The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.
Kuna kero kubwa inayowakumba vijana wengi waliokuwa wakijitolea kama waongoza watalii (Tour Guides) katika Taasisi ya TAWA kwa muda mrefu sana. Wapo vijana wamejitolea kwa miaka mingi wakifanya kazi ya kuongoza watalii, wakilitangaza taifa na vivutio vyake, wakiamini siku moja watapata ajira...
Anonymous
Thread
ajira
bila
mrefu
muda
muda mrefu
taasisi
tawa
vijana
watalii
Kuna kitu niligundua kwa muda, na sikijui kama ni coincidence au kuna kitu kingine kinaendelea.
Sio sayansi, au sheria maalum… ni kitu kinatokea tu ukianza kuangalia vizuri.
mara ya kwanza nilihisi akiki yangu ina connect kwenye internet wirelessly maana nikihisi tu simu itaita, ghafla inaanza...
Baada ya kuingia mitamboni kusaka habari kuhusu yule bwana alie zikwa na mkewe nyuma ya nyumba.
Walikua wanatatizo la kuto pata mtoto kwa muda mrefu.
Huyo dada inawezekana alimuwekea dawa ya KIENYEJI MUMEWE kwa kesi hiyo ili wapate mtoto.
Inawezekana huyo dada hakujua kama hiyo dawa ni sumu...
Kwa heshima ujengwe mnara mkubwa wa makumbusho ya kumbukumbu ya kuwa kumbuka kila mwaka wahanga wetu wote. Walioteswa Waliopotezwa ama kuuwawa na CCM kabla na baada ya mauwaji ya uchaguzi wa October 29,2025 kwa kuyaandika majina yao wote kama Mashujaa wa Taifa.
Kwenye maisha ya mwanadamu hapa duniani, pesa sio kila kitu… lakini ukweli usiosemwa mara nyingi ni kwamba pesa inatatua karibu asilimia 99% ya changamoto tunazokutana nazo. Ukikosa pesa kwenye dunia ya sasa, ni kama umejitenga na mfumo mzima wa maisha. Unakuwa kama unaishi pembeni ya dunia...
Hivi Pakistan Taifa masikini la Waislamu wengi sana wenye msimamo mkali na hadi magaidi wengi tu waliwezaje kufanikisha kutengeneza silaha zao za nuclear bila kibali na kelele za US?
Jamani mimi kama mdau wa elimu kuna suala nimeliona na naomba lifike kwa mamlaka husika.
Ipo hivi baadhi ya Shule za Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe Mkoani Kagera zinafundisha watoto kuanzia asubuhi mpaka jioni wakati huo mtoto hajanywa uji wala kula chakula cha mchana.
Katika kufatilia...
Kero yangu sisi tunaoomba ajira kupitia Mfumo wa Ajira Portal, tunakaa muda mrefu bila kuitwa kwenye interview.
Kwa mfano niliomba ajira Ajira Portal, Shirika la Posta since last year Mwaka 2025 mpaka leo Machi 2026 hakuna shortlist wala kujua lini tutafanya, the same to Mamlaka ya Viwanja vya...
Anonymous
Thread
ajira
ajira portal
bila
bora
kazi
kupitia
majibu
mrefu
muda
muda mrefu
nafasi
nafasi za kazi
portal
•Mimi Kuna siku tumbo liliunguruma akasema nifundishe na Mimi
•Siku nyingine akaniambia eti nikimuacha atakunywa maji ya mvua afe
•Juzi hapa akaniambia anatoka mara moja kumbe kaenda dubai
Magari yanayosafirisha mchanga au vifusi maeneo ya huku Kibaha hawafuniki kwa turubai wala kusafisha body kuondoa michanga kabla ya kuingia katika lami kama sheria inavyowataka.
Wamekuwa kero hasa ukifuatana naye kwa pikipiki michanga inaingia kwenye macho
Hapa Kariakoo kuna walinzi wa Halmashauri wanakamata Pikipiki bila utaratibu maalum na kuomba pesa kiasi cha elfu 50, uwape mkononi wanasema ni wrong parking.
Hata Bodaboda akishusha tu abiria wanamkamata hapohapo, wanazikusanya na baadae wanaomba pesa.
Ni uonevu mkubwa sana hilo suala...
Mwanamke aitwaye Juliana Gregory Temu (31) Mkazi wa Mabwepande Jijini Dar es saalam amemuomba Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dorothy Gwajima, Wadau wa kutetea haki za Binadamu na Wasamaria wote kumsaidia ili ampate Mtoto wake Purity Anthony Njau ambaye...
1. Polisi wafuate sheria kwasasa ndiyo wamekuwa kama serikali. Badalisha wote wa juu leta Polisi ya wananchi. Umeshangaza watu sana kumtoa waziri ambaye angeweza kukusaidia
2. Jeshi kwa jeshi hili la kichawa hatakubalika
3. Tume huru na wasimamizi wa vyama vya kisiasa waache upendeleo na...
Kuna kitu nilifanya mwaka jana ambacho watu wengi waliniona kama nacheza mchezo wa ajabu kidogo.
Nilikaa siku 100 nzima bila kuangalia saa.
Hakuna sababu maalum. Sikuamka asubuhi nikasema tu moyoni, “leo naanza.” Nikajiambia nione kama inawezekana kuishi kawaida kabisa bila kujua muda ni saa...
Kuna ile hali ambapo unaweza kuwa mbali na kwenu au kwako (japo hii haiwakuti wengi) halafu huna mawasiliano na watu wa nyumbani kutokana na sababu kama shule (kusoma boarding), shughuli za utafutaji n.k halafu unaporejea unakuta jambo lisilopendeza/ linaloogopesha au kukuumiza.
Mimi wakati...
Nimechukua muda kutafakari historia za kisiasa za Venezuela, Iran, Russia, China n.k pamoja na kuangalia Hali ya kisiasa ya dunia kwa sasa, ukweli mchungu ni kwamba katika nchi yetu ni vigumu sana upinzani halisi kama wa CHADEMA kupambana na kuishinda CCM na kuweza kuleta demokrasia.
Ukweli ni...
Kuna binti mmoja, ni mke wa mtu, lakini ananiumiza kichwa sana siku hizi. Mume wake alimfungulia duka kubwa tu awe anakuwa bize, na kwa kuwa hata mimi nina duka katika mitaa hiyo, tulianza kuzoeana kama majirani. Kila nilipopita na kumuona, sikusita kumsalimia na mara nyingi tulikuwa tunapiga...
Rais wa Marekani amesema kiongozi anayefuata wa juu wa Iran “hatadumu muda mrefu” ikiwa Tehran haitapata idhini yake kwanza ili kuchukua nafasi ya Ayatollah Ali Khamenei aliyeuawa katika shambulio la anga siku ya kwanza ya vita.
“Atalazimika kupata idhini kutoka kwetu,” Trump aliambia ABC News...
Uthabiti wa kimfumo na kiutawala ndani ya serikali ya jamuhuri ya Iran. Uthabiti huo utawawia vigumu mno Marekani na mshirika wake Isarael kubadili kabisa utawala wa sharia za kiislam unaotumika na kuimpose utawala wa kidemokrasia. Ili kufanikisha hilo, ni sharti kwanza pawepo na vikosi vya...
ardhini
bila
imara
iran
irani
israel
kidini
kubadili
kutoka
kutokana
kuweka
marekani
marekani na israel
mfumo
mfumo wa utawala
ndani
sharia
utawala
vikosi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.