyuma ilikuwa raha sana kwenda kuchapa demu. Kwanza unamsotea kutongoza halafu kama amekukubali anakupa penzi kwa mbinde. Kumvua nguo ya ndani inakua ugomvi na unakula mzigo kijasho kinakutoka. Siku hizi mabinti wakiingia geto wanavua kabla hata mwanaume hajavua!
  4. MamaSamia2025

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamua kuoa Msabato

    Nimefikiria kwa makini sana nimeona ni jambo sahihi kuoa binti wa kisabato, sababu ni zifuatazo; 1. Nitaokoa zaidi ya milioni 2 kwa mwaka kutoka kwenye hela za kuhudumia nywele. Milioni 2 ni kama matofali 2000. 2. Kwenye msosi nitaokoa hela nyingi sana kwa mwaka zaidi ya milioni 3 kwasababu...
  5. Amina68

    JamiiForums Tanzania SoC01 Manka binti mrembo, Mzaliwa wa Machame na mkazi wa Tandale alivyobahatika kuacha ukahaba mpaka kuwa dereva Ikulu

    Kwa majina naitwa Manka, Mzaliwa wa Moshi Machame, mkazi wa Tandale Dar es salaam. Nilifanikiwa kuanza masomo yangu ya msingi Dar, na kufanikiwa kujiunga masomo ya Sekondari shule wanafunzi wenye vipaji maalumu Tabora Girls, ambapo nilisoma mpaka kidato cha nne, na kufanikiwa pia kuendelea na...
  6. Geo C Starfish

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mateso ya Binti wa Shule yaliyopuuzwa na Jamii

    Katika familia nyingi za kiafrika hasa ndani ya nchi yetu ya Tanzania, kuzaa watoto inachukuliwa kama baraka kubwa sana na hasa watoto hao wakiwa wa jinsia zote mbili, watoto wa wakiume na watoto wakike. Na hata inapotokea familia imepata watoto wote wa jinsia moja, wazazi huiona kama...
  7. Inkotanyi 94

    JamiiForums Tanzania Msaada wenye viona mbali: binti aliyesoma PCM, div 3

    Tuko zama za kuchagua kozi kwa busara na si kusoma tu. huu ni uwanja wa wazoef katika uwekezaji kielim. binti yangu alipata div 3 pcm. nimwelekeze mlengo gani kifani?
  8. Napoleone

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hili kosa linafaa kumuacha kabisa huyu binti?

    Wakuu siku mbili tatu hizi kuna majukumu makubwa nimefanya sasa kwa asilimia kubwa nimekwangua mfuko wangu na akiba karibu asilimia 80. Sasa nikabaki na kapesa kadogo kakusukuma siku mbili tatu. Sasa kuna bint huyu shemej yenu kaja hapa kwangu tokea siku ya sabasaba kaondoka leo mda si...
  9. Swahili_Patriot

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti wa mpangaji mwenzetu katembea na kundi letu lote lenye vijana watano

    Tunaishi watu 5, maisha ya kighetogheto. Kuna jirani yetu flani hajielewi kabisaaa, mme wake mwenyewe ni yanki tu kijana n anamzaa kabisa. Shida ilitokea baada ya mwanae kwenda kuhamia kwa mamaake. Alipohamia tu mwenetu mmoja akamuwai fasta kutokana n utimamu wa kumaimbile wa mtoto, hatareee...
  10. tyc

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Binti adaiwa kumuua mama yake kisha kumng’oa macho

    Mwanafunzi wa kidato cha nne Shule ya Sekondari Kindi Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro anadaiwa kumuua mama yake mzazi, Marietha Mushi (62) kwa kumnyonga na shuka, kisha kumpiga na kitu kizito kichwani na kumng’oa macho. Habari zinaeleza kuwa mama huyo alikuwa na ulemavu wa mkono jambo...
  11. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni muda gani naweza kumtongoza binti baada ya kufahamiana?

