biashara

  1. Pfizer

    Benki ya Tanzania (TCB) inayo furaha kumkaribisha Bi Lilian Mtali kuwa Mkurugenzi wa Biashara za wateja

    Benki ya Tanzania (TCB) inayo furaha kumkaribisha Bi Lilian Mtali kuwa Mkurugenzi wa Biashara za wateja Wadogo na wa Kati. Bi. Mtali ana uzoefu wa miaka 26 katika sekta ya huduma ya kifedha akibobea katika usimamizi na uongozi wa huduma za biashara za wateja wateja wadogo, wa kati na wakubwa...
  2. D

    Kwa mazingira mazuri ya biashara na uwekezaji aliyoyaweka Rais Samia kuna haja kweli ya kuajiriwa?

    Nashangaa vijana wengi bado wanatembeza bahasha mtaani kitafuta ajira ambazo ki ukweli ni utumwa. Kwa nini msifikirie kutumia hii golden chance ya uwepo wa mama madarakani kujitafutia vya kwenu. Mama ameweka mazingira mazuri kiasi ambacho biashara zimeshamili kila kona. Hata muuza karanga tu...
  3. Money Penny

    Naingiza milion 22 kwa mwezi kwa biashara ya kuuza Mapapai shambani

    Haya kama mlivyosoma ni kweli Hakuna biashara ina hela kama mapapai Na hakuna biashara rahisi kama papai Papai moja shamba linauzwa tsh 1500 moja Mtaani wanauza tsh 3000 moja Kilimo chake rahisi sana ila usilime wakati wa mvua, papai inataka maji kidogo tu kwa siku Mbolea sio sana mche wa...
  4. Mturutumbi255

    Mapinduzi ya 5G Tanzania: Jinsi Teknolojia Hii Inavyobadilisha Mawasiliano, Afya, na Biashara

    5G Technology: Teknolojia ya 5G ni kizazi cha tano cha teknolojia ya mawasiliano ya simu, ikiahidi kuleta mapinduzi makubwa katika mawasiliano ya simu na huduma za data. Kabla ya 5G, teknolojia za 3G na 4G zilikuwa zimeleta maendeleo makubwa, lakini 5G inatoa uwezo wa juu zaidi kwa kasi, uwezo...
  5. LICHADI

    Usifanye biashara na mtu aliyeondoa blue tick WhatsApp

    Ukiona Mfanyabiashara hana bluetick ogopa sana huyo ni tapeli hata ukinunua mali kwake ukikuta mbovu jua ndio bye bye. Kuna mstari mwembamba sana pia uliowatenganisha watu wanaoondoa bluetick na kujisikia,ubinafsi,utapeli na roho mbaya be carefull mtandao unauwezo wa kukutambulisha tabia ya mtu.
  6. Yoda

    Biashara imegawanyika katika kuuza au kununua bidhaa na huduma

    Biashara imegawanyika katika kuuza au kununua bidhaa na huduma. Ukinunua sukari dukani umenunua bidhaa, ukipanda ndege au treni umenunua huduma ya usafiri. Huduma za serikali zisiache kuchukuliwa kama biashara kwa sababu tu hazitengenezi faida. Ni vyema tu Raia wakafahamishwa kwamba hakuna...
  7. Vien

    LATRA Watangaza route mpya wafanya biashara ya usafiri changamkieni hii fursa

    Mamlaka ya usafiri wa Ardhini imetangaza kutoa leseni ya usafiri wa umma kwa njia mpya Kibaha, kama ilivyoainishwa hapo chini 👇🏻
  8. N

    Plot4Sale Eneo la biashara linauzwa wilaya ya Kigamboni, Dar es Salaam

    Eneo linatazamana na barabara kuu iendayo Buyuni na barabara ya mtaa iendayo ufukweni (beach) jirani. Eneo linaendelea kuchangamka kwa ujenzi na uwekezaji kama ujenzi wa makazi, viwanda, yadi, kiwanda cha saruji(sementi), mahoteli, fukwe,vituo vya mafuta,viwanda vya matofali,n.k. Eneo lipo...
  9. Greatthinker47

    Nifanye biashara gani na mtaji wa laki tano?

