biashara

  1. Mbowe siasa sio biashara. Siasa ni maisha ya watu acha uzandiki. Rudisha chama mikononi mwa Wapinzani wa kweli

    Unadhania Watanzania ni wajinga wanafurahia kuishi kwenye umaskini huku Taifa lao ni rasilimali za kutosha kuondoa umasikini? Unadhania siasa ni kuzuga na kupumbaza watu? Unadhania siasa ni kufanya collusion na watawala ili unufaike? Japokuwa unadhania CHADEMA ni private property lakini ni...
  2. Biashara ya mahindi ya kuchoma yaniingizia tsh milion 24 kwa mwaka

    Mwalimu WA Hesabu nimerudi Mahesabu ya kupata milion 24 haya hapa
  3. Biashara ya ATM

    Kuuliza si ujinga, walisema wahenga. Nami kwa kuheshimu methali hii naomba kuuliza bila uoga, hivi hizi ATM ni mtu yeyote mwenye mtaji anaweza kufungua ATM ? kama Kuna mtaalam basi afafanue na gharama kwa undani kidogo, kwenu wakuu.
  4. T

    Biashara ya kuuza maji ya kunywa

    Habari za asubuhi Nilikuwa naomba kuuliza hii biashara ya kuuza maji ya kunywa Katika vituo mfano wa atm imeakaaje ( faida na hasara zake) Naomba kuwasilisha
  5. T

    Biashara ya kuuza maji ya kunywa (maji baridi na maji Moto) katika vituo vya daladala

    Habarini za asubuhi Kuna biashara nimeona ikianza kushika Kasi dar es salaam, uzaaji wa maji ya kunywa kwa gharama nafuu ya shiling Mia mbili kwenye vituo mfano wa ATM hii imeakaaje wataalamu naomba kuwasilisha
  6. Nataka kufunga biashara yangu naomba ushauri

    Mimi ni kijana wa miaka 22 nimemaliza chuo mwaka huu nina degree ya kodi, baada ya kumaliza chuo kuna sehemu ya biashara nilipata ya mgahawa iko pwani. Wiki mbili za mwanzo biashara ilienda vizuri lakini baada ya hapo kila tukipika chakula kikawa kinabaki maana kwenye suala la wateja baada ya...
  7. Kuuliza si Ujinga; Maharage Chande anafanya biashara gani na TTCL? Kwanini Biashara hiyo inafichwa?

    Tunauliza haya kwa uzuri tu, wala hatuna wivu wowote ule na kiongozi Mjasiriamali, na kwa vile Maharage ni Mtumishi wa Umma hatuamini kama ni makosa kujua taarifa zake. Mimi mwenyewe ni Mfanyabiashara na Mwanasiasa pia, kwahiyo si ajabu mtu mwingine kufanya biashara. Bali kikubwa ni biashara...
  8. Una operate vipi branch za biashara yako huku zikikupa faida?

    ........... (Salamu) Wakuu kwa wale wafanyabiashara au wale wenye elimu ya biashara , nina biashara yangu moja naifanya, sasa kwa sasa nataka nifungue branch nyingine ya pili mtaa mwingine, (nipo Dar, Ubungo) Changamoto kwangu naona sina uzoefu wa kusimamia hizi biashara, hii ya kwanza naiweza...
  9. Chanzo cha wanawake kuifanya miili yao kama biashara ni nini?

    Hivi karibuni kumekuwa na lindi la wanawake katika maeneo mabalimbali mpk katika mitandao hii ya kijamii kufanya MIILI YAO kama BIASHARA ikifika kipindi hiki nakumbuka tangu mwenyezi Mungu alivyoumba ulimwengu nakumfanya hawa kama msaidizi tangu alivyoingia katika kishawishi kudanganywa na...
  10. Rais Samia: Maharage ana biashara ndani ya TTCL ndio maana nimemtoa

    https://www.youtube.com/watch?v=JHMCidEdAKY === Rais Samia amesema amemhamisha Maharage Chande kutoka TCCL ili kuondoa mgongano wa kimaslahi kwa kuwa ana biashara na taasisi hiyo. "Maharage tumekutoa TANESCO na nikachukulia uzoefu wako wa DSTV nikaona sekta ya TTCL ingekufaa zaidi. Sasa baadae...
  11. Biashara soksi aina zote China

