binafsi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania Kufundisha vyuo vikuu binafsi

    Hello family? Naomba kupata uzoefu wa mtu aliyewahi au anayefundisha vyuo vikuu binafsi nchini. Hali ya malipo ikoje? amenities kama zinakuwa provided timely, job security, na treatment ikoje? Nikipata mwenye uzoefu na vyuo kama SAUT, TUMAINI na St. John itakuwa bora zaidi. Ahsante.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuna huduma za kuchangia mbegu?

    Mimi nauliza tu, Hivi Tanzania kuna sehemu Ke au Me anaweza kuchangia mbegu au yai ili kupata mtoto bila wazazi kukutan kimwili?
  3. denoo JG

    JamiiForums Tanzania Binafsi nayaona mambo makubwa manne kwenye teuzi na tenguzi za Samia za kila siku.

    Habari zenu wana jamvi!. Siku za karibuni Rais wa JMT Mh. Samia S. Hassan amekuwa akifanya teuzi na tenguzi za mara kwa mara, tena this time sio tu amekuwa akitengua wale ambao hakuonekana kuwaamini toka mwanzo, lakini sasa anatengua mpaka wale wandani wake wa karibu. Binafsi nimekaa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Nimeelewa kwanini mashirika ya serikali yanafail na binafsi yanafanikiwa

    Nilikuwa natumia superkasi kwa muda mrefu sasa nikaona nihamie tigo fiber maana kwangu itakuwa cheap na kwa sababu ni fiber latency itakuwa chini hivyo uhakika wa video na voice calls kuwa na kiwango cha juu ni mkubwa kuliko wi-fi. Nililipia internet ya fiber ya tigo just 5 days ago, after a...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kihenzile: Sekta Binafsi Nunueni Ndege Mzilete Tanzania

    Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Kihenzile amewataka Wadau wa Sekta binafsi na Wadau wa usafirishaji kwa njia ya anga waliopo ndani na nje ya Nchi kuwekeza katika ununuzi wa ndege ili kuunga mkono jitihada za Serikali za kuboresha usafiri wa anga hapa Nchini. Mhe. David Kihenzile ametoa...
  6. MUCOS

    JamiiForums Tanzania Maoni binafsi: Namna/Jinsi wanawake wanavyosababisha wanaume wengi kuchepuka katika ndoa

    Wasalaam, Wana JF wote. Leo nina mada kidogo kuhusu suala la uchepukaji kwa wanaume hususani walioko katika ndoa kunakosababishwa na wanawake wenyewe. Nikiwa miongoni mwa wanaume walioko katika ndoa nimeonelea ni vema nikatoa maoni yangu kuhusu suala la wanaume wengi kuchepuka kwenye ndoa...
  7. Bess

    JamiiForums Tanzania Mawakala Binafsi wa huduma za Ajira

    Naomba kujua Mawakala Binafsi wa huduma za Ajira Tanzania tafadhali, toa mifano michache
  8. W

    JamiiForums Tanzania Mabosi punguzeni unoko duka linavyostawi mauzo, Binafsi ninajua kijana ananiibia kiasi kidogo lakini nimepiga kimya, nikimtoa ni ngumu kupata mbadala

    Kuna vijana unawaweka dukani unaona kabisa uwepo wao ndio unachangamsha biashara kuanzia kutafuta wateja, ku negotiate, kutangaza biashara, kazoeleka na wateja, n.k. yaani wewe kila ukienda kufunga hesabu unakuta daftari la mauzo linameremeta. Sasa kijana kaiba lets say elf 5 au 10 kwenye kila...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa TPSF, Bi. Angelina akizungumzia changamoto ya wafanyabiashara sekta binafsi

    WADAU WA TPSF 'WAICHARUKIA' TRA / WADAI KUKADIRIWA KODI ZA 'UWONGO'/ RUSHWA YATAJWA https://m.youtube.com/watch?v=j869hATU_8U Biashara ya usafirishaji kwa asilimia 75 tunafanya na nchi za kusini za SADC, asilimia 25 iliyobaki tunafanya na Bururundi, Rwanda hilo serikali iliangalie Sheria za...
  10. Macbook pro

    JamiiForums Tanzania Nini kilikufanya ukaacha ajira ya serikalini ukaingia sekta binafsi?

