binadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania binadamu walikua wanalala mara mbili, badala ya masaa 8 mfululizo tunayoshauriwa sasa

    Kuamka saa 9 usiku (3 a.m.) si tatizo. Ni mabaki ya mfumo wa kale wa usingizi uliowahi kuwa wa kawaida kwa binadamu. Kabla ya wazo la kisasa la kulala saa nane mfululizo, usiku wa binadamu ulikuwa umegawanyika katika sehemu mbili. Mwanahistoria Roger Ekirch ameonyesha kupitia zaidi ya...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ukubwa wa Mdomo/Vidole huakisi vitu vingi mwilini mwa binadamu

    Ukubwa wa mdomo/vidole vya mkono humaanisha pia ukubwa wa maumbo ya baadhi ya viungo vingine mwilini mwa binadamu. Gen Z chagua kwa makini. Usije kujuta. Asanteni.
  3. JamiiForums Tanzania Je Wajua, Rais kama Taasisi, Hakosei?, Ila Rais Kama Binadamu, Anaweza Kukosea na Ana Haki ya Kukosea. Kufanya Kosa Si Kosa, Kosa Kurudia Kosa-Mw. JKN

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la Jumatano ya leo ni kuwaelimisha Watanzania kuwa kwa mujibu wa Katiba ya JMT ya mwaka 1977. Rais wa JMT kama Taasisi ya urais, hakosei, na hata akikosea na kufanya kosa lolote, linakuwa sio kosa!, ila Rais kama binadamu, anaweza kukosea...
  4. JamiiForums Tanzania Japo Rais Wetu Sio Malaika, ni Binadamu, Anaruhusiwa Kukosea Vikosa Vidogovidogo vya Kuteleza Ulimi, Tusimfanyie Nongwa, Tumvumilie, ila Vinapozidi..!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Leo. Kufuatia Ibara ya 46 ya katiba yetu kuwa na kipengele cha kinga yaq Rais wa Tanzania, hawezi kushitakiwa mahakamani kwa kosa lolote, hivyo kuna watu wanadhani mtu akiwa rais wa nchi, anabadilika anakuwa ni malaika na hivyo hawezi...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Ndugu zetu wa Kenya wanataka integration ya software kama Haki za binadamu sio hardware kama passport

    Ndugu zetu wa Kenya wanataka integration ya software kama Haki za binadamu sio hardware kama passport au mambo ya common market, hayo yatakuwa Tu yenyewe tukiwa, tunataratibunnzuri za maisha.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Waafrika ni nyani tunaoelekea kuwa binadamu. Kama unabisha Tazama vita ya Israel na Iran

    Israel ni taifa dogo sana sawa na mkoa wa Morogoro kila siku wanarusha ndege kwenda Iran na Wanarudi, Kila siku makombora yanaanguka kwenye miji yao lakini umeme, maji, mafuta na huduma zote za kijamii haziathiriki. Tanzania na Waafrika tuna mataifa makubwa yanakila kitu lakini hata vyanzo vya...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Wenye maabara za binadamu wanauza na dawa wakati leseni yao haiwaruhusu. Ni hatari kwa afya za watu

    Ndio mtindo ambao wameuànzisha. Anampima mtu anampa na dawa wakati hana kibali cha kutibu ie ku prescribe dawa. Ni hatari kwa maisha ya watu? Upuuzi huu unashika kasi Tanga!
  8. JamiiForums Tanzania Binadamu mweusi ndiye aliyebarikiwa zaidi duniani

    Watu weusi ndiyo binadamu waliobarikiwa zaidi duniani baada ya kuumbwa na kuwekwa kwenye bara bora zaidi na lenye kila kitu la Afrika. Mabara mengine ni hovyo sana, kuna majira ya hurricane, snow, joto kali sana la kuuwa watu na baridi kali sana kugandisha watu. Afrika ndiyo bara pekee...
  9. JamiiForums Tanzania Default state ya binadamu ni "Theist" Chunguza mindset na maswali ya watoto. Je, umewahi kuulizwa maswali tata na mtoto? Aliuliza nini?

    Mtoto mdogo mara nyingi huonyesha hali ya asili ya akili ya binadamu (default setting)kabla haijajazwa na uzoefu mwingi wa maisha. Ukiangalia mtoto anavyoitazama dunia, utaona ana mwelekeo wa kuona mambo yana kusudi na chanzo fulani. Akiona kitu kikitokea, mara nyingi swali lake la kwanza huwa...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini hawa jamaa wa upande wa pili wengi wao ni mashabiki wakubwa wa mamlaka zenye hurka ya ugaidi na uminyaji wa haki za binadamu?

    Eti Echolima1 MK254 loose Nut kwani wale vijana wanachukizwa na ustaarabu wa magharibi na maendeleo yake huku wakishabikia vikundi vinavyohatarisha maisha ya watu duniani kisa vikundi hivi vinasali kama wao? Je ni upumbavu au ulimbukeni? Au vyote kiujumla?😁
  11. JamiiForums Tanzania Mlimani City wale wanaoonekana si wote binadamu. Nimeshtushwa last week

    Kwenye lango la kuingilia survery ile sehemu ya kukaguliwa na kuchukua ticket kulikuwa na mistari mitatu ya magari. Kulia, kati na kushoto. Gari zilikuwa nyingi kati na kushoto. Kama zimepanga foleni ya kupita vile vigeti vya ukaguzi na kukata ticket. Kidogo nlishangaa why wameacha gari moja...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini chumvi ni hatari katika mwili wa binadamu na si sukari?

