Naombeni ushauri juu ya huyu binti

Phiz

Member
Jul 15, 2021
21
11
Kuna binti mmoja nilikuwa nadate naye kwa kipindi flani hivi, ila nikaja kuona kuwa mambo yake hayaeleweki na nikamuweka kando tena nilimwambia kabisa kwamba achukue time zake na mimi nifanye mambo yangu, ila kikapita kipindi flani baadaye akaanza kunitafuta na tukawa tunasalimiana fresh tu ila mimi kutokana na mambo yake sipo tayari kuwa naye tena japo bado moyo wangu unamfikria sana tu.

Sasa wana JF nifanyeje ili kuepukana naye na nisimfikirie kabisa?
 
Wewe ndio tatizo ila siyo yeye, Futa namba ake, jiepushe na njia yeyote itakayofanya ukutane nae.
 
mbo yake sipo tayri kuwa nay tena japo bado moyo wangu unamfikria sana tu.Sasa wana JF nifanyeje ili kuepukana nay na nisimfikilie
Fanya unachoona ni sahihi ubaki au uendelee kuacha
 
japo bado moyo wangu unamfikria sana tu.Sasa wana JF nifanyeje ili kuepukana nay na nisimfikilie kabisa?

Nakodisha mioyo migumu 'isiyofikilia' mapenzi...kwa siku jero tu!
 
Kama na wewe bado unamfikiria endelea naye tu maisha mengine yaendelee hakuna binadamu mkamilifu.
 
Back
Top Bottom