    Habari zenu ndugu zangu na wanajamvi letu pendwa la HHM. Nimekuja kwenu tena kama mwanajamvi kujifunza kitu kutoka kwenu. Kama utafuatilia hapo nyuma niliweka uzi wangu juu ya kukosa morali na mvuto na ajira yangu. Labda niweke hivi, Kabla sijaingia kwenye ajira nilikuwa na kibiashara changu...
  11. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa mbunge wa Segerea. Anapambana sana kwa ajili yetu

    Aisee maendeleo yanatembea kwa kasi sana. Nmeshuhudia maboresho mbali mbali ya barabara na madalaja ,mashule n.k Anaupiga mwingi Pongezi Mbunge wangu Bonna Ladislaus Kamoli
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Kibaha Mji: Hatuhusiki mgogoro wa eneo la Matuga, Maafisa wetu walioenda huko walikuwa na mambo yao binafsi

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai kuna kuna baadhi ya Mafisa wa Halmashauri ya Kibaha Mji wamekuwa wakiwasumbua Wananchi wa Matuga, Kibaha Vijijini kwa kuwatishia ili kuwaondoa kwenye makazi yao, Kibaha Mji imetoa ufafanuzi wa kinachoendelea. Innocent Byarugaba, ambaye ni Afisa Mawasiliano...
  13. HONEST HATIBU

    JamiiForums Tanzania Weka Hali Yako ya Kifedha Binafsi

    Weka Hali Yako ya Kifedha Binafsi 1. Usishiriki maelezo ya mshahara wako kwenye mitandao ya kijamii. 2. Usijigambe na mafanikio yako ya uwekezaji mtandaoni. 3. Epuka kuchapisha kuhusu changamoto zako za kifedha hadharani. Ukweli ni kwamba... 1. Sio kila mtu atakayefurahia mafanikio yako ya...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Kisheria kwa watuhumiwa wasio na uwezo wa Wakili binafsi?

    Je, kuna msaada wowote wa Kisheria (ikiwemo kuwekewa mwanasheria na serikali) kutoka Taasisi za Serikali kwa Watuhumiwa ambao hawana uwezo wa kulipia Wakili binafsi?
  15. A

    JamiiForums Tanzania Wanawake washauriwa na mchungaji Christina shusho kuzaa watoto wachache na kupanga uzazi binafsi bila kumshirikisha mwanaume

    Ameshauri wawe wajanja kuzaa kuijaza dunia Mungu hakumaanisha Kuwa na watoto wengi Bali kufanya vitu vingi..pia amedai alikataa Dola za kimarekani elfu 20 kutoka Kwa kigogo alietaka kulala nae..hivi ndo anatangaza dau lake kijanja au anajisafisha mbele ya jamii Ione Kuwa Huwa hadangi
  16. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Je,Wanyama huhisi Kama kuna kufa?

    Tembo na jamii ya nyani wanaonekana kuomboleza wanapompoteza mwenzao pengine na dolphin kwa jinsi alivyo na akili huenda akawa anajua japo sina uhakika.vipi kwa wanyama wengine Kama Fisi,simba,ngamia,punda,kuku na wengineo huwa wana kaa na kufikiria kwamba kila nafsi itaonja mauti?yaani ukute...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini watumishi wa serikali wanatumia njia za mkato kufanikisha uhamisho? Hili ni jibu langu binafsi

    Nawasalimu wote. Naibu karibu mkuu OR-TAMISEMI anayeshughulikia elimu amekemea vikali tabia ya baadhi ya watumishi kuhama kwa kutumia njia zisizo rasimi huku akihusisha jambo hilo na pesa. Ameenda mbali zaidi kwa kueleza kuwa Kuna maafisa Wana barua za uteuzi ambazo hazitoki kwa katibu mkuu...
  18. K

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ushirikishwaji wa sekta binafsi katika miradi ya serikali

    Tumeona serekali yetu ikitekeleza miradi mipya ya kimikakati mikubwa kama ujenzi wa reli ya kisasa mabasi ya mwendo kasi na bwawa la kufua umeme la mwalimu nyerere hii yote ikiwa ni mipango na mikakati ya kufikisha huduma bora kwa jamii. Tumeona treni ya SGR imekamilika na kuanza kazi...
  19. I

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wizara ya elimu fuatilieni shule binafsi za msingi zinazokiuka maagizo ya Serikali

    Tunatambua umuhimu wa wanafunzi wa darasa la 4 na darasa la 7 kusoma na kujiandaa kwa ajili ya mitihani yao ya kitaifa baadae mwaka huu. Lakini imekuwa ni kawaida kwa shule za binafsi kukiuka utaratibu wa mapumziko(likizo)pindi shule zinapofungwa kwa kulazimisha wanafunzi kupumzika Kwa wiki moja...
  20. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maneno anayotoa Tundu Lissu majukwaani na mitandaoni si ya CHADEMA ni ya binafsi

    Salaàm! * Habari ya kuwa Abdul alimfuata ili ampe rushwa ni maneno yake mwenyewe. JIULIZE Why mwanasheria nguli afuatwe ili apewe rushwa afu asishitaki kwenye vyombo vya dola. * Kutoa, kushawishi ni jinai - sasa iweje ashawishiwe afu asitoe taarifa kwenye mamlaka za kidola? Uzanzibari vs...
Back
Top Bottom