biashara

  1. Damaso

    JamiiForums Tanzania Tanzania Kuanzisha Biashara ya wa Bangi kwa Nchi Zilizohalalisha Matumizi Yake

    Bangi ni moja ya mimea ambayo imekuwa ikizua mijadala mingi duniani kutokana na matumizi yake katika maeneo mbalimbali kama vile tiba, burudani, na hata biashara. Angalizo! Mawazo ya mwandishi yanaweza kuleta fikra mbaya kwa baadhi ya watu! Hata hivyo, hali ya matumizi ya bangi inatofautiana...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Vijana mnaolalamika mapenzi mnazijua stress za mikopo ya biashara ?

    Nyumba ya familia umeiweka bondi upewe mkopo lakini ukiangalia biashara upepo umebadilika yani hutoboi kwenye marejesho, hizo stress hata unywe pombe hazituliziki Ndugu wanaona una pesa duka limenawiri bila kujali ni mkopo, Ni kama vile inaanzishwa ligi ya kukutupia matatizo yao halafu ukikataa...
  3. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kutaja Ni biashara gani umesikia mtu katajirika nayo siku za hv karibuni?

    Habari Kiukweli tunatoka sehem mbali mbali tunakutana na watu mbali mbali.Naomba toa fursa kwa waTz wenzio biashara gan umesikia au unamjua mtu imemtajirisha cku za karibu hz
  4. B

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Dhahabu

    Kwa wadau wote wa biashara ya dhahabu, hasa wale waliobobea katika ununuzi na uuzaji wa dhahabu kwa wingi (Broker na Dealer). Nimekuwa nikifikiria kuanzisha biashara ya ununuzi wa dhahabu hapa Tanzania, na ningependa kusikia ushauri wenu. Nina bajeti ya takriban shilingi milioni 400 hadi 500 za...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Wapi Mchengerwa ma-Headmaster wanafanya biashara za kuuza nafasi za form one 2025 kwa malipo ya mpaka Sh. Milioni moja

    Mbona naona km serikali imesimama kila mwenye kanafasi anajifanyia anavyoona inamfaa. Wiki hii wameripoti wanafunzi wanajiunga na masomo ya sekondari kidato cha kwanza 2025. Kuna shule za serikali ambazo zina ufaulu mzuri walimu wakuu(Headmasters) wanauza nafasi za kujiunga na shule hizo kwa...
  6. Shuku_

    JamiiForums Tanzania Wabongo wanaofanya biashara online wengi wao wanafanya kosa hili

    Habari zenu wakuu 👋🏽 👋🏽 1 kwa 1 kwenye mada yangu kama vile kichwa kinavyosema. Najua una HAMU ya kujua wabongo wengi hufanya kosa gani ktk biashara huko ONLINE. Binafsi, nmepita katika mitandao mingi ikiwemo x (Instagram) na Facebook. Ktk mitandao hiyo wabongo wengo wamekuwa wakifanya...
  7. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kupata Pesa Online kwa Kuuza Nguo au Kufanya Biashara ya Nguo

    Biashara ya nguo ni moja ya njia maarufu na rahisi ya kuanza kufanya biashara online. Katika makala hii, tutachambua jinsi unavyoweza kuanza kuuza nguo mtandaoni kwa kutumia mbinu rahisi na ambazo hazihitaji mtaji mkubwa sana. 1. Chagua Aina ya Nguo Unazotaka Kuuza Kabla ya kuanza, lazima uamue...
  8. nesty hustler

    JamiiForums Tanzania Utambuzi kuhusu biashara ya vifaa vya umeme(electrical and electronics devices)

    Habari wapendwa, Kwa majina naitwa EMMANUEL NESTORY SAGINI, ni mzaliwa wa songea manispaa pia ni muhitimu wa elimu ya ufundi stadi katika fani ya umeme wa majumba na viwanda, ngazi ya tatu ya cheti level three(III) 2023. Lengo la kuandika makala hii ni kuhitaji kufahamu je ni vitu gani...
  9. Denis Gregory

    JamiiForums Tanzania Biashara Biashara Tujuzane Hapaa

    Nauza Biashara Yangu ya Vipuri vya Pikipiki na Matairi Kwa sababu za kibinafsi, nimeamua kuuza biashara yangu ambayo imenishinda. Hii ni fursa nzuri kwa mtu mwenye nia ya kuwekeza kwenye biashara inayokua haraka. Maelezo ya Biashara: Aina ya Biashara: Duka la vipuri vya pikipiki na matairi...
  10. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Naomba kuijua biashara mtandaoni ya Gwac, nasikia watu wengi wamejiunga

