binafsi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Kuna kelele Nyingi za Kuendesha Kwa Reli zetu na kampuni Binafsi sasa huko walianzia mambo si mambo tena

    Metro – End of the line for failing train firms Labour has pledged it will nationalise the railways should the party prevail at the next election, Metro reports. Shadow transport secretary Louise Haigh told the paper the “current model doesn’t work for anyone”. The plan would see a Great...
  2. 4

    JamiiForums Tanzania Nimejiridhisha waliotumbuliwa kwa vyeti feki ndo wamejazana taasisi binafsi hasa secta ya Afya

    Wakuu jf Mungu amewabariki popote mlipo na ilisha kua labda tu kwa mafisadi tu Mwaka 2017 aliekua Rais wa JMT alitumbua watumishi wa umma waliokua na vyeti feki katika kada mbalimbali, may be lengo lake ilikua vijana wasio na doa kwenye Elim ,kupata ajira Ila kwa uchunguzi wangu hawa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nina pikipiki binafsi naomba mchongo

    Habari ndugu zangu poleni na majukumu ya kilasiku Kama kichwa kinavyojieleza mimi ni kijana wa kiume umri 22 ni mwanachuo wa chuo x hapa Dar kutokana na changamoto za usafiri plus Nauli nikijichanga nkawa na usafiri wangu. Nimekuja ndugu zanguni mnisaidie kupata mishe yoyote iwe ya kufanya...
  4. JamiiForums Tanzania Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya Maadili ya CCM

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Ndugu Paulo Makonda ameitwa kwenye Kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi. Ameelekezwa kufika kwenye Kamati hiyo tarehe 22/04/2024. ===== Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemuita Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda kwenye Kamati ya Maadili. Makonda anatarajiwa kufika...
  5. JamiiForums Tanzania Shemsa Mohammed awasisitiza Wabunge na Madiwani kutekeleza ahadi binafsi

    MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Seif Mohammed amewataka Wabunge na Madiwani kuhakikisha wanatekeleza ahadi zao binafsi walizotoa kwa wananchi wakati wanaomba kura kwenye uchaguzi wa mwaka 2020. Mwenyekiti Ndugu Shemsa Seif Mohammed amewataka ametoa wito...
  6. JamiiForums Tanzania Maendeleo katika Jamii: Kutoka Mtu Binafsi Hadi Jamii Nzima

    Mwezi uliopita, nilichapisha makala kuhusu Kupanga ni Kuchagua na Kuchagua ni Kupanga. Nashukuru sana kwa wasomaji wangu ambao wamekuwa chachu ya kuandika machapisho haya na mengine mengi. Ningependa kuzungumzia ukuaji katika maendeleo ya jamii. Moja ya changamoto kubwa tunayokabiliana nayo ni...
  7. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa kutafakari kutoka kwa Waziri Salum, Katibu binafsi wa Rais Samia

    “Unaweza kuanzisha fitna au kuumiza watu kwa siri na ukaona umefanikiwa. Maana hakuna anayekujua. Fitna hiyo fahamu itakuwa, itasambaa na itakomaa. Ikishakomaa huwa na tabia ya kurudi ilipoanzia na inaumiza kama vile wakati unaianzisha kwa lengo la kuwaumiza wenzio ukajisahau kama itarudi...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa akabidhi Tsh. 50,000,000 kutoka mshahara wake kusaidia Wanarufiji waliokumbwa na mafuriko

    11 April 2024 Dar es Salaam, Tanzania (Google translator) Mchengerwa hands over Tshs. 50,000,000 from his salary to help the Rufiji people affected by floods in the River Rufiji delta Member of Parliament for Rufiji constituency Hon. Mohamed Mchengerwa hand over Tshs 50,000,000 (over...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali shirikisheni kampuni binafsi za ukaguzi za "Big Four" kudhibiti ukwepaji kodi

    Mnachotakiwa kufanya ni kila mwaka kuwapa kandarasi mmojawapo Big four wa audit ambao ni KPMG, E&Y, PWC au Delloite wafanye ukaguzi wa nje "External Audit" kwa wafanyabiashara wakubwa 1000 na wa wakati 1000 ambao mahesabu yao ya kodi tayari yameshapitishwa na TRA. Hao wafanyabiashara wakubwa na...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba kujua tofauti ya mtu asiye na gari na mwenye gari lakini kila siku analipeleka gereji kutengenezwa

    Hapa kIpaumbele changu Kikubwa ni kusoma tu Comments zenu Matajiri, Wasomi na Masikini Wenzangu hapa JF sawa?
  11. JamiiForums Tanzania Wakusanyaji na Wachakataji wa Taarifa Binafsi Tanzania watakiwa kuanza kujisajili kwenye Mfumo wa Tume

    Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi imetangaza kuanza Usajili wa Wakusanyaji na Wachakataji wote wa Taarifa Binafsi nchini ambapo imetoa muda wa miezi 6 kuanzia leo Aprili 10, 2024 kwa wahusika kukamilisha zoezi hilo Watoa Huduma hizo wanapaswa kutekeleza wajibu huo kwa kufuata Kifungu Namba...
  12. JamiiForums Tanzania Maoni Binafsi: Mzee Wassira alipaswa kuwa Rais wa hii nchi

    Najua wapo watakao beza ila huyu mzee ni presidential material aisee. Kama ulikuwa unamfahamu kijuu juu chukua muda wako mfahamu kwa kina zaidi. Nashauri chama changu kimpe nafasi mwakani kwa lazima hata kama hataki, atuongoze kwa miaka 5 tu.
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi ni muhimu?

    Juzi (03.04.2024) tumeshuhudia Mh. Raisi akizindua Tume ya ulinzi wa taarifa binafsi na kusisitiza juu ya ulinzi wa taarifa binafsi kwakufata sheria. Sasa, je ni kwanini Sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi ni muhimu kwetu watanzania? Leo nitawasanua wadau juu ya umuhimu wa sheria hii mpya nchini...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO NSSF iingilie kuhakikisha Malipo kwa wafanyakazi sekta Binafsi yanafanywa

    Sekta Binafsi, Makampuni binafsi baadhi hawaweki pesa za Wafanyakazi katika mifuko yao ya mafao na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) lipo tu halichukui hatua zozote. Sijui Maafisa wanafanya kazi gani kama sio kufuatilia malipo ya Wafanyakazi, Je wanataka Watu wakihitaji mafao waanze...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi imezinduliwa, ianze na wale wanatumia taarifa za watu kwenye Vifungashio

    Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya Mwaka 2022, ilianza kutumia rasmi Mei 01, 2023 na Tume inayosimamia Ulinzi wa Taaarifa Binafsi japo ilianza kufanya kazi tangu Mei 2023, imezinduliwa jana na Rais wa Samia Suluhu Hassan. Najua Tume ina kazi nyingi za kufanya hasa kwa wakati huu ambapo ndio...
  16. JamiiForums Tanzania Binafsi siwezi kuishi na mtu anayeenda kwa Waganga wa kienyeji na Mchawi

    Habari Wakuu! Watibeli ni bora tufe lakini kamwe hatuwezi kuwafuata waganga au wachawi. Ushirikina na uchawi kwetu ni kama kosa la mauaji, au kosa la usaliti. Binafsi siwezi ishi na mtu ambaye anapenda mambo ya kishirikina, anaenda kwa waganga, au anadalili za uchawi uchawi. Mke akijihusisha...
  17. JamiiForums Tanzania Zifahamu kazi za Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi inayozinduliwa na Rais Samia

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni rasmj katika hafla ya Uzinduzi wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi utakaofanyika Kesho katika ukumbi wa JNICC jijini Dar es Salaam Kwa mujibu wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya mwaka 2022 kazi ya Tume hiyo ni pamoja na;
  18. JamiiForums Tanzania Kesi muhimu katika ulinzi wa taarifa zetu binafsi

    Kati ya moja ya jiwe (case) muhimu kwako wewe kama mwanasheria ni hili, kesi hii iliyoamuliwa na Mahakama Kuu (MK) ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa ufafanuzi kuhusu sehemu sahihi ya kuwasilisha madai yanayohusiana na ulinzi wa wa taarifa binafsi nchini Tanzania. Kweny kesi hii...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni muda sasa wa Katiba Mpya ipitishe kifungu cha mgombea Binafsi au Kuruhusu Katiba ya Warioba

    Ni miaka 62 sasa Toka Tupate Uhuru, Lakini matakwa ya Watanzania na Tanzania walioitaka Bado haijafanikwa kupatikana.. Walau hata kwa 40% Bado Nchi inajitahidi kufikisha angalau matakwa kwa 50% au hata zaidi ya hapa katika uchambuzi wangu binafsi.. Nimegundua Tatzo ni Sera,Ilani na Hata katiba...
  20. JamiiForums Tanzania Maafisa Usalama wavamia nyumba za Diddy, akakimbia msala na ndege yake binafsi inafuatiliwa huko Antigua Caribbean

    JUST IN: Rapper Diddy's private jet has been tracked to the Caribbean islands after his homes were raided in relation to a s*x trafficking investigation. The jet appeared to land on Antigua in the Caribbean according to flight tracking data. At the moment, it is unknown if Diddy is actually on...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…