biashara

  1. JamiiForums Tanzania Bajeti Wizara ya Viwanda na Biashara 2024/2025

    Jumla Kuu - Tsh. 110,899,722,000 Matumizi ya kawaida - Tsh. 81,115,206,000 1. Mishahara - Tsh. 68,352,946,000 2. Mengineyo - Tsh. 12,762,260,000 Matumizi ya Maendeleo - Tsh. 29,784,516,000 Katika mwaka 2024/2025, vipaumbele vikuu vya Wizara ni sita (6). Aidha, vipaumbele hivyo vitatekelezwa...
  2. V

    JamiiForums Tanzania Jinsi mchina alivyopiga pesa nyingi Sana Kwa biashara ya Nyani

    Hapo Zaman za kale kulikuwa na mchina katika kijijin kimoja kilichojulikana Kwa jina la Ngwa' mchina huyo aliamua kuwekeza kwa Kununua nyani mmoja Kwa shilingi 200, alitembelea Maeneo mengi kijijini na Wananchi walimuuzia nyani Kwa shilingi Mia 200, na hadi nyani waliandimika na yeye alivyoona...
  3. JamiiForums Tanzania Biashara ndo zinachangamoto hivi aisee? Msaada tafadhari

    Mimi ni mfanya biashara mgeni kwenye nafaka sasa na leo ni siku ya pili kwenye hii biashara yangu. Kasumba niliyokutana nayo wadau ni kwamba kuna mteja alikuja kununua mchele kilo 170 na unga ndogo tatu thamani ya shilling laki tatu na 87. Ile hela kanipa nimehesabu kwa macho yangu imetimia...
  4. JamiiForums Tanzania Naombeni wazo la Biashara kwa mtaji wa kati ya Milioni 2-3 kwa Dar es Salaam

    1: UWAKALA WA MITANDAO YA CM M-pesa Tigopesa Airtel money Halopesa 2: Duka la maziwa fresh+mtindi + juice fresh 3: Banda la chipsi + vinywaji ANGALAU KWA MWEZI NIINGIZE 300,000 TU (300,000)
  5. E

    JamiiForums Tanzania Fanya Biashara Kidigitali

    Moja vitu napenda kufanya ni pamoja na kuwasaidia wafanya biashara/brand zinazozalisha bidhaa zake zenyewe hapa Tanzania Karibu nikutengenezee muonekano wa bidhaa zako kuanzia branding hadi kuwafikia wateja wako. Huduma izo ni kama; => Product Label & Packaging Design => Product Ads Design =>...
  6. JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali iagize mafuta kwa niaba ya wafanya biashara na kuwauzia bila kodi wala tozo ili kukabili mfumuko wa bei

    Tatizo la bei ya mafuta kupanda kila siku ukiliangalia kwa undani lina michezo mingi sana ambayo inachochewa na siasa na ukiritimba wa mifumo biashara iliyoko ndani ya koti la mgongano wa kimasilahi kati ya wafanya biashara na wanasiasa Picha (chanzo ) google Hapo nyuma wafanya...
  7. JamiiForums Tanzania Kauli hizi za bodi ya nyama ni viashiria vya kutaka kuua biashara ya Mr. Manguruwe

    Jamaa aliyepata umaarufu mitandao kwa uuzaji wa Kitimoto alimaarufu kama nguruwe atimbiwa na Bodi ya Nyama iliyochini ya Serikali. Bodi hiyo imefika katika eneo la Bwana huyo ambaye pia ni maarufu kwa jina la Mr. Manguruwe na kukagua maneno ya banda hilo la nguruwe. Alianza kupata umaarufu baada...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Wafanya biashara wakubwa wamiminika Tanzania kutoka Kenya. Mazingira mazuri ya serikali ya rais Samia yanawavuta maelfu kwa mamia

    Nakupongeza sana Samia kuifanya nchi kuwa kivutio cha uwekeza nje ya Africa n Africa kwa ujumla. Nasikiliza hapa dw kuna majadala wa wa mazingir ya biashara Kenya. Wachangiaji wamewaka hapa wanasema samia ameua uchumi wa kenya kwa kuweka mazingira ya biashara kuw mazuri na kuwavuta wawekezaji...
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta mtu mwenye asili ya Kihindi kumuajiri au kufanya naye biashara

    Jaman mimi ni muajiriwa nafasi fulani ya juu kidogo hapa nchini. Nimeweza kupata mil 70 ambayo ni matokeo ya SAVING ya muda mrefu na hela zangu fulani nilikuwa nazidai kulipwa. Mpango nilionao ni kuanzisha biashara ya spears za pikipiki na tri cycles (guta au Toyo). Changamoto niliyonayo ni...
  10. JamiiForums Tanzania Tumeambiwa na Kusomeshwa kuwa Waarabu ndio walioanzisha Biashara haramu ya utumwa Nchini Zanzibar

