bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israeli limechukua udhibiti wa kilele cha Mlima Hermoni upande wa Syria bila pingamizi, eneo la kimkakati linalotazama Lebanon na Syria

    Ni eneo la kimakati lililowaumiza Israel vichwa kwa muda mrefu, kilele cha mlima Hermon kiliwapa advantage kubwa Syria na Hezbollah kuichunguza na kuishambulia Israel. Israel imetwaa eneo hili bila pingamizi katika kile kinachodhaniwa "hakuna kitu cha Bure", Israel waliweza kutoa msaada mkubwa...
  2. JamiiForums Tanzania Diamond aondoka bila kuperform, kwenye show ya Furaha Festival Kenya

    Msanii Nasib Abdul, also known as Diamond Platinumz ameondoka uwanjani kwenye tamasha la Furaha Festival bila kutumbuiza baada ya kutokuwa na maelewano kati ya uongozi wake na waandaaji wa Tamasha hilo. ============================================== Diamond Platinumz yesterday he refused to...
  3. JamiiForums Tanzania Diamond aondoka bila kuperform Kenya

    Diamond alikuwa na Show ya ku-peform kwenye Show ya Raha-festival huko Kenya 🇰🇪, Ambapo Diamond, alisusa na kukataa ku-peform kutokana na kutokuwa na Maelewano kati ya yeye na waandaaji wa Tamasha hilo. Fungua video kupata mkasa mzima Wasanii wetu ni budi wakajihafhari sana...
  4. JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia anajua madhara ya chawa na uchawa alivyokumbatia bila kujua?

    Chawa wana sifa kuu mbili. Kwanza, ni wanyonya damu. Na pili, hawawezi kuishi bila kuwapo uchafu .Je, Rais Samia alipotangazia dunia kuwa 'waaacha machawa wangu' alijua madhara yake? Je, hakujua na hadi leo hajui? Je, uchawa umegeuka sera ya CCM? Je CCM inafaidikaje na uchawa na machawa...
  5. JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko: Kutumia umeme bila ufanisi kunaongeza mzigo kwenye uzalishaji wa umeme

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa suala la matumizi Bora ya Nishati linapaswa kuwepo kwenye mipango ya Serikali katika nchi za Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ili kuwezesha nchi hizo kutumia umeme kwa ufanisi na hivyo...
  6. JamiiForums Tanzania Zuchu bado ana safari ndefu sana kimuziki ,bado hajapata fan base ya kwake yeye kama yeye bila kumtegemea Simba

    Ukweli usemwe tu, Zuchu ni msanii mzuri na msanii mkubwa ila bado hajafika viwango vya kumuweka kama msanii mkubwa hapa nchini ukimlinganisha na wasanii wa kike wakubwa wa kizazi chochote kike, kilichopo na kilichopita. Kwa kizazi kilichopo ,Zuchu hamfikii hata kidogo Nandy , Nandy anaweza...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi mpenzi wako akikuacha bila taarifa ndo anakuwa anamaanisha nini?

    Hakuishia hapo tu aliniambia tukiachana hawezi tena kuishi!, lakini ni miezi sasa anadunda tu, sasa najiuliza ni yeye yuleyule au ni mzimu wake? Natamani nikamshike ili nijue ni mzimu ama binadamu sitaki kuamini kama bado anaishi halafu bila mimi!, Achwa vyote usiombe kuachwa bila taarifa...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Baadhi ya Watumishi KKKT kufanya kazi bila mikataba ya ajira

    Je, ni sawa kwa baadhi ya watumishi wa KKKT kufanya kazi na kupokea mishaara bila mikataba ?
  9. JamiiForums Tanzania Waajiri marekani wawashtukia wahitimu wa vyuo vikuu-wanaamaarifa tu bila ujuzi

    https://americafirstpolicy.com/issues/eliminating-degree-requirements-from-public-sector-job-requirements
  10. JamiiForums Tanzania Bila Marekani na washirika wake, Tanzania kisiasa tungekuwa kama North Korea

    Wakuu, Ni dhahiri shahiri kuwa hakuna kitu Sisiemu wanaogopa kama Marekani na nchi za Ulaya. Kwa haya yanayoendelea ikiwemo wizi wa kura na kuua wapinzani ni wazi kuwa ingekuwa ni amri yao CCM ingekuwa imeshafuta upinzani. The only reason they are not doing it (kufuta upinzani) it's because...
  11. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tumevunjiwa maeneo yetu ya biashara Tungi Mnadani - Kigamboni bila taarifa, tunaomba msaada wa Serikali

