biashara

  1. Marshmello

    Wafanya biashara wabongo baadhi magumashi sana

    Habari wana JF wote Wafanya biashara wabongo baadhi magumashi sana hasa hawa madalali na wachuuzi wa bidhaa kutoka nje China, dubai nk wanazingua sana, Sijui ni elimu ndogo niliyokuwa nayo au ushamba wangu tu Anapost biashara yake kwenye mitandao ya kijamii kama fb, Instagram au TikTok katika...
  2. and 998 others

    Nyeto imenipa mtaji wa biashara

    Awali, Toka 2014 Mimi Ni mwendo wa nyeto tu. Sina time na kuhonga mademu. (napiga nyeto ya sabuni, mafuta na Ile ya nyuki). Pili, Pesa niliyokuwa nihonge nimejazia mtaji wa biashara. Maduka mawili ya dawa Msewe, Hardware Kibaha na Uber IST 1. Mwisho japo si kwa umuhimu, nimenunua Ardhi...
  3. Muuzaji Mkuu

    Biashara ya nafaka na kilimo zinahitaji muhisika anaetaka kupata maarifa atoke alipo aingie

    Sio kwa ubaya na wala sipo hapa kusema anachokifanya ndugu mwalimu ni kitu kibaya lakini nataka niwakikishie hii sio njia sahihi ya kujifunza biashara ya nafaka.Hapa mtaishia kujifunza baishara na kilimo cha makaratasi. Biashara ya nafaka na kilimo zinahitaji muhisika anaetaka kupata maarifa...
  4. M

    Mchanganuo wa biashara ya saluni (vifaa/matumizi/faida)

    Salamu Wakuu Leo Napenda Kuwashirikisha Katika Mchanganuo Huu Wa Biashara Ya SALOON Hasa Ya Kiume. Biashara ya SALOON Ya Kiume ni Wazo Zuri. Hapa chini Nimekuandalia Mchanganuo Wa Biashara Hii Pamoja Na Gharama Halisi (Makadirio) Za Kuanzisha Saluni ya Kiume. KUMBUKA BEI/GHARAMA ZA VITU HAPA...
  5. W

    Mabosi punguzeni unoko duka linavyostawi mauzo, Binafsi ninajua kijana ananiibia kiasi kidogo lakini nimepiga kimya, nikimtoa ni ngumu kupata mbadala

    Kuna vijana unawaweka dukani unaona kabisa uwepo wao ndio unachangamsha biashara kuanzia kutafuta wateja, ku negotiate, kutangaza biashara, kazoeleka na wateja, n.k. yaani wewe kila ukienda kufunga hesabu unakuta daftari la mauzo linameremeta. Sasa kijana kaiba lets say elf 5 au 10 kwenye kila...
  6. B

    Msaada nifanye biashara gani?

    Habari mimi ni muajiriwa wa sekta binafsi na natamani nipate msaada wa wazo la kibiashara litakalonikwamua na kunitoa kwenye kuajiriwa.. Wazo langu nilitamani nifanye house floor plan na kuziuza hizo ramani kwa watu tafadhari mwenyew idea na uelewa wa hii biashara naomba ushauri nitatoka? Na...
  7. W

    Maisha ya Biashara Bongo ni magumu kumaintain, Yapo Overrated kwa kuangalia wachache waliopiga mshindo, nasisitiza ajira serikalini ndio mpango

    Na kama unadhani ajira zenye mishahara midogo serikalini wana maisha magumu (mfano uliozoeleka walimu), basi hujui chochote kuhusu biashara, kuna watu wiki nzima hawauzi chochote, Maduka yanafungwa kila kukicha mtu hawezi lipa hata elf 50 ya frem, kufilisiwa nyumba za urithi kwa kushindwa kulipa...
  8. Kalaga Baho Nongwa

    Namna nzuri ya kuwa Winga na Pointa wa biashara ya mitumba

    Na Mwalim M. A, Mkombozi (Kalaga baho) Kanusho : Hakuna mgogoro wowote wa kimaslahi utakaojiyokeza kwenye darasa hili endelevu. Ushauri utatolewa bure kabisa na hakuna nia ya moja kwa moja ya kuumiza hisia ya mtu. Asee niaje? Wazee mpo?? Ni vyema kwa kias chake kuendelea kumwaga nondo na...
  9. stabilityman

    Shtuka biashara ya simu inatajirisha

    Ohoooo...... Kama haujaaambiwa acha mimi nikuambie...... Kama umepata location nzuri Hii biashara unatajirika mapema tu.wabongo amkeni
  10. M

    Biashara gani Kati hizi zitamlipa huyu kijana anayeanza maisha.