    Watoto,zakike na zakiume kila size kila mtindo Kazi yangu ni kukuuzia Yuan ama kukulipia kwa supplier wako Natoa hesabu kwa baadhi ya soksi kwa rate yangu ya leo ya yuan 379 men's socks 6.5rmb(dazen) X 379=2463.5Tsh kwa dazen 1 sawa na 206 kila soksi women's socks 6.8rmb(dazen) X...
  12. T

    Kuelewa biashara ya hewa ukaa. Njia kuelekea mazingira bora

    Habari! Je, umewahi kujiuliza jinsi tunavyoweza kupambana na mabadiliko ya hali ya hewa na kupunguza uzalishaji wa gesi chafu kwa ufanisi? Hapa ndipo Biashara ya Hewa Ukaa inapoingia! 🌿💨 🔍 Ni nini Biashara ya Hewa Ukaa? 🔍 Biashara ya hewa ukaa, inayojulikana pia kama biashara ya uzalishaji wa...
  13. Biashara ya chupi na sidiria mpya na mtumba

    SIDIRIA Bei ya china 15yuan kwa kilo 1 Oda kima cha chini 100kg (belo 2) 15x100=1500yuan 1500x379=568500Tsh (379 ni bei yangu ya kuuza yuan kwa siku ya leo 23/09/2023) 100kg nikama sidiria 1000-1200 568500÷1200=474 kila sidiria Ukiweka na usafiri nikama 700 kila sidiria...
  14. B

    Kuna baadhi ya shipping agent na bandari kavu wanawaumiza sana clearing agent

    Wakuu poleni na majukumu. Napenda kuelezea dukuduku langu kuhusu biashara ya clearing and forwarding kwa hapa Tanzania. Hii ndio biashara yenye CHANGAMOTO nyingi kuliko biashara yeyote hapa Tanzania. Kwa upande wa serikali wanajitahidi, Ila shida nimeiona kwa hizi shipping agent na bandari...
  15. M

    Naomba kufahamishwa aina ya kodi ambazo fedha inayowekwa fixed deposit kwenye bank za biashara

    Wadau naomba kufahamu aina ya kodi ambazo fedha inayowekwa fixed deposit kwenye bank za biashara. Faida inakatwa kwa asilimia ngapi, kodi ji zipi zinakatwa? Please help
  16. Naomba kujuzwa utaratibu wa kuendesha ofisi ya Welding na Seremala

    Naomba kujua utaratibu wa kuendesha ofisi ya welding na seremala kama boss si fundi wa hizo fani,jinsi ya kuwalipa welders na mafund wengne. (NB mashine na vifaa vingne vyote vya boss)
  17. Biashara ya kukodisha Turubai

    Habarini, Naomba ushauri kuhusiana na biashara ya kukodisha turubai, je ni size ipi ambayo inapendwa sana katika kukodishwa (4m kwa 10m au 6m kwa 10m au 8m kwa 10m)? Material ipi ya turubai uwa inadumu, je ni pvc ikiwa na high strength polyster au pe tarps? Nitashukuru kwa msaada wenu wataalam
  18. Serikali ya China inafanikiwa vipi kufanya biashara huku Tanzania tukiaminishwa Serikali haiwezi chochote(Biashara na huduma)

    Swali mezani: Serikali ya uchina inafanikiwa vipi kufanya biashara na kutoa huduma kwa mafanikio makubwa kwa kutikisa dunia huku Tanzania tukiaminishwa serikali haiwezi vyote ila ubinafsishaji unaweza? In fact, 71% of China's Fortune 500 companies are state-owned. State ownership is most common...
  19. Biashara ya ngono ndiyo biashara inayofanywa na Wanawake wengi zaidi

    TAKWIMU: Biashara ya NGONO ndio Biashara inayofanywa na WANAWAKE wengi zaidi. Ndio ukweli, Nimekuwa mtu wa kwenda katika maeneo ya starehe hasa katika mji wa DSM. Katika Bar/Night Club hizo WANAWAKE ndio wengi 1> Wahudumu 2>Wanywaji Hao wote wengi wao ni wafanyabiashara. Sasa piga mahesabu...
  20. Unanunua bidhaa masoko ya China, njoo nikuuzie yuan(rmb) bei kitonga

    Habari Wakuu. Kwa wale wanaonunua bidhaa masoko ya China hasa Yale yanayouza China tu (domestic) hukumbana na changamoto za njia ya malipo. Wachina wengi njia yao kubwa ya malipo ni Alipay na Wechat kwa pesa ya kwao Chinese Yuan. Chukulia Chimbo kama 1688 unaishia kula kwa macho maana huko ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…