    Habari za Leo? Jamani, nimeshirikishwa fursa na mtu mmoja, anasema, Kuna biashara mtandao inaitwa Governmentwide Acquisition Contract (GWAC). Watu wanawekeza pesa na ukishawekeza baada ya siku moja, unaanza kurudishiwa asilimia 10 ya pesa uliyowekeza kila siku mfululizo kwa mwaka mzima...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Nahitaji elimu kuhusu biashara

    WAkuu hivi naomba kuuliza kama una milioni 30 inatosha kuchukua mzigo china ila pesa hiyo hiyo ndio yakufanyia clearance bandarini na kupakia mzigo kutoka china kuleta hapa na kama inatosha ni biashara gani italipa
  12. Xinho De Roi

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri Kwa wanaofahamu vizuri Dodoma katika Biashara ya nafaka

    Habari ndugu zangu wa JF Nilikuwa naomba msaada wenu wa ushauri Kwa wanao kufahamu vizuri Dodoma na wanaofanya biashara mbali mbali Dodoma. Kwa Sasa nipo Morogoro lakini nataka nifanye biashara ya nafaka(mchele, mahindi, maharage, kunde ngano n.k) Dodoma na msaada wa location pia Kwa mkoa...
  13. MendeOLD

    JamiiForums Tanzania Ulianzaje hadi uka komaa na kukua katika biashara yako?

    Binafsi nilipewa mbegu kumi za kahawa nikaziotesha adi sasa namiliki hekari 5 za kahawa Misenyi mkoani Kagera. Wewe je?
  14. notyfeky

    JamiiForums Tanzania Naomba muongozo wa biashara ya mifuko

    Habari nduguzangu. Kuna hii mifuko inayotumika kubebea mahitaji mbalimbali ya nyumbani, ambayo rejareja huuzwa 200, 300 na 500. Bei ya jumla inauzwaje? Na je inakaa mingapi? Inapatikana wapi kwa Dar es Salaam. Nataka kuagiza nizungushe kwenye manuka kwa bei ya jumla jumla.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Mbowe, CHADEMA kuna biashara gani?

    Ndugu Mwenyekiti, miaka 21 ya kuwa mwenyekiti ni mingi sana, isitoshe umeshafanya mengi mazuri kama Mwenyekiti na kwa sasa hatutarajia jipya lolote kutoka kwako bali tunatamani kukuona unastaafu kwa heshima na kuachia wengine waendeleze guruduma. Pengine Mwenyekiti sasa utuambie CHADEMA kuna...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya chips

    Naombie abc za hii biashara. Profit inakuwaje? Gunia moja faida ikoje?
  17. B

    JamiiForums Tanzania Fremu ya biashara vinauzwa Mwanza

    MAHALI; Mwanza mjini kati UKUBWA: Fremu moja ila ukubwa kama wa fremu mbili pamoja na ubaraza mkuubwa Biashara zinazofaa katika hii fremu ni zile kubwa kubwa kwa sababu frem ni kubwa na ina ubaraza mkubwa....mfano vifaa vya ujenzi, restaurant, salon kubwa, mapambo ya ndani, na nyinginezo...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Karibu tufanye biashara ya vitenge Jumla na Rejareja. Mikoa yote Tanzania na nchi jirani.

    Habari za leo wadau wote wa Jamii Forum Duka letu maarufu kwa biashara ya vitenge lililoko soko kuu kasulu mjini, kigoma, Tanzania Tuna furaha kuwatangazia kuwa tunazo aina zote za vitenge vikiwemo vitenge kutoka Tanzania, Kongo, Nigeria, Ghana na China (mfano Wax aina zote, Java za Kongo na...
  19. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Biashara Ubungo then asilimia 100 ya products ni imported tena kutoka China, inasikitisha mno

    Ni wajinga ndio wanaweza shangilia huu ujinga, haiwezekani kijengwe the so called kituo cha biashara na asilimia 100 ya products hapo ni kutoka nje na tunaona ni sawa kabisa tena tunashangilia na kushangilia kabisa kwamba sasa maisha yatakuwa rahisi sana. Ni sawa na Kariakoo pale na hivyo...
  20. white_charcoal

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu wa mikoani tushirikiane kutimiza wazo langu la biashara

    Awali ya yote, Nashukuru Sana kwa kutenga muda wako na kupitia Uzi huu. Leo nimepata wazo la biashara linalohusiana na kutoa huduma kwa watu mbalimbali hasa wa mikoani na wale wote ambao wapo nje ya jiji la Dar es salaam. Nimepitia Nyuzi nyingi na mitandao mingi ya kijamii kwa muda mrefu...
Back
Top Bottom