biashara na uwekezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Kampuni za Algeria zatafuta wabia wa biashara na uwekezaji Tanzania

    Kampuni za Algeria zatafuta wabia wa biashara na uwekezaji Tanzania Kampuni za Algeria zinazojishughulisha na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali zikiwemo za viwandani na kilimo zinatafuta wabia wa kufanya nazo biashara ya mazao na uwekezaji katika sekta ya viwanda nchini Tanzania. Kampuni hizo...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wa EAC Waazimia Kuboresha Mazingira ya Biashara na Uwekezaji

    Mawaziri wenye dhamana ya sekta za Biashara, Viwanda, Fedha na Uwekezaji kutoka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wameazimia kuendelea kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji ili kuongeza ushindani wa uchumi wa kikanda, kuimarisha mtangamano wa soko la pamoja na kuchochea...
  3. University of Dodoma (UDOM)

    JamiiForums Tanzania BRELA NA UTT AMIS WAWANOA WANAFUNZI WA UDOM KATIKA BIASHARA NA UWEKEZAJI

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kwa kushirikiana na TISEZA @invest_in_tanzania na @sydf_tz , kimeendelea kuwajengea wanafunzi uwezo wa ujasiriamali na uwekezaji kupitia programu ya Public Lecture – Student Investor iliyofanyika kwa siku mbili, tarehe 30 na 31 Mei 2026 katika Ukumbi wa CIVE...
  4. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Dr. Mwangi: Zanzibar ina nafasi ya kipekee kuwa lango la biashara na uwekezaji kuunganisha Afrika na Asia siku zijazo

    Mkurugenzi Mtendaji na CEO wa Equity Group Holdings, Dr. James Mwangi, tarehe 23 Mei, 2026 aliwasilisha mada katika Jukwaa la Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Taasisi, akisisitiza umuhimu wa viongozi wa Taasisi barani Afrika kukumbatia uongozi wenye mabadiliko, ubunifu, ujumuishaji wa kifedha, na...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Dangote aipongeza Serikali kwa kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji, pamoja na kutatua changamoto za wawekezaji

    #HABARI Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, ameipongeza Serikali kwa kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji, pamoja na kutatua changamoto za wawekezaji nchini. Katika taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Tanzania baada ya Mfanyabiashara huyo kufanya mazungumzo...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wa Tanzania na Zambia kukutana Tunduma, Mei 7, 2026 kuboresha ushirikiano wa uchumi, biashara na uwekezaji

    Maandalizi ya Mkutano wa Mawaziri wa Biashara (Joint Trade Committee – JTC) kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Zambia yamekamilika kufuatia kuhitimishwa kwa kikao cha Kamati ya Pamoja ngazi ya Makatibu Wakuu kilichofanyika leo, Mei 6, 2026, katika Kituo cha Huduma cha Pamoja...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali iwezeshe Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji katika Halmashauri zeto. Sio inakuwa Idara ya Mapato ya Leseni na Vibanda tu

    Halmashauri zetu zote zina idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji ambayo inatekeeleza majukumu yake chini ya Sehemu mbili yaani Sehemu ya Maendeleo ya Viwanda na Uwekezaji, na Sehemu ya Biashara na Masoko. Idara hii ikiwezeshwa ipasavyo inaweza kuwa roho na msingi wa Halmashauri zetu...
  8. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania China na Kenya zafikia makubaliano ya biashara na uwekezaji

    China na Kenya hivi karibuni zimefikia makubaliano kuhusu ushirikiano wa biashara na miundombinu. Kutokana na makubaliano hayo, kuanzia mwezi Mei, bidhaa muhimu za Kenya ikiwemo chai, kahawa, na parachichi zitaingia katika soko la China bila ya ushuru. Wakati huo huo, China itawekeza mabilioni...
  9. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Misri kukuza ushirikiano katika Biashara na Uwekezaji

    Tanzania na Misri kukuza ushirikiano katika Biashara na Uwekezaji Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Mahmoud Thabit Kombo na Waziri wa Mambo ya Nje, Uhamiaji na Wamisri Waishio Nje wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri, Mheshimiwa Dr. Badr Abdelatty, wameshiriki...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Biashara na Uwekezaji, lililofanyika Katika Ukumbi wa Makao makuu ya Chemba ya Riyadh (the international conversation and exhibiti

