binafsi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza Computer HP Laptop mbili (2) mali yangu binafsi

    LAPTOP COMPUTER HP INAUZWA BEI SAWA NA BURE Brand: HP Model: Probook 450 G5 Ram: 16 Storage: 512 (SSD) Proccesor: core i5 Bei: Tsh 680,000/- Computer bado ipo Kwenye Hali nzuri kabisa Location Mbezi Dsm Phone No: 0714739838 Karibuni
  2. O

    JamiiForums Tanzania Mtazamo binafsi: Wanafunzi wanufaika wa mikopo wafungue mashtaka juu ya ucheleweshwaji wa stahiki zao

    Habari za mda wanajukwaa. Moja kwa moja niende kwemye mada husika. Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na malalamiko kutoka kwa wanafunzi wa elimu ya juu hapa nchi kuwa wamecheleweshewa stahiki zao( fedha za kujikimu) kutoka bodi ya mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu. Ifahamike ya kuwa hizo...
  3. JamiiForums Tanzania Bodi ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya Umoja wa Ulaya yasema Chat GPT bado haifikii viwango vya usahihi wa Taarifa

    Juhudi za openAI za kupunguza matokeo yasiyo ya kweli kutoka kwenye chatbot yake ya ChatGPT yamegonga mwamba kwa sheria za data za Umoja wa Ulaya Jopo la wachunguzi lililoundwa kwaajili kufuatilia usahihi wa taarifa za ChatGPT imesema "Ingawa hatua zilizochukuliwa ili kuzingatia kanuni ya uwazi...
  4. JamiiForums Tanzania Binafsi naona kama mwanadada rapa Dipper Rato amezichanga vibaya karata za kisanii

    Wakuu wa sanaa na burudani habari! Kwa wale wanaofuatilia mziki wa bongo watakuwa sio wageni kwa huyu mwanadada anayejiita Dipper Rato. Binafsi nilimfahamu Dipper zaidi ya miaka 15 iliyopita. Ila ghafla alipotea kwenye game. Wakati namfahamu Dipper bado alikuwa akitumia jina la Dipper Kivuyo...
  5. F

    JamiiForums Tanzania SoC04 Matumizi ya Tuzo ya Milioni 50 kutoka Jamii forums kwa Maendeleo Binafsi na ya Nchi kwa Miaka 25 Ijayo

    Utangulizi Kushinda shindano la "Stories Challenge" na kuibuka mshindi wa shilingi milioni 50 ni tukio la kipekee linaloweza kubadili maisha. Malipo haya ni fursa adhimu ya kuweka msingi imara wa maendeleo binafsi na ya nchi. Katika makala hii, nitaelezea jinsi ninavyoweza kutumia fedha hizi kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Shule binafsi zaanza kukusanya Ada Kidato cha Kwanza 2025

    Ikiwa bado hata nusu mwaka wa kalenda 2024 hatujafika na Hata darasa la 7 hawajafanya mitihani. Tayari shule kadhaa binafsi zimeanza kukusanya Ada kwa ajili ya wanafunzi wa Kidato cha 1 mwakani (2025). Hii si sawa.
  7. JamiiForums Tanzania Amini Na Wajibika Binafsi Kujenga Utajiri Mkubwa.

    Rafiki yangu mpendwa, Ukiwaangalia watu wanaojenga utajiri na wale wanaobaki kwenye umasikini, hawatofautiani sana kwa nje. Unakuta wengi wanatokea eneo moja, wanafanya kazi au biashara zinazofanana, lakini matokeo yao ni tofauti kabisa. Hilo limekuwa linawashangaza wengi, kwa kushindwa...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali kuunga mkono uwekezaji wa sekta binafsi hasa katika sekta ya mawasiliano

    DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amesisitiza nia ya Serikali kuunga mkono uwekezaji wa sekta binafsi hasa katika sekta ya mawasiliano. Waziri Nape ametoa kauli hiyo wakati wa hafla ya utiaji saini wa makubaliano ya ujenzi wa minara ya...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Maraisi wastaafu wa USA wanafungua maktaba wetu wataka kujengewa maikulu binafsi!

    Maraisi wastaafu wa USA wanafungua maktaba tena kwa kuchangiwa wa watu. Wapendwa wetu maraisi wazalendo eti wanataka kujengewa nyumba kama Ikulu na wenza wao kulipwa. Hawajali hali ya wananchi, mabadiliko waliyofanya na historia wanayoacha zaidi ya matumbo yao. Sijasikia wazo la maktaba...
  10. JamiiForums Tanzania Mtumishi wa umma kutokuwa na gari na nyumba nzuri ni ujinga wake binafsi

    Hii ni kwa tathmini yangu Mimi kama nitakuwa siko sawia mnisamehe. Unakosaje kumiliki gari na nyumba huku una miaka zaidi ya 5 kwenye utumishi wa umma? Jitahidi mtumishi mwakani uachane na Daladala kama wanafunzi. Daladala waachie wanafunzi na machinga
  11. JamiiForums Tanzania Serikali imesema TRA haitozi kodi kwa wasafiri kati ya Zanzibar na Tanzania bara wanaobeba vitu kwa matumizi binafsi

    Serikali imesema kuwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) haitozi kodi kwa wasafiri kati ya Zanzibar na Tanzania bara wanaobeba vitu kwa matumizi binafsi. Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Danie Silo (Mb), kwa niaba ya Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi nyie mnaobeza na kukandia 'watoto wa 2000s' mna hoja au ni wivu tu na maslahi binafsi?

