The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.
Wadau hamjamboni nyote?
رَّسُولَ اللَّهِ وَخَاتَمَ النَّبِيِّينَ وَكَانَ اللَّهُ بِكُلِّ شَىْءٍ عَلِيماً
“Muhammad is not the father of any of your men, but he is the Apostle of Allah and the Last of the prophets; and Allah is cognizant of all things.” (33:40)
"Muhammad si baba wa yeyote...
Salaam, Shalom!
Unatenda mema, unajitunza, unahurumia maskini, na kutenda mazuri duniani na unamwamini Mungu, Kisha unamkataa Yesu, huko ni kupoteza muda,
Hizi ni sababu kwanini kumwamini Mungu na kutoamini kuwa Yesu ndiye Mungu mmoja aliyekuja katika mwili wa Mwanadamu ni kupoteza muda;
1...
Laying this infrastructure was a crucial step.
My first encounter with Demi
Kupost picha yangu humu as if nipo Facebook...
Kuwa crushed na kupewa rules and regs..
Mshana Jr na Uzi wake wa meditation...
Alivyosoent his time in a Buddhist Monastery .. south Africa
Uzi wa Naomba kuongea na...
Kabla sijafa masikini wana jf mnipe muongozo hilo ndo ombi langu kwenu
Ninashida kubwa sana kwenye upande wautafutaji wangu. Kila nachofanya hakiendi mambo yamekua magumu sana. Najua huenda kuna watu wanashapitia hali kama na wakapata muongozo mambo yakakaa sawa
ww kama mtu mzima naamini...
Salaam jamiiforum.
Threads zangu nyingi zinawahusu zaidi vijana tena ambao hawajaoa kwani ndilo kundi ambalo lipo onfire kutokana na umri wao lakini pia hata baadhi ya watu wazima siyo mbaya tukakumbushana.
1.Acha tamaa ya kuweka pesa ili upate pesa.
Ni dhahiri shahiri vijana wengi...
Jana nimekaa zangu home mara akaja binaadam na stori zake za town
Binaadam: unajua money penny, naona wadada wengi wanalalamika kibamia kibamia kwa wanaume zao, ila shida ni moja hawajui kuwapima size ya mwanaume akiwa hajatembea nae
Money penny: upimaji huo ndio ukoje
Binaadam: wanawake wote...
Najaribu kutafakari hawa wazungu ijalishi ni wachina,wazungu wenyewe mpaka waarabu wa saudia na wahindi.
Vuta picha wakija afrika bila chochote na sisi twende kule kwao na vyote vyetu itakuwaje
Tuanze kwa kuwashukuru makampuni(Companies), Ubia (Partnerships), Biashara binafsi(Sole proprietors) na Taasisi zisizo za kiabishara (Not for profit entities) kwa kutupa fursa na ushirikiano wa kufanya kazi, tunawahakishia siku zote tutafanya kazi kwa uaminifu na kitaalamu ili kuhakisha ustawi...
Kuna mdau mmoja rafiki yangu anakerekwa sana mtu Umeenda job asubuhi wife anaanza muda uleule asubuhi kukupigia ila hoja anaZokupa ni zile ambazo angeweza ku zisolve bila kuhitaji ridhaa yako.
Wakati mwingine simu inaita hata mara 15 kwa siku ila hakuna simu yenye sababu ya dharura labda...
Rais Samia mimi binafsi mfanya biashara kutoka sekta binafsi nakupongeza sana hasa katika ukusanyaji wa kodi bila kutumia mabavu.
Tunakumbuka tulikotoka.
TRA walikuwa miungu watu.
Tena zilikuwepo TASK FORCE ambazo zilikuwa zina terrorize wafanya biashara.
Akaunti hela zinachotwa bila kibali cha...
Kuibuka kwa Viwanda vya Giza Vinavyojiendesha vyenyewe: (full automatic) 24/7na Bila Wafanyikazi au Taa.. Nice hatua nyingine kubwa kwenye maendeleo ya viwanda
Mapinduzi Yajayo ya Viwanda
Sekta ya utengenezaji inakumbana na mabadiliko ya dhana, yanayochochewa na maendeleo ya kiotomatiki, akili...
Moja ya taifa lililofurahia kwa kuvunjwa kwa sauti ya Marekani (VOA) ni China ambayo imesema redio hiyo kwa lugha zote kubwa duniani ilikuwa ni kiwanda cha hadhithi za uongo.
Katika hatua za hivi karibuni alizochukua raisi Trump ni kufukuza kazi wafanyakazi wote wa VOA na kuifanya taasisi hiyo...
🚨BREAKING: IDF imethibitisha rasmi kuwa imefanikiwa kuwaangamiza magaidi 6 wa Hamas leo ndani ya Ukanda wa Gaza.
Mmoja wao alishiriki katika mauaji ya Oktoba 7, mmoja alikuwa amevaa kama mwandishi wa habari, na mmoja alikuwa amevaa kama mpiga picha.
Watu wengi wanapambana na kupunguza uzito kwa miaka, wakihangaika na lishe kali na mazoezi makali… lakini bado hawapati matokeo ya kudumu. Kwa nini?...
👉 Tatizo si mwili wako—tatizo ni akili yako ya ndani (subconscious mind).
👉 Lishe na mazoezi ni 30% ya mafanikio, lakini akili yako ya ndani...
Hizi pikipiki ni kero sana japo kuwa zimesaidia ajila na usafiri sana.
Unapokuwa barabarani au mtaani pikipiki ikipita lazima inataka ukifikie karibu wakati barabara yote kubwa.
Huwa wanakuwa na nini
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.