Watanzania wengi tunahitaji kupenda kujifunza kuhusu kitu unachotaka kukifanyaaa...
Angalia mfano Biashara Tz saiv kuna trends kila mtu anataka kuwa mfanyabiashara na akidhanii ni kitu cha wepesi mnooo...
Ila ukweli mchungu Biashara inahitaj uwe vizuri kwenye sector yako na uwe na consistency ya kusoma kila siku..
Na ujiandae "KUFELI" na usijione kama hujabarikiwaa, mimi nasema ukwelii ukianguka na ukaanza kutambuaa kwanini nimeangukaa itakusaidiaa kutambua Nguvu na udhaifu wako..
40% ya watu wengi wanaofanikiwaa duniani ni Engineers pure au na solid foundation kuhusu Engineer kwanini nasema hivi hii sector watu wake wana mindset nzuri za kusolve matatizo yao binafsi pia ya kiduniaa kutokana na kudeal na hesabu mudaa mwingiii wanathink Logic na wazuri kutumia Data...
Lazima ujifunze kupenda namba itakusaidia kutatua matatizo yako na ya watu wanao kuzungukaa.....
Lengo ni kuwa mwanafunzi acha ego ujifunze utaanza kuona mabadiliko ya fikra zako na ndo magic utajua hata nikianguka narudi juu utajifunza kuhusu nidhamu etc.. soma vitabu vya biashara/uchumi/hesabu/computer.../emotional intelligence...