Kuna Video ya kutengeneza nimeiona Facebook, Watu wenye Nia mbaya wamechukua Video clip Yako, na kuunganisha Sauti zako Toka kwenye matukio tofauti.
Video Ile Ina nembo ya Jambo tv, na Kuna page imepost Facebook inakwenda Kwa jina la Macdee Mackeja Shilinde.
Nadhani utakua umeiona
Wafungulie...