bima ya afya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Danos

    JamiiForums Tanzania Naishauri Serikali itoe ruzuku Bima ya Afya ya watoto

    Serikali hii yenye fedha nyingi mno kiasi cha baadhi ya watu kujichotea mihela bila aibu hata hofu ya Mungu haiwezi kushindwa kutoa ruzuku kwenye bima ya afya ya watoto. Nilimsikia waziri wa afya akilalamika kuwa michango ni bilioni 4 wakati matumizi ni bilioni 40 (kwa mwaka?). Serikali hii...
  2. Jonazon01

    JamiiForums Tanzania SoC03 Yaliyomkuta Mwanaisha na Bima yake ya Afya

    Kulikuwa na mtu mmoja anayeitwa Mwanaisha ambaye alikuwa amejiandikisha kwa bima ya afya ili kuhakikisha kuwa yeye na familia yake wanapata huduma bora za afya. Hata hivyo, aligundua kuwa bima hiyo haikuwa na ubora wa kutosha na ilikuwa na mapungufu kadhaa. Mwanaisha alijikuta akikabiliana na...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa siku 60 kwa Waajiri kulipa malimbikizo ya Bima ya Afya

    Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuhakikisha anasimamia madai ya Bima ya Afya na tatizo la waajiri kutowasilisha michango ya Wafanyakazi. Akizungumza kuhusu Bima ya Afya Rais Samia amemuagiza Waziri Mkuu Majaliwa kusimamia madai ya watoa huduma yanayopaswa kulipwa...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Bima ya Afya, mnachokifanya mnajua madhara yake?

    Mimi ni mstaafu mwandamizi niliyepo wilaya ya Ngara mkoa wa Kagera. Nilipata tetesi za kuwapo kwa uhakiki wa wastaafu walio kwenye mfuko wa bima ya Afya tangu mwezi Machi mwaka huu. Kila aliyeniambia nilipomuuliza alikozipata taarifa, naye aliniambia ameambiwa na mwingine. Hakukuwapo...
  5. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG 2021-2022: Mfuko wa Bima ya Afya Umepata Hasara ya Shilingi Bilioni 189

    Mfuko huu ukiacha hasara wanayoingiza Serikalini pia wametajwa na TAKUKURU kwenye ubadhirifu. Aidha Huu mfuko.unaongozwa na yule anayejiita Kamisama WA sensa na Spika Mstaafu Anna Makinda. Mh.Rais watu Hawa walioshindwa kazi Fukuza mda wa kuleana Kwa kuwakomoa Watanzania umekwisha.
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Bima ya NHIF, Wanandoa na Watoto 4 kiwango cha chini Tsh 816,000 cha juu Tsh. 2,220,000 kwa Mwaka

    Baada ya Bima ya TOTO AFYA KADI kufutwa na NHIF, wewe ambaye ni mlipaji wa huduma ya Bima huu ndio mkeka wa Bima ya Afya kwa Wanandoa na Watoto au mtu mmoja mmoja kwa Mwaka mmoja
  7. Hamduni

    JamiiForums Tanzania Maboresho katika utaratibu wa usajili wa watoto kupitia mpango wa toto afya kadi

    MABORESHO KATIKA UTARATIBU WA USAJILI WA WATOTO KUPITIA MPANGO WA TOTO AFYA KADI Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unapenda kuutangazia Umma kuwa, unafanya maboresho ya utaratibu wa usajili na huduma kwa watoto waliokuwa wanasajiliwa kupitia utaratibu wa Bima ya Afya ya “TOTO AFYA KADI”...
  8. sajosojo

    JamiiForums Tanzania NHIF Waongeza gharama za Bima ya Afya kwa Watoto, sasa kulipa Tsh. 120,000/= badala ya Tsh. 50,400/=

    Ni kilio, baada ya NHIF kufuta kifurushi cha Toto Afya na kulazimisha mzazi kukata bima ya afya pamoja na Watoto wao na gharama kupanda kutoka 50,400 mpaka 120,000 kwa mtoto mmoja.
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Naanzisha kampeni ya kukataa Bima ya Afya kwa wote

    Hili suala ni dhahiri serikali inataka kufanya biased na wananchi. Kama watumishi wa umma tu mneshindwa kutuhudumia vizuri mpaka tunapata dawa grade 3 & 4, sasa mkihudumia angalau 30% ya Watanzania hali itakuwaje? Zamani bima ya NHIF ilikuwa kama bakshishi kwa watumishi na toto afya ilikuwa...
  10. benzemah

    JamiiForums Tanzania NHIF yafuta Bima ya Afya kwa watoto "TOTO Afya Kadi". NHIF yadai hawajafuta ila wameboresha

    Habari za awali zinadai kwamba Mfuko wa Taifa wa BIma ya Afya umefuta rasmi bidhaa ya "Toto Afya Kadi" iliyokuwa inatolewa na mfuko huo kwa watoto wa chini ya miaka 18 wanaosajiliwa ili kuwawezesha kupata huduma za matibabu katika vituo vilivyosajiliwa na NHIF nchi nzima. Ikumbukwe kuwa Toto...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote wapita

    Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wamepitisha Muswada wa Bima ya Afya kwa wote huku Serikali ikiahidi kuhakikisha mfuko huo unakwenda kutekeleza malengo yake ya kuwapatia Wananchi huduma za Afya kikamilifu kwa makundi yote. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Fedha na Mipango, Dkt. Saada Mkuya alisema...
  12. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Walimu waghushi Vyeti vya Ndoa kupata Bima ya Afya

    Tume ya Utumishi wa Walimu Nchini (TSC), imekabidhiwa majina 78 ya walimu waliobainika kughushi nyaraka mbalimbali za wategemezi na matumizi mabaya ya kadi za bima za afya. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na kitengo cha mawasiliano Serikalini cha TSC iliyotolewa jana Jumatano, Machi Mosi...
  13. funaku

    JamiiForums Tanzania Bunge halijatenda haki kutowasilisha muswada wa Bima ya Afya kwa wote

    Naendelea kushangaa juu ya kigugumizi cha wabunge juu ya muswada huu muhimu unahusu afya za watanzania. Hili ni jipu la muda mrefu sana lenye kuhitaji tiba. Siku za nyuma Serikali imekuwa inakwepa kuwasilisha muswada huu bungeni. Hata hivyo vision ya Rais Samia ilikuwa ni kuwasilisha muswada...
  14. Mathayo Fungo

    JamiiForums Tanzania Yanayosemwa kuhusu SHIB-NSSF na Bima ya Afya

    Nikiwa katikati ya harakati za kusaka mkate wangu wa siku, nikakutana na hoja ambayo si tu kwamba ilinichosha bali ilinipa mahangaiko kutokana na UPOTOSHAJI mkubwa ambao ukiuangalia kwa ndani unabaini unafanyika makusudi ili kuendelea kunufaisha wachache na kuangamiza wengi. Habari ya mjini...
  15. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Faida za Muswada wa Bima ya Afya kwa Wananchi wa Kawaida na Masikini

    Naikumbuka vizuri sana siku ya tarehe 6/04/2021 ambapo Rais wangu mpendwa Mama Samia akiwaapisha viongozi mbalimbali pale Ikulu yetu, alisema kuna suala la Bima ya Afya kwa Wote, wataalam kaeni mlimalize hili, tuleteeni Serikalini tulijadili ili tuone kama linatekelezeka kwa kiwango gani. Agizo...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Lengo kuu la Bima ya Afya kwa Wote inayopendekezwa ni kwa Serikali kukusanya mapato zaidi

    Tangu tupate uhuru, serikali ya Tanzania haijawahi kuwa na nia njema kwa wananchi wake; kisiasa, kiuchumi, wala kiafya. Kodi tunazolipa hazitumiki kuinua hali ya maisha ya wananchi bali kuneemesha viongozi na ndugu zao. Kwa mfano; serikali kununua gari la Tshs 400m kwa ajili ya mkuu wa wilaya...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mamia wajitokeza kuchangia damu MOI wapewa elimu ya umuhimu wa Bima ya Afya kwa wote

    Mamia ya Wanafunzi kutoka vyuo vikuu na kati vya jijini Dar es Salaam wamejitokeza kwa wingi kuchangia damu katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa MOI pamoja na Hospitali ya Taifa Muhimbili kwaajili ya kusaidia wagonjwa wenye uhitaji wa damu ambapo zaidi ya chupa 300 za damu zimepatikana kupitia zoezi...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Je, Mtu mwenye Kansa, anaweza akapewa Bima Binafsi?

    Ubaguzi mwengine wizara ya Afya. Nina jirani yangu kapatikana na kansa. Tiba yake kaambiwa ajiandae na zaidi ya sh mil 5 cash. Kaulizia iwapo akikata bima kama ataweza kupata tiba. Kaambiwa so ya private; labda apatikane mfanyakazi aliyeajiriwa hivi karibuni na amwandikishe kama mke wake...
  19. Mowwo

    JamiiForums Tanzania Mjamzito ana Bima ya Afya lakini ameambiwa alipe cash kufikisha malipo ya huduma ya kujifungua

    Wakuu habari Nina Rafiki yangu ambae mkewe alikua mjamzito, lakini sasa ameshajifungua. Sasa wakuu changamoto baada ya kujifungua ameambiwa bima yake inacover 1.5M tu ya gharama za kujifungua. Gharama iliobaki ya 280,000 anatakiwa alipie cash ili akamilishe gharama zote za kujifungua. Nina...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ukikosa Bima ya Afya hupati Leseni ya Udereva kuanzia mwaka 2026

    Serikali imesema muswada wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote ukipitishwa na kuwa sheria na kuanza kutumika mwaka huu, mwananchi yoyote ambaye hatakuwa na bima hiyo kuanzia mwaka 2026, hataweza kupata huduma zingine ikiwamo leseni ya udereva. Kauli hiyo imetolewa leo na mjumbe wa sekretatieti ya...
Back
Top Bottom