The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.
Kijana au mzee mwenye uelewa mpana aje hapa atueleze ni kwavipi Tanzania inaweza kujiendesha bila madeni /mikopo na kutegemea nchi nyingine azingatie Takwimu hizi
1. Idadi ya watu milion 67+
2. Nguvu kazi 25Milion ( umri 18-65)
3. Walipa kodi direct tax chini ya milion mbili
Ongezea hoja hizu...
Tanzania imeshuka katika viwango vya uhuru wa habari kwa mwaka 2025, hali ambayo imeelezwa kuwa inatokana na matukio mbalimbali yaliyojitokeza kabla, wakati na baada ya uchaguzi mkuu.
Akizungumza jijini Arusha katika kongamano la waandishi wa habari kuelekea maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa...
Nipo Mwanza nimekuja kutembea kutoka Jiji lenye miti mingi, nimefika Wilaya ya Ilemela, Kata ya Nyamanoro, jana tarehe 28.04.2026 nilikuta vijana wanne walionekana kwenye eneo la ujenzi wakiwa wananing'inia huku wakipandisha vifaa vya ujenzi kwenye jengo hilo ambalo inadaiwa kuwa linatarajia...
Taifa liweze kupona msingi wake lazima huwe ukweli na uwajibikaji sasa hii Tume Jaji chande imejikita kwenye propaganda za kitoto Je kweli nyie mnataka kuliponya Taifa? Watanzania au wananchi wa karne hiii hamtaweza tena kuwadanganya kitoto tena...
Nimejaribu kufuatilia wafanya biashara wengi wa kuprint mifuko ya viroba hasa ya kilo 50, ili nifanye nao kazi ila nimepata changamoto ya wengi kukosea kutengeneza muhuri wa kiroba husika, au wengine kushindwa kabisa kukupa ushirikiano kwa sababu ya unachokihitaji, wakati naona ni kitu cha...
Shikamoon wakubwa
Mwishoni mwa mwaka Jana niliweka mipango yangu kuwa ifikapo tarehe 5 Mwezi wa Kwanza niwe nimeshalipa chumba changu,ikiwa ni njia ya kujitegemea, wazazi wangu ,haswa mama hakupenda kabisa nihame nyumbani huku akiniasa ikiwa maisha ni magumu nirudi.
Mmmh ,nikalipa chumba...
Kuna akina Adiosamigo zitto junior Webabu mdogoee gTurn na Mzee wa UHARO Ritz kwa sasa wako kimya wanajifanya hawajui kuwa pale kwenye mlango bahari wa Hormuz Marekani wameweka Total-Blockade kwa taarifa yao tu hapo huwezi kupitisha hata lita moja ya mafuta bila idhini ya Marekani!!
Magaidi wa...
Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Evance Ndeka Bisesagu (47), mfanyabiashara na mkazi wa Bupumula wilayani Ilemela kwa tuhuma za kuchimba mahandaki sita bila kufuata taratibu za kisheria.
Mtuhumiwa huyo amekamatwa Aprili 22, 2026 kufuatia taarifa za wananchi kuhusu uwepo wa mahandaki...
Google imerekodi kila safari yako ya kwenda hospitali mwaka huu, na hata mizunguko yako ya usiku wa manane. Simu yako inatuma taarifa (updates) zako kila baada ya sekunde 96. Simu za Android zinatuma taarifa zako mara 20 zaidi kwenda Google ukilinganisha na jinsi iPhone inavyotuma kwenda Apple...
Huyu mwajiri wangu,tuna mkataba wa mwaka mmoja.
Mshahara anatoa tarehe 50
Mshahara wenyewe mpaka mpigane ngumi ndio anatoa.
Ana matusi balaa.
Nataka nimtoroke..kuna madhara yoyote?
Probative value ya mahojiano/ ushahidi wenu na so called mliwahoji iko wapi bila kusikiliza upande mwingine!
Nilisema mnajiletea aibu mkiwa retired Chief Justices
Atakutesa lakini atakulaumu kwa nini unalalamika unaumia.
POLENI SANA.
Historia ya masikini inaandikwa chooni, historia ya mshindi inaandikwa kwenye vitabu.
Mshana Jr
min -me
ngara23
Intern teachers nchini wako kwa hali ngumu sana, wakipitia miezi kadhaa bila kulipwa huku Teachers Service Commission (TSC) ikiahidi sasa ku-clear malimbikizo ya mishahara mwezi wa May 2026.
Despite April salaries kutoka, ukweli ni kwamba wengi wa intern teachers walilipwa mwezi mmoja tu...
Rais ajaye asipoeliminate baadhi ya mafisadi papa kutoka CCM mtandao, basi yatamuwahi na kumueliminate yeye.
Masilahi ya kudumu ya CCM mtandao ni kubagaza na kubananga rasilimali za watanzania na yoyote atakayewapinga kufikia lengo lao hili wana mbinu zote za kumfikia na kumbomoa.
Ni either...
Mara nyingi maadui zetu wakubwa hawaji na panga na bunduki. Wanakuja na tabasamu, na mikono ya kukumbatia.
Yule unayemwamini hadi unampa siri zako za moyoni ndiye anayeweza kukuchoma kisu mgongoni bila wewe kujua.
Kuamini ni kuzuri, lakini kuamini bila akili ni kujitengenezea kaburi lako...
Mbunge wa Viti Maalumu, Lucy Mwakyembe amesema kuwa Kujiunga na vyama vya wafanyakazi ni hiari, na ibara ya 20 ya katiba ya Tanzania inatoa haki hiyo na sheria ya ajira na mahusiano kazini inathibitisha haki hiyo.
Baadhi ya taasisi za kazi imekuwa ikiwalazimisha wafanyakazi kwenye vyama vya...
Ukiachana na eVoque au RR Sports, kuna hizi RR ndefu zikijilock vitasa havionekani na kwa nyuma zina taa ndefu kwenda chini.
Bwana izo ni RR 5th gen (2023+), bei ya moto kinoma. Used tu bila Mil 400 kuzipata ni mtihani.
Mjapan pekee anataka Mil 270+ na TRA nao wanataka Mil 180+
Na hapo...
Wadau, kuna hii story imeanza kuwasha moto Wakenya tisa ambao ni seafarers wamekwama kule Kilwa, Tanzania tangu March 30, 2026 baada ya meli yao FV Sea Mfalme kushikiliwa kwa allegations za human trafficking.
According to reports, hii vessel ilitoka Mombasa March 14 ikiwa na watu 61 onboard...
Italifaa vipi taifa letu kuwa na maridhiano na Lissu akawa nje bila kuwa na katiba mpya?
Tunapaswq kuwa na katiba ambayo Rais akitumia vobaya madaraka yake kwa manufaa yake,. rafiki zake na ndugu yake aweze kuwajibishwa.
Hata kama Lissu atatoka na kuwa huru. Lakini kama hatuna katiba ambayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.