    Sisi Wafanyabiashara wadogowadogo tuliokuwa tukifanya shughuli zetu za biashara katika eneo lililopo jirani na ofisi za World Oil eneo la Tungi Mnadani, Kigamboni hapa Dar es Salaam. Tulianza kufanya biashara kwa takribani miaka miwili iliyoputa na tukajenga vibanda vyetu eneo hilo, tulitumia...
  12. B

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Unaenda kupiga kura uchaguzi Serikali za mtaa bila hata kuonyesha uthibitisho kama kweli wewe ndiye mhusika wa jina hilo

    Nilifika asubuhi kituo nilichojiandikisha kupiga kura nikakuta orodha ya majina yamebandikwa nje kwenye kuta nikatafuta jina langu nikaliona Baada ya hapo nikaingia kupiga kura msimamizi wa uchaguzi akaangalia jina langu kwenye orodha ya daftari lake akalitiki bila hata kupata uthibitisho kama...
  13. JamiiForums Tanzania icloud ya iphone yangu imejaa sina hela ya kulipia kuna njia nyingine ya kupata space bila kulipia??

    wakuu nambieni Huu mwaka sitaki kulipa bills za ajabu ajabu.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Unajua kuna vijana walilala Miaka 309 bila kuamka?

    Qur'an inataja kisa cha vijana waliolala pangoni kwa muda mrefu kama mojawapo ya ishara za nguvu na hekima ya Allah. Hiki ni kisa cha "Watu wa Pangoni" (Ashabul Kahf), kilichoelezwa katika Surah Al-Kahf (18:9-26). Maelezo ya Kisa: 1. Kukimbilia Pangoni: Vijana hawa walikimbilia pangoni ili...
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi Richard Branson alivyoanzisha kampuni ya ndege bila kuwa na mtaji wowote ule

    Na... Jinsi Wewe Unavyoweza Kuanzisha Biashara yako pia! Moja ya Changamoto ambayo Wajasiriamali wengi wamekuwa Wakipitia ni Jinsi ya Kuanzisha Biashara bila ya kuwa Mtaji. Yaani… Je kuna Njia yoyote RAHISI ya Kuanzisha Biashara bila kuwa na Mtaji? Ukweli ni Kwamba… HIYO NJIA IPO NA...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Palikuwa na uamuzi na miito ya kutokushiriki chaguzi bila katiba mpya. Ya nini kulia lia sasa?

    Ni kawaida manabii kutokukubalika kwao. Lipi linalotokea kwenye kuelekea chaguzi za 2024/25 kuwa ni jipya leo? Kwamba walienguliwa wagombea, kukavurugwa kampeni, wakakamatwa wapinzani, nk? Kwamba yote hayo ni marudio ya 2019/20? Kwani hoja na makelele ya nguvu yalipotamalaki, hatukuahidiana...
  17. JamiiForums Tanzania LGE2024 Amos Makalla: Mitaa 59 Ilala kusimama bila Wapinzani

    Kwa mujibu wa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi CCM Amos Makalla amesema kati ya mitaa 159 ya Wilaya ya Ilala, Jumla ya Mitaa 59 hakuna mpinzani hivyo wagombea wa CCM watapigiwa kura ya ndio na hapana wenyewe. Makalla ameyasema hayo wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Taasisi ya Elimu ya watu wazima haijalipa wawezeshaji wa mradi wa SEQUIP kwa miezi miwili mfululizo bila taarifa yoyote

    Mradi wa SEQUIP - AEP unafadhiliwa na Benki ya Dunia na unatekelezwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI. Mradi huu unalenga kuwarudisha watoto wa kike waliokatisha masomo kwa sababu mbalimbali kupitia elimu mbadala (Alternative Education Pathway). Mpaka sasa umepita muda wa miezi miwili mfululizo...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania bila katiba mpya ni sawa na CCM kuumiliki upinzani

    Unajua inasikitisha sana, sijui wanasiasa wa upinzani wanajali zaidi ruzuku au kushika dora? Haya manyanyaso hayatakuja kuisha sababu wanaowatuma polisi kuwanyanyasa wapinzani ni makada wa CCM, hebu fikiri mkuu wa wilaya ni mkuu wa kamati ya ulinzi wa wilaya na RPC yuko chini yake na wote...
  20. JamiiForums Tanzania Maisha bila ya kuingia JF

    Uzi huu ni kwa wale ambao hatujawahi pigwa ban toka tujiunge na JF tukutane hapa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…