    Waungwana naomba yeyote mwenye wazo la biashara Kwa MTAJI wa laki tano
  10. Dali Mpofu

    Biashara kati ya mtu mwenye elimu na asiye na elimu

    Katika uzoefu wangu kwenye biashara aisee kufanya biashara na watu wanaojiita wasomi ni kazi ngumu sana, kwanza ni waoga kuthubutu, kila kitu wanataka reserch. Hawajui kanuni za biashara ya kwenye vitabu huko vyuo ni tofauti na uhalisia mtaani. Unafundishwa na mtu ambae hajawai kufanya...
  11. L

    Naomba ushauri kuhusu biashara ya lodge

    Wana jamiiForums mambo vipi.. Naomba mnisaidie vitu vya muhimu kuwepo ndani ya chumba cha lodge. Ili iongeze utofauti na mvuto wa lodge.
  12. JOHNGERVAS

    Shuhuda: Kutoka Kuwa Muosha vioo vya magari kwenye Mataa sasa kwenda Kumiliki Biashara

    Kuna Video inasambaa kwenye Mitandao ya Kijamii nikaona niwashirikishe kuna la Kujifunza ============= Victor Tesha Nilikutana na mvulana mdogo sana ambaye kila siku alikuwa akisafisha kioo cha mbele cha gari langu kila niliposimama kwenye taa za trafiki hapo Moroco. Niliona jitihada zake na...
  13. realMamy

    Mungu wa Mbinguni awalinde barabarani,kazini, Biashara, Shuleni na kubariki kazi za Mikono yenu.

    Wakuu Tuanze siku kwa Baraka za Mungu ikiwa kwake yeye hakuna linaloshindikana. Hata kama unapitia Magumu Mungu wa mbinguni akuonyeshe mlango wa kutokea. Kuwa na Imani utayashinda ya ulimwengu huu.
  14. Matteo Vargas

    Nawaonya vijana wa leo mnaofungua makanisa kila kukicha acheni mara moja kama hamna wito, Injili sio biashara.

    Naandika Uzi huu moyo wangu ukibubujikwa na machozi. Kuna vitu vinafanyika kwenye madhabahu mpaka mtu unaogopa, na huhitaji PhD Ili kujua wengi wa hawa leo waliojipa unabii ambao sina hakika hata kama walipitia kwenye vyuo vya biblia wakapikwa wakapikika. Sio mavazi wanayovaa, si lugha...
  15. Benews

    Biashara iliyoniokoa baada ya kumaliza chuo

    Habari Wadau! Sikuwahi kuwaza Kama ningekuja kuwa mfanyabiashara siku moja. Lakini hakuna ajuaye kesho. Ok nilihitimu Udsm 2019 tangu hapo sijawahi kupata kazi yeyote yakulipwa kutokana na elimu nilitosoma. Kwetu ni Moshi hivyo nikawa nashinda tu home sina hili wala lile umri unaenda na Wala...
  16. U

    Harusi na Michango yake chimbuko jipya la mitaji ya biashara Kwa vijana

    Nimeona niongelee hili jambo, kwani linatrend sana, tatizo la ajira limekuwa kubwa sana, kiasi kwamba vijana wengi wameshindwa kuajiriwa au kujiajiri Kwa ukosefu wa mitaji. Nafurahi pia Kusema kuwa ,utaratibu uliopo Tanzania wa kuchangiana Kila Kijana anapotaka kuoa imekuwa ni mkombilozi Kwa...
  17. Mshati940

    Msaada wa mawazo ya biashara kwa Mtaji wa Milioni 5 Mjini Bariadi mkoa wa simiyu

    Kama kichwa cha hapo juu kinajieleza kwa walio bahatika kutembelea mji wa bariadi naomba msaada wa mawazo wa fursa za kibiashara walizoziona ambazo mtu mwenye mtaji at least wa Milioni 5 anaweza kufanya na maisha yakaenda vizuri. Natanguliza shukrani
  18. A

    KERO Upandishwaji wa bei za bidhaa na huduma unaofanywa na wafanyabiashara au watoa huduma

    Mfano wa hivi karibuni Tanesco walijiamulia tu kupandisha makato ya kila mwezi kutoka 1500 mpkaka 2000 Bila kushirikisha wananchi. Leo jambo kama lile lile linarudiwa na Azam tv kwa kutangaza kupandisha vifurushi vya TV bila kuwepo sababu yoyote ya msingi ya upandishwaji vifurushi hivyo...
  19. daydreamerTZ

    Sajili jina la biashara bure leo

    OFA KABAMBE! Je, unahitaji kusajili jina la biashara? Hii ni nafasi yako ya kipekee! Day Dreamer TZ Consultancy inatoa OFA maalum ya kusajili majina mawili ya biashara kwa watu wawili Tu, BURE! (Hakuna ada ya huduma.) Utalipia tu gharama za control namba, kiasi cha Tsh 20,000/= TU, ambazo...
  20. Marshmello

    Wafanya biashara wabongo baadhi magumashi sana

    Habari wana JF wote Wafanya biashara wabongo baadhi magumashi sana hasa hawa madalali na wachuuzi wa bidhaa kutoka nje China, dubai nk wanazingua sana, Sijui ni elimu ndogo niliyokuwa nayo au ushamba wangu tu Anapost biashara yake kwenye mitandao ya kijamii kama fb, Instagram au TikTok katika...
Back
Top Bottom