biashara

  1. W

    JamiiForums Tanzania Kipato changu ni 400k na marupurupu 300k kila mwezi. Nahitaji kufungua biashara ya kuuza juisi na maziwa ili kidogo nipate chochote

    Awali ya yote ashukuliwe Mungu Mkuu atoaye pumzi na afya. Wadau najua wataalamu na wafanyabishara wamo humo ndani naombeni ushauri kama nilivyoeleza hapo juu kuwa kipato changu na nahitaji kufungua biashara ya kuuza juisi je hiyo pesa inatosha kwa mtaji na ni vitu gani hasa vinahitajika ili...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Manispaa ya Musoma inapandisha kodi za vibanda vya biashara kiholela

    Mimi ni mmoja wa wafanyabiashara nilipangishwa na manispaa ya musoma tangu mwaka 2018. Tumekua tukifanya shughuli zetu na kolipa kodi stahiki bila shida hadi ilipofika mwaka 2023 changamoto za kupandisha kodi kila mwaka zikaanza. Mwaka 2022/2023 nililipa kodi tsh 528,000 kwa mwaka kulingana na...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Siku moja amka anza kufanya biashara anayofanya boss uone kama mtakuwa sawa tena

    Kwa wenye uzoefu wa biashara tu. Siku moja amka anza kufanya biashara anayofanya boss uone kama mtakuwa sawa tena Siku moja anza biashara fulani usikilizie kama mapapa wa biashara hiyo watafurahia hicho kitendo Umewahi kuona viongozi wa chama tawala wana maisha mabovu? Unaijua kazi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ni biashara au kazi gani inayoweza kumpa mtu kuanzia milioni 50 kwa mwaka?

    Kama una kipato au kazi ambayo inaweza kuingiza kipato kuanzia milioni 50 kwa mwaka, weka hapa ni kazi au biashara gani ili watu wajifunze. Au mtu afanyaje aweze kufika huko ikiwa ni hatua ya kijitoa kwenye umasikini, ni mradi gani afanye au mbinu gani atumie. Nini aepuke ili asijekupotea...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna kitu naweza kusema kipo ila kitakuwa kigumu ila kipo kuthibitisha kwa biashara viungo vya binadamu.

    Kuna nchi unatakiwa kuwa makini na kuanzia mazoea,msosi, vinywaji mpaka unapofikia na ili swala lipo. Ila tanzania bado tujaweza sasa kuhusu na maswala ya biashara ya viungo kama figo maana ndio bidhaa ambayo naogopa kuingiza mada hapa. Je wale ambao wamenusurika au kuomba uchunguzi wa...
  6. JamiiForums Tanzania Dini ni biashara ya ujanjajanja, ambapo bidhaa haionekani, na pale hiyo bidhaa inaposhindwa kufanya kazi, mteja ndiye anayelaumiwa

    Dini ni moja ya taasisi kubwa zaidi katika historia ya binadamu, na mara nyingi imechukuliwa kama biashara yenye mafanikio makubwa. Dini hutumia imani ya watu kama bidhaa isiyoonekana. Bidhaa hizi ni ahadi za wokovu, baraka, uponyaji, au maisha bora baada ya kifo. Hizi ni bidhaa ambazo haziwezi...
  7. JamiiForums Tanzania TANESCO: Tumepokea taarifa ya changamoto ya umeme jengo la biashara Mwenge, tunafanyia kazi

    Kuhusu hoja ya Mdau aliyezungumzia Dar: Jengo la Stendi ya Mwenge linakosa umeme mara kwa mara, inasemekana lina deni ufafanuzi umetolewa kutoka upande wa TANESCO. Asante kwa kutufahamisha kuhusu changamoto hii. Tumepokea taarifa yako na tunaichukulia kwa uzito. Kesho (Julai 15, 2026)...
  8. JamiiForums Tanzania Inakuwaje watu wanaofanya biashara ya aina moja, mtaji sawa, eneo lilelile la biashara na mauzo sawa wanatofautiana kiwango cha kodi?