    Aaah yamenifika hapa! Nahisi hii ni vita kali na wengi wetu tunaingizwa mkumbo tu, wekeni sababu za msingi hapa tuone. Mimi rasmi simo kwenye huo upotoshaji, kama kuna sehemu niliwahi kunukuliwa basi nasema nilikuwa nimelewa au nilishinikizwa. Puuzeni kauli hiyo na mnisamehe bure, nimezaliwa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini kuna vita baridi kati ya taasisi za serikali na sekta binafsi?

    Amani iwe nanyi nyote. Kuna jambo moja naliona na si kuona tu Kila mwenye Biashara analalamika Wafanyabiashara wa magari wanalalamikia LATRA na TRA Kwa uwepo wa ukwamishshaji na kutengeneza mambo Magumu ili kufungua mwanya wa rushwa, Mifumo kutoingiliana Nikiwa na maana kwamba Unapoanza kufanya...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Uwajibikaji katika mahakama za masuala ya kazi (CMA) juu ya unyanyasaji kwa wafanyakazi sekta binafsi

    Hii kero inaumiza sana hasa wafanyakazi kupata haki zao pamoja na kupotezewa muda. Kuna Kampuni ya madini Kahama mkoani Shinyanga inajihusisha na uchimbaji wa madini, imetelekeza wafanyakazi bila chochote si malimbikizo ya mishahara, barua za kuvunja mkataba wala hela za NSSF, pia makato mengi...
  15. JamiiForums Tanzania Wewe Mtumishi wa serikali au sekta binafsi ......

    Wewe Mtumishi wa serikali au sekta binafsi inakuwaje unapambana au kushindana na jobless... Mimi jobless siijui na sina matumaini na kesho yangu, kwa sababu nikilala nikiamka mipango yangu kichwani na nguvu zangu ndio pesa yangu na mafanikio yangu, Mimi ni Mnyonge tu ..wewe ikifika mwisho mwezi...
  16. JamiiForums Tanzania Ni hatua gani za kufuata ili kuishtaki kampuni binafsi ambayo imenitapeli

    Kama kichwa kinavyoelezea hapo juu, kuna kampuni moja binafsi imenitapeli kiasi cha pesa. Sasa naomba kujua nawezaje kufungua kesi na kuishtaki ili niweze kupata haki yangu. Pesa yenyewe ninayowadai ni kidogo (250,000) ndio maana nasita kwenda kushtaki kwa kuhofia kuwa kunaweza kuwa na gharama...
  17. JamiiForums Tanzania Unafahamu kwanini matajiri wa Tanzania wanaogopa kumiliki ndege binafsi

    Matajiri wetu TZ wanaangalia hasara kwanza itakayotokea, halafu ndege ina umri wa kutumika. Rick Ross ndege yake imezingua
  18. B

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha saaaana na Inanitisha binafsi

    Jana weekend jioni nimekaa zangu sina ili wala lile nikaona nimcheki bro tunaishi wilaya moja ila maeneo tofauti tukasalimiana fresh nikaulizia kuhus familia yake akanambia shemeji yako kaondoka nikashtuka kdg maana sio taarifa njema kuuliza kwann nawaambia alikuwa mduanzi ana mambo mengi...
  19. JamiiForums Tanzania Sekta Binafsi tukatwe kodi kidogo. Tusifananishwe na Watumishi wa Umma

    Wasaaalam wana jukwaa, leo katika pita pita zangu za mjini nilienda ofisi moja ya muhimu sana, nikakuta watumishi wako muda wa mapumziko, nilifanikiwa kuchangamana nao na kujadili mawili matatu. Nilimsikia mmoja akisema kwamba amemaliza kusoma na hataki tena (training) ya aina yoyote kwa maana...
  20. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi serikalini vaeni mpendeze kama sekta binafsi

    Huwa nawaza hawa watumishi wa umma wanapatikanaje aisee ukienda ofisi za umma licha ya kuwa na majibu ya hovyo bado unakuta mtu amevaa sijui nini msabato siyo msabato tabu tupu angalia mabenki ya binafsi jinsi wadada wanawaka angalia hospitali binafsi mpaka unatamani uumwe nenda sasa hizo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…