    Hii nimeipata sehemu, jioneeni wenyewe. Tumeambiwa na Kusomeshwa kuwa Waarabu ndio walioanzisha Biashara haramu ya utumwa Nchini Zanzibar (Na Waarabu hili Walikataa katakata). Leo Wazungu wenyewe Wanakiri kuwa wao ndio walioanzisha Biashara ya utumwa hiyo haramu ya utumwa Nchini Zanzibar, na...
  11. JamiiForums Tanzania Naombeni tenda za kutengeneza madirisha na milango WanajamiiFroums

    Signed Out Forever
  12. JamiiForums Tanzania Nafanya Graphic Design, Window Repair and Installation, Phone Settings

  13. G

    JamiiForums Tanzania Epuka kuajiri makundi haya ya watu kwenye duka/ biashara yako

    1. kijana wa kuuza duka ambae kashinikizwa na wazazi/ ndugu, hawa mara nyingi wamekubali kazi kwa msukumo tu kishingo upande, ni ngumu kufanya kazi kwa kujitoa 2. Ndugu wa mke - hakikisha wanakaa mbali sana na biashara, ni watu wanaoweza kuvuruga biashara na hata ndoa yako. 3. Rafiki yako...
  14. JamiiForums Tanzania Ukweli ambao unafichwa juu ya biashara ya utumwa Tanzania na Africa kwa ujumla

    Wasalaam wanajf Kama kichwa cha uzi kinavyosema , huu ndio ukweli watu wanapotoshwa miaka yote . Fuatilia hii clip hapo chini
  15. A

    JamiiForums Tanzania Nitumie njia gani kupanga bei za bidhaa zangu?

    Hello.... Habari za muda huu. Je, huyu ni wewe? Unajiuliza ni njia gani utumie kupanga bei ya kuuzia bidhaa zako? Kwenye upangaji wa bei kuna factor nyingi za kuziangalia mfano. 1. Washindani wako katika soko. 2. Kipato cha wateja wako. 3. Mazingira ya soko. Ila leo nitazungumza...
  16. JamiiForums Tanzania Biashara haramu ya mbao kwenda China inavyofadhili uasi Msumbiji

    Usafirishaji wa mbao, unaokadiriwa kuwa na thamani ya dola za kimarekani milioni 23 kwa mwaka, kutoka misitu ya kale ya Msumbiji hadi China unasaidia kufadhili waasi wa itikadi kali za Kiislamu pamoja na mtandao mkubwa wa uhalifu kaskazini mwa nchi hiyo. Biashara hii haramu ya miti ya...
  17. JamiiForums Tanzania FCS yasaini makubaliano ya kuboresha Wanawake, Vijana na Wenye Ulemavu katika uendeshaji wa biashara

    Foundation for Civil Society (FCS) na TradeMark Africa wamesaini makubaliano ya utekelezaji wa mradi wa kuboresha mazingira wezeshi na jumuishi ya kibiashara kuhakikisha Wanawake, vijana na watu wenye ulemavu wanajumuishwa kikamilifu katika uendeshaji wa biashara, kukabiliana na changamoto kubwa...
  18. JamiiForums Tanzania Dkt. Kida, Mkuu wa Idara ya Afrika Mashariki ya Uholanzi wakutana na kujadili shughuli za uboreshaji wa mazingira ya Uwekezaji na Biashara

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Dkt. Tausi Kida amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Idara ya Afrika Mashariki wa Uholanzi, Bi. Sanne Lowenhardt pamoja na Mshauri Maalum kuhusu Africa wa Wizara hiyo Bw. Melle Leenstra kuhusu uboreshaji wa Mazingira ya Uwekezaji na Biashara...
  19. JamiiForums Tanzania Umasikini wazidisha biashara katili ya kuuza watoto wa kike Afghanistan

    Utaratibu wa familia masikini kuuza watoto wa kike au kuwatoa kama malipo ya mkopo umekuwepo kwa muda mrefu Afghanistan ila kudorora kwa uchumi na kurudi kwa Taliban madarakani baada ya majeshi ya Marekani kuondoka kumezidisha janga hili la kibinadamu na kushuhudia familia nyingi zaidi zikiuza...
  20. JamiiForums Tanzania Biashara ya nafaka ina umafia mwingi. Kwa wanaotarajia kuanza kuuza nafaka chukueni tahadhari

    Nimeona mdau mmoja humu anahamasisha watu wazame bush wakanunue kwa bei ndogo walete mazao mjini wauze kwa bei kubwa ili wapige pesa. Hili wazo ni zuri sana lakini ni vyema tupeane tahadhari. Katika biashara zenye umafia mwingi basi hii ya nafaka kwangu ndio namba moja kwa umafia yaliwahi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…