    .
  12. A

    JamiiForums Tanzania Hii ni picha ya kuchora, inamuonyesha binti mtumwa kutoka Afrika akiwa Uarabuni

    Inauzwa katika minada ya antique, ni picha chache za kuchora ambazo bado zinapatikana. Nimevuta hisia, maisha way huyu binti si ajabu hajui hata wazazi wake walipo. Sura yake haionyeshi furaha bali ina ujasiri. Ni mara chache sana kuona kumbu kumbu za Watumwa waliokwenda Arabuni. Wengi wao...
  13. Juandeglo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Binti ijue thamani yako. Hujachelewa

    Niliwahi kusoma sehemu kwamba lulu ina thamani kubwa sana. Kumbe lulu hutokea kwenye vina vikubwa huko vya maji na mpaka zitengenezwe ni process kubwa. Na ndio maana wanaozitafuta hustruggle sana kuzipata. Sasa binti, kichuna wewe ni mrembo na wa thamani sana. Kama kuna anguko umeshapitia...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Barua ya Uchumba; sababu 30 zilizonifanya nimpose Binti Yenu

    BARUA YA UCHUMBA; SABABU 30 ZILIZONIFANYA NIMPOSE BINTI YENU. Kwa Mkono wa, Robert Heriel Taikon , kijana wenu, mwana wa Tibeli, kutoka nyota ya Jibi, Kuhani katika Hekalu Jeusi. Na, Kwa Baba na Mama Mkwe, wa Nchi ya Maziwa na Asali, inayomea miti izaayo matunda misimu yote. Neema ya Mungu...
  15. E

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unajisikiaje kumuona binti chuoni hapati mahitaji kisa hana pesa?

    Unajisikiaje unapoona kuna msichana anasoma chuo na wewe, anashindia mlo mmoja kwa siku? Unajisikiaje kuona msichana aliye chuo anavaa hovyo kwa kukosa pesa wakati anapenda kupendeza? Naumia sana ninapoona chuoni ninaposoma, kuna msichana anakula mlo mmoja kwa siku, havai vizuri, amekosa nuru...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tuhuma za Bi Sandra (Mama Diamond) kumnyanyasa binti wa Miaka 14 kutoka Congo

    Poleni na Majukum watanzania Leo nimeona nije na ili swala la Uyu Mama Diamond kujiona Mungu mtu kwa watoto wa watu Hivi serikal yetu ikowap imtetee uyu mtoto Rais Mama Samia Naomba kama utapendezwa mtendee haki uyu mtoto alie taka kufanyiwa kitu kibaya na wanaume wa nne alie fanya kazi za Ndan...
  17. Ghost boss

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatma ya binti Monica ni ipi?

    Habarini ndugu zangu, jina langu naitwa Monica ni msichana mwenye umri wa miaka 25 sijaolewa bado. Ni miezi mitatu tangu nimpate mtu ambaye niliona ni sahihi kwangu ni mtu ambaye alikuwa huru namm sana pia ni mtu ambaye naweza ishi nae kama rafiki na mume pia na nikiwa nae ananifanya niwe mtu...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mambo ambayo unapaswa umpe binti yako katika karne hii yakayomsaidia katika maisha

    SAFIRI SALAMA NA BINTI YAKO, USIMUACHE; HUKO MBELE HAKUFAI. Kwa Mkono wa Robert Heriel Andiko hili lamfaa mtu yeyote yule, hasa wazazi wenye watoto wakike. Bila shaka litakuwa msaada kwa sehemu kubwa ikiwa litazingatiwa. Nilipokuwa mwaka wa pili pale UDSM nikiwa naishi Sinza Kwaremi, nilipata...
  19. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Meghan na Harry wamebahatika kupata mtoto wa pili ni binti amepewa jina Elizabeth Diana

    Meghan amejifungua salama mtoto wa kike aliyepewa jina Lilibet Diana Winsor.
  20. Ta Muganyizi

    JamiiForums Tanzania Kamuachisha shule binti yangu, kamuoa. Anasema hakuna wa kumfanya lolote Serikali hii

    Habari za leo wapendwa. Sijui ni dharau kwa serikali ama siasa moe sielewi. Kuna baba mtu mzima ana watoto wakubwa. Binti yangu alikuwa anasoma Sengerema kidato cha sita. Huyo baba kamuachisha binti yangu shule na kumuweka ndani kinyumba. Huyo baba anasema Serikali hii hakuna wa kumfanya...
Back
Top Bottom