    Kuna kijana amemaliza kidato cha nne hana familia inayomtegemea kwa sasa, amepata sehemu milioni 2 anataka kufanya biashara. Zipi Kati hizi biashara zinaweza kumtoa kwa kipindi hiki. 1. Kilimo Kwa mtaji huo atafute eneo alime mazao ya muda mfupi kama nyanya, mahindi na maharage, changamoto...
  11. stabilityman

    Mwenye uzoefu na biashara ya kubandika sticker kwenye pikipiki na magari

    Habari nina ofisi jilani na gereji ya pikipiki nimewaza kuwa nifungue ofisi ya kibandika sticker. Mwenye uzoefu naomba uje unipe moja mbili tatu
  12. Kijana mtafutaji

    Kipi kilikufanya ugombane na rafiki yako?

    -Tupe story ilikuwaje hadi rafiki yako mpendwa uliyo amini utafika naye mbali lakin mkashindwana. mimi nilimkopesha na simu zangu hakawa hapokei wala sms hajibu. #bakitumolo
  13. A

    DOKEZO Serikali iliangalie hili la uuzwaji vyakula mtaani bila vibali maalum; kuna hatari kubwa mbeleni

    Nyama choma ya kuku na ng'ombe zimekuwa biashara iliyoshamiri hasa katika vituo mbalimbali vya daladala hasa jijini Dodoma na Dar es Salaam yaan mtu yeyote anaweka meza njiani na ndoo ndogo iliyojaa nyama anaanza kuuzia raia vitu kama mishikaki ya mia mbili, miguu ya kuku, vichwa vya kuku na...
  14. stabilityman

    Ni biashara gani inalipa sana ila watu hawajaishtukia

    Habari Naomba majibu. Ni biashara gani inalipa sana ila watu hawajaishtukia?
  15. Ojuolegbha

    Sherehe za Kufunga Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa 2024

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi anatarajiwa kuyafunga Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa 2024 yanayofanyika viwanja vya Sabasaba, Temeke, jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo ya Sabasaba yalifunguliwa tarehe: 03 Julai 2024 na Rais wa Jamhuri...
  16. Makirita Amani

    Biashara Na Uwekezaji: Kwa Nini Uwekeze Wakati Unaweza Kuzalisha Faida Kubwa Zaidi Kupitia Biashara?

    Habari njema Matajiri Wawekezaji, Hongereni wote kwa kuendelea kukaa kwenye mchakato wetu wa programu ya NGUVU YA BUKU, ambapo tunajifunza na kufanya uwekezaji kwa hatua ndogo ndogo, kwa muda mrefu na kwa msimamo bila kuacha. Kauli mbiu yetu kwenye NGUVU YA BUKU, ambayo pia ndiyo imani yetu ni...
  17. T

    Msaada kuhusu utaratibu wa Leseni ya Biashara

    Wakuu msaada kidogo hapa. Mimi nafanya biashara ya duka la vinywaji. Mwaka wa tatu huu. Leseni huwa Kila ikiisha naenda TRA na Halmashauri ku-renew. Sasa last time nimerenew itaisha mwezi wa 8 tareh 30 mwaka huu 2024. Cha ajabu amekuja Afisa biashara amechukua leseni anasema leseni niliyonayo...
  18. Replica

    Nimeshangazwa na ukubwa wa biashara ya ukahaba Tiktok, kweli siku hizi haina haja kujipanga Riverside

    Jana ika-pop up video ya live Tiktok mida ya jioni/usiku, zimejaa video za wadada kitandani wengine wakifanya biashara indirect huku wengine wakiwa tayari wamejiwekea price tag na zina viewers hatari. Tanzania watu wako mitandaoni, kila video inao watu... Nikakuta moja ya kidume kajiwekea live...
  19. Replica

    EU yazipa benki za ndani bilioni 43 kuziwezesha biashara ndogo na za kati

    Umoja wa Ulaya (EU) umetoa €15 milioni (Sh43 bilioni) kusaidia shughuli za Biashara Ndogo na za Kati (SMEs) nchini Tanzania. Fedha hizi zitaunganishwa na mikopo kutoka Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (EIB) kutoa mikopo kwa benki za ndani, na maendeleo haya makubwa yanalenga kuboresha upatikanaji wa...
  20. Aliko Musa

    Hatua Alizofuata Mr.Juma Kuanzisha Na Kukuza Biashara Ya Kununua Na Kuuza Viwanja

    Utangulizi. Jina langu ni Juma, na nimejikita katika biashara ya kununua, kuendeleza, na kuuza viwanja. Safari yangu ya kibiashara inaanza miaka michache iliyopita, wakati nilipogundua fursa kubwa katika sekta ya ardhi. Mara ya kwanza nilipokuwa natafuta njia ya kujiongezea kipato, nilikumbana...
Back
Top Bottom