Hii idara ya mipango miji manispaa ya Kigamboni imekua kero sana tangu wapewe madaraka ya kupitisha baadhi ya leseni za biashara.
Mimi nimeomba leseni ya guest house ambayo lazima ianzie mipango miji lakini Sasa hv Ina mwezi mzima hawajapitisha Wala kunambia tatizo nini mpaka hawapitishi maombi...
Nilikua sijui na nikawa nadharau sana, ila Facebook Ina wateja utawachoka wenyewe, Kuna magroup ya biashara kujiunga bure unakuta Kila group lina 200k members asikudanganye mtu utafanya biashara mpaka utachoka
Kama unauza used machinery and tools, hasa heavy duty, Arusha should be your number...
Hii ni side hustle, sio shughuli yangu rasmi
Sipo Dar lakini nipo kwenye jiji mojawapo kati ya matano, kama mnavyojua kwenye majjiji kuna utitiri wa electronics na ushindani wa hali ya juu unaofanya bei ziwe competitive.
Kwenye biashara ya kudalalisha vitu, ujuzi wa vitu unavyouza ni muhimu...
Kwa Afrika siasa ni biashara kama biashara zingine. Akili kichwani kwenu watumiwa/watumika.
Binafsi nilinufaishwa na CCM kwa mambo yangu kwa upande wangu na ndiyo maana naendelea kusema ASANTE CCM.
Ni tarehe 12 mwezi wa nane,
Je una duka la vifaa vya ujenzi?
Ulishawahi kukopwa mzigo mkubwa na mtu,kikundi cha watu,au taasisi?
Vipi ulilipwa kwa wakati?
Na wakati unadai pesa yako,ilikuwaje?
Natamani hata nifunge duka nibadilishe biashara maana nimechoka kudai, Halafu sipewi majibu...
Habari zenu wana jamvi, hivi ni kwa nini biashara za bongo hasa hasa zinazomilikiwa na watz weusi huwa haivuki kizazi zaidi ya kimoja?
Yaani unakuta anapokufa muanzishaji wa ile biashara basi umaskini unapiga hodi kwenye hiyo nyumba ,,kwa ni hatuwezi kurithisha biashara kutoka kizazi kimoja...
Tanzanian billionaires, like those in many developing countries, often invest in industries like beverages due to several key factors:
1. Established Market Demand: The beverage industry, especially for affordable and mass-market products, has a consistent and growing demand. The consumer base...
Kampuni ya Mati Super Brands Limited inayozalisha vinywaji changamshi kupitia kinywaji chake pendwa cha Tanzanite Premium Vodka imedhamini Maonesho ya 3 ya Biashara, Viwanda, Madini na Kilimo ya Tanzanite Premium Vodka yatakayofanyika katika Viwanja vya Tanzanite Kwaraa Stedium Octoba 20-30...
Biashara ya nje ya China imeendelea kukua licha ya vitendo vya nchi za Magharibi vya kujilinda kibiashara, hususan vita ya kibiashara ya China iliyoanzishwa na Marekani. Kuna mambo kadhaa ambayo yamechangia kwa kiasi kikubwa kukua kwa biashara hiyo. Chini ya shinikizo la Marekani na baadhi ya...
Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imesema inajivunia kuwa sehemu ya mradi wa reli ya kisasa (SGR) uliozinduliwa hivi karibuni kwa safari ya kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma.
Akihutubia katika uzinduzi huo jijini Dodoma, Mheshimiwa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan aliuelezea mradi huo kuwa...
Habari wanajukwaa,
Tukiwa kwenye sherehe za wakulima leo tarehe 08/08/2024 nimepata wazo la kuanza biashara ya hardware kwa mtaji mdogo wa milioni 10, hapa nimelenga kugusa karibu kila sector katika ujenzi kwa kuanza na hivi vifaa 👇🏻
Electrical items
Insulation tape
Bulb enery savers...
Wakuu naombeni ushauri mzuri wa kufanya hii Biashara nataka kufungua sasa.
1. Wapi ntapata makeup set nzuri kwa gharama nafuu.
2. Vitu gani niweke ili kunogesha Biashara yangu?
Mimi ndo kwanza naingia sokoni kuanza hiyo Biashara.
Ukiangalia Simba day na Yanga day Kwa umakini sana.
Utagundua Yanga day watu wengi sana walivaa Jezi mpya kuliko Simba day, hii inamanisha Yanga Msimu huu wamepiga Vibaya mnoo kwenye Soko la Mauzo ya Jezi, (biashara ya jezi ime booom) faida kubwa
Bila Unafiki tunatakiwa kuwapa pongezi Sheria...
Binafsi baada ya kuona mnajinadi nikajua mkombozi amepatikana dah!
Kumbe zilikuwa mbwembwe tu, Sasa yapata mwezi na kitu baada ya kufanya mchakato wa kuwakopa na nilikamilisha vigezo vyoote na wakaniambia ndani ya masaa 48 mzigo utakuwa umeiva.
Hayo masaa 48, imefika mwezi na ushee Sasa...
Mkurugenzi Mkuu wa FCC William Erio akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Wakulima,Wafugaji pamoja na Wavuvi kutumia Pembejeo zenye wakati alipotembelea Mabanda mbalimbali kwenye Maonesho ya Kilimo Kitaifa Nane Nane yanayoendelea katika Viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma.
Mkurugenzi...
Hivi Wadau haka kaupepo kwenye biashara ni mimi tu ama na kwa Wengine, Hali imekuwa ngumu sana wateja hawaonekani.
Mwezi huu tangu uanze hali imekuwa tofauti sana kupita Maelezo, wateja wanaulizia tu hawanunui,
Share na mimi mawazo yako.
Benki ya Tanzania (TCB) inayo furaha kumkaribisha Bi Lilian Mtali kuwa Mkurugenzi wa Biashara za wateja Wadogo na wa Kati. Bi. Mtali ana uzoefu wa miaka 26 katika sekta ya huduma ya kifedha akibobea katika usimamizi na uongozi wa huduma za biashara za wateja wateja wadogo, wa kati na wakubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.