Kwani watu wamekuwa wanyama hada viongozi wa kiafrika wanaojilimbikizia mali na kujikita kwenye ufisadi mkubwa hivyo ni vyema Mungu akawezesha viongozi wa kiafrika au utajiri wa mwafrika usizodi bilioni 2 ikizidi hapo basi uwe ni ugonjwa na aafe tu.
Nasema hivyo kwani roho mbaya zinawaandama...
Mfano suala ili la Mwendokasi serikali ambayo ina kila kitu lakini Imeshindwa kabisa kuendesha mwendo kasi waafrika hasa Watanzania ni kitu gani tunaweza.
Kama jambo dogo tu kusimamia Mwendokasi tumeshidwa ni kitu gani tunaweza kufanya kwa 100% Come on Oneni aibu basi
Tafakuri ya jumapili: Kuna mtu humu alisema alifanya ngono na shemeji yake kwa sababu alikua na harufu flani ya jasho la kwapa ikamuamsha hisia za kimapenzi.
Nimeshasoma nyuzi wa wakaka humu wanasema huwa wanapenda kaharufu ka asili na wengine kauvundo ka papuchi.
Tuambizane:
Je harufu...
Mnamo Machi 2022, manowari ya Felicity Ace iliyokuwa imebeba magari ya kifahari tupu ilishika moto na kuzama karibu na Azores, na kupeleka maelfu ya magari hayo ya kifahari kuzama kwenye sakafu ya bahari. Miongoni mwa magarii hayo ni baadhi ya brand zinazopendwa zaidi ulimwenguni na matajiri au...
Binadamu wa kawaida unapataje GPA below 4.8 we ni binadamu wa kawaida? Hivi mniambie binadamu hasa unapata GPA below 4.8 wewe utakuwa binadamu au mnyama sasa unatofuti gani na kuku ambae wanasema Hana akili? Serikali ipige marufuku kuwaajiri hawa watu wanaleta ufanisi mdogo serikali nyie ndiyo...
NRNE
Nimekaa najiuliza hivi binadamu wa siku hizi wamekuwaje, wakati wa raha watakuwa na wewe, lakini ukipata shida hutawaona kabisa.
Just imagine mtu unamwambia akukopeshe siyo unamuomba anaibluetiki hiyo msg na status anaweka kama kawaida.
Ngoja niishie hapa nirudi kifungoni🥲
Katika saikolojia, kauli ya “kila mtu ana kichaa chake”
wewe Fanya observation utaona
Kila mtu ana tabia, fikra, au hisia zisizo za kawaida au tofauti na wengine, hata kama si ugonjwa wa akili.
Inaweza kumaanisha pia kuwa hakuna mtu mkamilifu kiakili
kila mtu ana mapambano yake ya ndani...
afya ya akili
akili
binadamu
ccm
chadema
characters
elimu
facts
jamii forums
jitambue
marco seth
mental
mijadala
mind
new posts
no reform no election
psychology
samiah
tabia
tanzania
trending
ufahamu
ukichaa
Nimefatilia binadamu wengi wabaya tena waliokuwa wakichukiwa sana huanza kupendwa na kuonekana wema pale tu wanapofariki sijui hii inatokana na nini?
Kuna wakati nachukiwa na watu mpaka natamani nife ili nianze kupendwa,.
Je kwanini binadamu tumekuwa tukipenda sana marehemu na kuwaona wema...
Kuna baadhi ya binadamu huwa wanamzungumzia Shetani kana kwamba wanawazungumzia baba zao vizee vilivyojichokea
Binadamu wote kuanzia wa kwanza mbele za Shetani ni sawa na kuku au mende na ana uwezo wa kufanya lolote na hatuna chakufanya
Kwanza kabisa kabla ya kumzungumzia Shetani tizama
Umri...
Hakika tunapita katika kipindi ambacho janga kubwa la kibinadamu siyo vita wala majanga ya asili ila ni janga lisilotajwa mara kwa mara ambalo nimelipa kichwa kufugwa kwa akili ya Binadamu. Hili ni janga kubwa kuwahi kufikia hatua lilipofikia.
Mifumo mikubwa ya kidunia na kijamii (Dini, Elimu...
Mdau wa JamiiForums.com ametaka kupata uhalisia endapo mayai ya nyoka ni salama kwa bonadamu.
"Inasemekana Mayai "Egg's" yote yakiwa fresh ni salama,Sasa swali linakuja jee hata Mayai "Egg's" ya Nyoka "Snake" yakiwa fresh yanafaa kwa binadamu kula na asipate madhara yeyote?Kwa wale wataalamu wa...
Katika maisha ndio hivyo kuna vitu haviwezi kuzungumza tu,ila laiti vingepata nafasi basi vingezungumza:_
1:SIGARA
Hii ni moja ya biashara kubwa kila pembe ya Dunia,huvutwa na watu tofauti tofauti,wake kwa waume,wazee kwa vijana.
Pamoja na kutoa huduma kwa jamii hiyo lakini imekuwa biashara ya...
Binadamu ameendelea kufanya ugunduzi mkubwa kuhusu ulimwengu anaouishi. Kupitia sayansi, teknolojia, falsafa na dini, tumeweza kuelewa kwa sehemu baadhi ya siri za asili, maisha, na mazingira yanayotuzunguka. Hata hivyo, pamoja na maendeleo hayo, bado kuna maswali ambayo yanabaki bila majibu ya...
Katika jamii ya leo, elimu imekuwa kama kipimo cha thamani ya mwanadamu. Certificate, Diploma na Degree vimechukua nafasi ya heshima, ajira na hadaa kubwa ya kijamii.
Hata hivyo, ukweli ni kwamba hiyo ni chicanery tu, unaambiwa na unajiona umeelimika kwa sababu umepokea uthibitisho wa...
Bila kufanya hivyo tutakuwa tunabadilisha wanyonyaji na sisi wabadilishaji kuendelea kunyonywa..., hivyo basi kuliko kusubiri siku tukishawabadilisha labda tutaacha kunyonywa, tuanze kuwasihi wa leo wasitunyonye na wao waache kunyonya (wajifunze kula na vipofu).
Kinachoendelea sasa katika...
Habari wanaJf
Nimekuwa nikijiuliza swali moja la msingi sana lakini majibu thabiti nimekuwa nikikosa kabisa...
Kwa wale wanaoamini kuhusu uwepo wa Mungu naomba wanijuze kwanini tumeletwa hapa duniani ambako tunaishi maisha mafupi na kupita, je Mungu hakuona namna nyingine ya kutufanya tufike...
Wakijua wewe ni mwema wataanza majaribio kukupima kama una weza kusema HAPANA wakigundua huna huo uwezo basi huo utakuwa ndio mlango wao kujipatia wanayohitaji kutoka kwako .
Sio kwamba bila misaada yako hawawezi kuishi la hasha wanaweza kuishi vizuri tu ila wakija kwako wanajifanya kama vile...