    Ni karne nyingi tumekuwa tukiaminishwa kwamba chumvi ni hatari katika mwili wa binadamu lakini sijawahi kusikia habari za sukar kupigiwa chapuo kuwa ina athari. Kama chumvi ina athari katika mwili wa binadamu kwann mgonjwa huwekewa dripu ya maji yenye chumvi ? na si sukari? 🤣🤣 tunafichwa nin...
  13. JamiiForums Tanzania Laiti kama binadamu hasa wanawake wangeweka reasoning mbele kuliko emotions, je dunia ingekua sehemu salama zaidi?

    Hi everyone, Mara nyingi nimejikuta nikitafakari kuhusu matukio mengi yanayoendelea duniani leo-migogoro ya mahusiano, maamuzi ya ghafla, na hata baadhi ya matokeo mabaya ya kijamii. Nikianza ku-relate na historia pamoja na mafundisho ya dini, kuna kitu kinajirudia mara kwa mara: nguvu ya hisia...
  14. JamiiForums Tanzania Wakili Kilatu atilia shaka uhuru wa tume ya ya haki za binadamu nchi

    Mtaalamu wa Masuala ya Katiba na Sera Wakili Edson Kilatu ameeleza wasiwasi wake, na kutilia shaka kuhusu utendaji wa 'Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB)' Nchini akidai kwamba akidai kwamba uhuru iliyopewa Tume hiyo kwa mujibu wa Katiba na Sheria hautumiki ipasavyo Akihojiwa na...
  15. JamiiForums Tanzania Mkojo wa binadamu ni chanzo cha nishati ya Umeme majumbani na inaendesha vyombo vya moto

    Habari Tanzania !.. Habari yako EWURA, TANESCO, REA, Ofisi ya Rais, Ofisi ya Waziri Mkuu, Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira hali gani mpendwa !?.. Je, wajua kuwa mkojo wa binadamu unaweza kuchakatwa na kutoa nishati ya Umeme majumbani, viwandani na pia kuendeshea vyombo vya moto...
  16. JamiiForums Tanzania Parker Solar Probe: Satelite ya NASA yenye speed kali kuliko kitu chochote kuwahi tengenezwa na binadamu!

    Hawa jamaa tuwape maua yao kwenye R&D! Mwaka 2018 NASA waliituma hii satelite kwenda kwenye space kufanya uchunguzi wa Solar corona (tuseme kama atmosphere kulizunguka jua, wataalamu wa Heliophysics hapa watasaidia)! Kwahiyo hadi leo imekaa huko kwa zaidi ya miaka 7 ipo huko space, ikiwa...
  17. JamiiForums Tanzania Je unajua binadamu ana level ya ufahamu au dimension kuusu Mungu, upo level gani ? soma hapa

    Dimension nini, ni uwezo au ufahamu wa binadamu kuusu Mungu.Binadamu tuna level fulani ya ufahamu kuusu Mungu.Ufahamu wa juu wa binadamu mara nyingi unatokea pale mtu anapopitia greater loss(Kupoteza au Changamoto ngumu za kimaisha) Dimension hizo ni -3D -4D -5D 3D(dimension) Hii ni level...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Afrika ya haki za binadamu imesema kila jambo la tume ya uchaguzi ni lazima lihojiwe mahakamani!

    Anaandika Jebra Kambole AfCHPR imesema ibara ya 74 (12) Ya Katiba ya Tz na Ibara ya 119(13) ya Katiba ya Zanz zinakiuka ibara ya 3(2) na 7(1)(a) ya Mkataba wa ACHPR kwa sababu ibara hizo zinakataza kufungua kesi ya kupinga ujinga wa INEC na ZEC. Tunashukuru kuwa kwenye Timu ya Mawakili wa kesi...
  19. JamiiForums Tanzania Tofauti na Binadamu, Siafu pia wanajishughulisha na kilimo

    ‎kuna aina ya siafu, wale ambao unawaona wanasafiri kwa msafara huku wamebeba majani. hawa huwa hawakai tu katika makoloni makubwa, wanajishughulisha na kilimo kitu ambacho kwa muda mrefu kilidhaniwa kuwa ni sifa ya binadamu pekee. ‎ ‎Siafu wa kundi la Leafcutter ant wamekuwa wakilima fangasi...
  20. JamiiForums Tanzania Baraza la Haki za Binadamu UN laipongeza Tanzania kuchunguza matukio ya vurugu Oktoba 29

    Kamishina Mkuu wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (HRC) Volker Turk ameeleza masikitiko yake kuhusu uvunjifu wa haki za binadamu duniani, huku akipongeza hatua ya Tanzania kuanzisha Tume ya Uchunguzi wa vurugu zilizotokea katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Akitoa mwelekeo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…