bikra

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Nitumie mbinu gani kumtoa bikra?

    Samahani kwa kuwachosha wanajamvi, naomba ushauri wa mawazo ambao unaweza kunisaidia mimi na mwenza wangu. Nilikutana na binti ambaye bado ni bikira na nimefanya maamuzi awe wangu wa maisha. Shida iliyopo ni muoga sana kutolewa ile kitu kwa muda wa miezi mitano sasa nimekuwa nikipress juu juu...
  2. Ifahamu PROM NIGHT, tamasha kubwa la kutoana bikra linaloandaliwa mashuleni kila mwaka huko Marekani

    Tamasha hili huandaliwa maalum kabisa kwa ajili ya wanafunzi wa 'high school seniors / juniors' ambao wanamaliza shule na hivyo hukusanyika kama njia moja wapo ya kuagana na kupongezana. Katika hatua za awali za Tamasha hili huanza kwa kupiga picha za pamoja baina ya marafiki na wapenzi...
  3. Uingereza: Wanawake waislamu wawafaidisha madaktari kwenye kutengeneza bikra

    Wanawake wa kiislamu wengi wanakuwa katika hatari ya kuuwawa inapotokea wakathibitika kuwa wameolewa bila kuwa na bikra. Baadhi yao wamejiwekea utaratibu wa kuwafuata madaktari ili kuwarudishia bikra zao, tabaka la ngozi kwenye uke. Kuna hatari ya kuwa kama utengenezaji wa bikra utazuiwa basi...
  4. Binti wa miaka 19 auza bikra yake kwa bilioni 3

    Binti wa Ukrain anayeishi Marekani mwenye miaka 19 ameuza bikira yake kwa TSh Bilioni 3 baada ya kutangaza kuiuza katika tovuti ya kujiuza Binti huyo aliyetambulika kama Ekaterina alitoa Bikira yake kwa mzabuni aliyepanda dau kubwa zaidi ambaye ni mfanya biashara Ubikira wake ulithibitishwa na...
  5. Chungu lakini dawa {kwanini BIKRA ithaminiwe kabla ya ndoa}

    CHUNGU LAKINI DAWA Kama hana bikra usimuoe, achana naye. Tafuta mwenye bikra ujichukulie mwali. Kama hana bikra usitoe mahari kama umeamua kuoa. Toa mahari kwa mwanamke uliyeikuta bikra kwake. Mtu hana bikra unatoaje mahari. Kama hana bikra usifanye harusi. Harusi ni kwa mwanamke mwenye bikra...
  6. Wanawake mliotolewa bikra na waume zenu njooni hapa

    Wanawake wengi inasemekana wanaolewa wakiwa tayari washapigwa mambo. Mliobahatka kuolewa mkiwa na bikra zenu njoo mtoe fundisho kwa vijana wetu wa leo.
  7. Ni halali kulipa mahari kwa mwanamke ambaye sio bikra?

    Wakuu pokeeni salamu zangu, Mahari kama inavyochukuliwa na jamii nishukrani kwa wazee kwa ajili ya kumtunza binti, kwa hali ya sasa ilivyo ni vigumu kupata binti aliyejitunza mpaka siku ya ndoa hivyo kuondoa dhana nzima ya kutoa mahari, Mimi kwa binafsi yangu nimeapa sitoi mahari kwa binti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…