    Ubalozi wa Saudi Arabia kwa kushirikiana na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) na Kituo cha Kuendeleza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) wameandaa na kushiriki Kongamano la Biashara na Uwekezaji, lililofanyika Katika Ukumbi wa Makao makuu ya Chemba ya Riyadh yaani (the international conversation and...
  11. The Sunk Cost Fallacy 2

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu, Dotto Biteko: Serikali ya Rais Samia Imefuta Tozo 370 Ili Kukuza Biashara na Uwekezaji

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati bwana Dotto Biteko amesema Serikali inayoongozwa na Rais Samia Imefuta zaidi ya tozo na kero 370 Kwa lengo la kukuza biashara na uwekezaji Nchini. Bwana Biteko amesema hatua hiyo imechochea kukua Kwa biashara na uwekezaji Nchini akitolea mfano ongezeko la...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kwa mazingira mazuri ya biashara na uwekezaji aliyoyaweka Rais Samia kuna haja kweli ya kuajiriwa?

    Nashangaa vijana wengi bado wanatembeza bahasha mtaani kitafuta ajira ambazo ki ukweli ni utumwa. Kwa nini msifikirie kutumia hii golden chance ya uwepo wa mama madarakani kujitafutia vya kwenu. Mama ameweka mazingira mazuri kiasi ambacho biashara zimeshamili kila kona. Hata muuza karanga tu...
  13. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Biashara Na Uwekezaji: Kwa Nini Uwekeze Wakati Unaweza Kuzalisha Faida Kubwa Zaidi Kupitia Biashara?

    Habari njema Matajiri Wawekezaji, Hongereni wote kwa kuendelea kukaa kwenye mchakato wetu wa programu ya NGUVU YA BUKU, ambapo tunajifunza na kufanya uwekezaji kwa hatua ndogo ndogo, kwa muda mrefu na kwa msimamo bila kuacha. Kauli mbiu yetu kwenye NGUVU YA BUKU, ambayo pia ndiyo imani yetu ni...
  14. JOVITUS KAMUGISHA

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Kuinua Biashara na Uwekezaji kwa Mustakabali Endelevu

    Utangulizi: Tanzania inakabiliwa na fursa kubwa ya kuboresha biashara na uwekezaji, hususan katika sekta za madini na miundombinu. Makampuni makubwa ya kimataifa kama vile Rio Tinto, BHP, na Vale yameonyesha nia kubwa katika sekta ya madini, huku miradi mikubwa kama Reli ya Kisasa (SGR) ikipata...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Pakistan kushirikiana Sekta za Biashara na Uwekezaji

    Tanzania na Pakistan zimeahidi kuendelea kushirikiana kuimarisha zaidi sekta za biashara na uwekezaji kwa maslahi ya pande zote mbili. Ahadi hiyo imetolewa na Kaimu Mkurugenzi Idara ya Asia na Australasia katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bw. Salvastory Mbilinyi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Biashara na uwekezaji

    Nina ela yangu kama laki tano ila sijui nifanye biashara gani au investment gani ili niweze kupata faida kwa mwaka ya milioni 30
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Afrika na NORDIC zakubaliana kuboresha biashara na uwekezaji

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za Afrika na Mawaziri wa Nchi za Nordic wakubaliana kuimarisha biashara na uwekezaji, kubadilishana ujuzi, teknolojia pamoja na kukuza uwekezaji baina ya nchi hizo. Makubaliano hayo yameafikiwa wakati wa Mkutano wa 20 wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za...
  18. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania TanTrade, Iran wakubaliana mema zaidi biashara na uwekezaji

    TanTrade, Iran wakubaliana mema zaidi biashara na uwekezaji | TanTrade, Iran wakubaliana mema zaidi biashara na uwekezaji
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania kuimarisha ushirikiano wake na Misri katika sekta za biashara na uwekezaji

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inakusudia kuimarisha ushirikiano wake na Jamhuri ya Kiarabu ya Misri katika sekta za biashara na uwekezaji. Hayo yamebainishwa wakati wa mazungumzo baina ya Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania, Uingereza zadhamiria kuimarisha biashara na uwekezaji

    Tanzania imeeleza dhamira yake ya kuendelea kuimarisha ushirikiano wake na Serikali ya Uingereza katika sekta za biashara pamoja na uwekezaji. Dhamira hiyo imeelezwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax (Mb.) aliposhiriki hafla maalum ya kutawazwa...
Back
Top Bottom