bidhaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Bidhaa za ndani, bei rahisi sana

    Vitu vya ndani vinauzwa kwa bei nafuu; Hisense smart TV, inch 43 ina box lake - 350,000/= Friji ndogo - 100,000/= Feni kubwa - 30,000/= Viti vya plastic (3) - 15000/= Meza ya kioo ndogo - 50,000/= Kochi la watu wawili - 80,000/= Meza ya kuwekea jiko, mtungi mkubwa oryx na jiko la plate2...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Hizi ni bidhaa za Kenya zilizoweza kuteka soko Tz kwa muda mrefu, ongeza nyingine

    BLUE BAND - watanzania wengi hawalijui neno la siagi, msamiati wa siagi umekuwa blueband kwasababu ni bidhaa iliyoweza kupata umaarufu kwa muda mrefu sana, hii kitu ikipakwa kweye mkate ushushie na chai ni ladha amazing sana. KIWI - vile vile nayo imekuwa msamiati rasmi wa rangi ya kungarisha...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Toeni taarifa za bidhaa zisizo rasmi

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Watanzania watoe taarifa kwa mamlaka husika pindi wanapokuta kuna bidhaa zisizo rasmi zimeagizwa kutoka nje, zinazalishwa au zinasambazwa nchini. Ametoa wito huo Bungeni leo (Alhamisi, Agosti 29, 2024) wakati akijibu swali la Mbunge wa Hai, Saasisha Mafue...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Bidhaa za Electronics hapa Uganda ni Nafuu sana ukilinganisha na huko Nyumbani Tanzania na bado wanategemea Bandari za Mombasa na Dar?

    Na cha Kushangaza zaidi karibia 85% ya Bidhaa zao hizo za Electronics ni Original kabisa lakini bado wanaziuza / zinauzwa kwa Gharama nafuu sana wakati huko Tanzania ( Nyumbani ) bidhaa nyingi ambazo tunauziwa kwa Gharama Kubwa hapa Uganda bado ni Feki pia. Haya Mangwena ( Wabobezi ) wa Uchumi...
  5. Librarian 105

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la bidhaa chini ya viwango mtaani, TBS kunani?

    Nitaangazia upande wa chuma pekee: hardware nyingi sana huku Arusha zinauza nondo na bidhaa nyingi za chuma ambazo hazina ubora na kiwango. Pia hazina urefu wa futi 17-17.5 kama zamani. Hii hali imenipa mashaka makubwa juu ya matokeo ya baadae ya tasnia ya ufundi na ujenzi wa uhakika mitaani...
  6. L

    JamiiForums Tanzania China yazalisha bidhaa za matumizi ya nishati ya jua kuliko nchi zote duniani kwa pamoja

    Ripoti iliyotolewa mwezi Julai mwaka huu inaonesha kuwa kiwango cha joto duniani kati ya mwezi Julai 2023 na Juni 2024 kiliweka rekodi mpya na kuwa juu kwa nyuzi 1.64 sentrigredi, kuliko ilivyokuwa katika kipindi kabla ya maendeleo ya viwanda. Pamoja na kuwa ripoti hii haina jambo jipya kuhusu...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Wanahitajika Vijana Kwa ajili ya KUUZA bidhaa za bima

    Sisi ni wakala wa Bima tupo Dar es Salaaam, Kinondoni, tunahitaji vijana wa kike/kiume, wenye elimu ya bima ngazi ya cheti/Diploma Kwa ajili ya KUUZA bidhaa za bima, ni kazi ya mauzo/masoko kama una sifa tajwa tafadhali ni pm Kwa maelekezo zaidi@vigezo na na mashariti kuzingatiwa.
  8. Candela

    JamiiForums Tanzania Msaada kuagiza bidhaa ambazo haziji tanzania

    Hello, nahitaji muongozo kuagiza bidhaa ambazo ukiingia Amazon unaambiwa THIS ITEM DOES NOT SHIP TO YOUR LOCATION. Nina soundbar nililetewa na mtu imekufa, nataka kuagiza nyingine lakini haiwezi kuwa shiped Africa. Kuna mtu aliniambia nicheki PROSHIP ila sina uhakika na usalama wa pesa, almost...
  9. X

    JamiiForums Tanzania Marekani: Ndani ya siku 100 tu deni la taifa la Marekani lafikia $35 trillion kutoka $34 trillion

    Deni la taifa la Marekani au kama wao wanavyoliita Federal Debt, Government Debt, National Debt, U.S Public Debt linapaa kwa kasi sana limefikia $35 trillion ambalo ni sawa na $104,082 kwa kila mtu anayeishi Marekani. Deni la taifa la Marekani linakua kwa kasi zaidi kuliko uchumi. Kuna sababu...
  10. Candela

    JamiiForums Tanzania Napataje kwa bei za jumla bidhaa hizi?

    Natafuta wanapouza Asas na Kilimanjaro prosucts hasa yoghurt, Nahitaji kwa bei ya jumla.
  11. Myahudi Jr II

    JamiiForums Tanzania Hii bidhaa ikipatikana Tanzania itafanya mageuzi makubwa hasa kwa "RESIDENTIAL HOUSES"

    Ujenzi wa nyumba zetu za kuishi za watu mbalimbali zege halikwepeki ila umekua ni mtihani mkubwa sana juu ya upatikanaji wa "materials" Atokee tajiri mmoja basi aanzishe "dry ready mix concrete" atapiga pesa kama wanavopiga watu wanaouza cement NIMEWAPA WAZO BURE
  12. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Kwa Dar wapi naweza pata hii bidhaa (Vr Box)?

    Nimeona tangazo lake mtandaoni na nikaipenda ghafla. Mwenye kufahamu duka naweza pata huu mtambo nipe msaada. Mtambo unaitwa VR Box
  13. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Wafanyabiashara wakiskia tu tetesi za kuongezeka mishahara hapohapo tamaa inawashika wanapandisha bei bidhaa .

    Wamekaa kuvizia vizia siri za kawaida zivuje za ongezeko la maokoto.tuwe na Imani uwezo wa serikali utakapoongezeka basi hata kada za afya na elimu nanyi mtanufaika ishu kwa sasa ni wingi wenu ndo unaoleta wasiwasi tukisema tufanye kitu huko tutafeli V8 Tulizonunua zinahitaji wese. Liwe tu...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mhandisi Maryprisca Mahundi amesema suala la usalama wa kimtandao ni muhimu ili kuhakikisha upatikanaji wa taarifa, huduma na bidhaa za mtandaoni

    USALAMA WA MTANDAO NI MUHIMU KWA TAIFA – NAIBU WAZIRI MAHUNDI Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Dar es Salaam NAIBU Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi amesema suala la usalama wa kimtandao ni muhimu ili kuhakikisha upatikanaji wa taarifa, huduma na...
  15. tustary software develope

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza lebo au stika za bidhaa

    Tunaamini kwamba bidhaa zako ni bora na zina thamani kubwa kwa wateja wako. Ndio maana tunahakikisha kwamba tunatoa huduma ya kipekee ya kubuni lebo nzuri ambayo itaongeza thamani ya bidhaa zako na kuvutia wateja zaidi. Tutumie ujumbe tuanze kufanya kazi pamoja na kufikia malengo yako ya mauzo...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Nippon Paint Yazindua Kampuni Tanzu Afrika Mashariki, Ikilenga Kutoa Bidhaa na Huduma Zenye Ushindani Katika Soko Hili Linalokua

    (Kushoto Kwenda Kulia) Mheshimiwa Bw. Rohit Vadhwana, Kaimu Kamishina Mkuu wa India, Sharad Malhotra - Makamu wa Rais Mkuu, Nipsea Group, Hardev Singh- Rais na Mkurugenzi (Idara ya Kiwanda), Nippon Paint India, Arun Mishra - Meneja Biashara, Nipsea Paint Kenya, Jamil Virjee, Mkurugenzi Mtendaji...
  17. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Packaging kwaajili ya bidhaa ndogondogo

    Naomba kuuliza nikihitaji package ya namna hiyo kwa ajili ya bidhaa mbalimbali je nitapata vipi naombeni wadau mnisaidie nijue namna ya kupata package za bidhaa zangu.
  18. W

    JamiiForums Tanzania Wale mnaopenda kununua vitu used muwe makini sana, epuukeni zaidi kununua hizi bidhaa zinaweza kuwatia ndani ama kutoboka mifuko.

    1. Simu - Ni biashara iliyoshamiri sana kwenye vitu used lakini wengi zimewingiza kwenye matatizo, mtu kanunua simu laki 4 au zaidi haoni shida kutoa elf 50 polisi waifatilie, yani ukinunua simu iliyoibiwa ukipachika tu laini yako tayari ushadakwa kwa taarifa zako ulizosajilia laini na makadirio...
  19. Amydiz

    JamiiForums Tanzania Kama kuna aliyewahi kufanya manunuzi ali express naomba experience

    Jamani kama kuna aliyewahi kufanya manunuzi ali express naomba experience jinsi wanavyo fanya kaz
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Serikali na wafanyabiashara mmekubaliana nini kuhusu bidhaa 8?

    Nilimsikia Kitila Mkumbo akisema kuna bidhaa 8 wamekubaliana na wafanyabiashara kuziingiza kwenye mfumo bila ufafanuzi zaidi na leo nimemsikia tena Mwigilu akisema kuna bidhaa 8 ambazo wafanyabiashara wamekubaliana na serikali ziwe na bei elekezi. Hizo bidhaa ni zipi na serikali wamekubaliana...
Back
Top Bottom