    Nina mwezi sasa nafanya utafiti kuhusu masuala ya kodi, nimegundua mambo mengi sana ambayo majibu yake hata maafisa wa TRA wanajing'ata kujibu, moja ya jambo ni hili, inakuwaje wafanyabiashara wenye mtaji sawa, rate ya mauzo sawa, eneo la biashara moja, lakini wanatofautiana kiwango cha malipo...
  9. JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi atembelea Banda la GF katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametembelea banda la kampuni ya GF katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba), wakati wa hafla rasmi ya kufunga msimu wa maonesho ya mwaka 2026. Katika ziara hiyo ya heshima...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Watu wengi sana wanatamani biashara ya madini wanapowaona matajiri lakini wanafichwa mengi, hii ni biashara katili sana

    Ni moja kati ya biashara ambayo wabongo wanajihusisha sana na NDUMBA, hata uwe msomi kama utahitaji kujimix na hao watu, kwao ndumba kwanza vingine vitafuata, usipokuwa tayari ni ngumu kupewa ushirikiano Inahitaji uwekezaji mkubwa na bado hakuna gyarantee, unaweza kuwekeza milioni 100...
  11. JamiiForums Tanzania Nakupa code; kwenye biashara yoyote ya delivery ukisikia sauti ya mzanzibari kimbia haraka

    Usije kusema sikukwambia, ila utajuta na utatamani uvuke bahari kwa mguu kwenda zanzibar kufatilia pesa yako
  12. M

    JamiiForums Tanzania Jaman naombeni muongozo wa biashara ya ya chipsi Changamoto na faida na mengine Asanteni sana🙏🙏

    Jamani naombeni mwongozo wa biashara ya chipsi Changamoto,faida,hasara na mengine nisiyoyajua Asnteni..🙏🙏
  13. JamiiForums Tanzania Hii ndio biashara ya kufanya Kwa kijana anayetaka kufanikiwa/kuongeza kipato.

    ukiwa na mtaji chini ya million 20 usijichanganye kwenye biashara za muonekano ambazo, taka, frame, TRA, manispaa, ulinzi n.k wote wanakuangalia wewe, na hii era tunayoenda nayo ndio basi tena, Kwa miaka ya Sasa mtaji wa 5M -10M ukiikimbiza kwenye frame labda uwe na rare skills ambazo watu...
  14. JamiiForums Tanzania Jina la Biashara ni Mali Yako. Je, Limeshasajiliwa?

    Jina la Biashara ni Mali Yako. Je, Limeshasajiliwa? Watu wengi huwekeza muda, fedha na ubunifu kujenga biashara zao, lakini husahau kulinda kitu cha kwanza kinachowatambulisha, ambacho ni jina la biashara. Fikiria hali hii. Umeanzisha biashara, umetengeneza nembo, mabango, kurasa za mitandao...
  15. JamiiForums Tanzania Ukiingia kwenye mtego wa kukopesha ili tu kujenga mahusiano mazuri na wateja, ujue unachimbia shimo ambalo linaweza kuizika biashara yako.

    Wafanyabiashara wengi hawafi kwa kukosa wateja, wanafia kwenye madeni ya wateja wao 👇🏾 Kuna dhana imeenea sana kwenye biashara kwamba ukitaka kupata wateja wa kudumu lazima uwe mwepesi wa kuwakopesha. Wapo hata wataalamu wa biashara wanaoshauri kuwa kwa mazingira fulani kutoa bidhaa kwa mkopo...
  16. JamiiForums Tanzania Kama hakuchangia mtaji wa pesa au nguvukazi toka mwanzo wa biashara sioni ulazima wa kumpa madaraka makubwa mke kwenye biashara alizokukuta nazo

    Wakuu nimekuwa nikisoma makala nyingi sana za kesi za watu kuuwawa au kunusurika kuuwawa na wake zao kisa kikiwa ni fedha na mali. Kwenye makala nyingi nilichogundua ni kuwa mwanamke aliolewa na tajiri na baadae kuwa msaidizi mkuu wa mumewe kwenye miradi yake. Baada ya kufanya kwa kazi kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Biashara nyingi zina promotion package nzuri, lakini ukija kwenye uhalisia ni mbingu na ardhi

    Kuna biashara ukiona matangazo yake unaweza kujenga picha kubwa sana kichwani. Video ni nzuri, picha ni kali, maelezo yanavutia na kila kitu kinaonekana cha kiwango cha juu. Mwisho wa siku unafanya maamuzi ya haraka kwa sababu umeamini kila kilichoonyeshwa kwenye tangazo. Lakini ukifika dukani...
  18. JamiiForums Tanzania Vijana na biashara za viwanda

    Wakuu hivi kwanini vijana hatugusi kabisa biashara za viwanda tunakimbilia maduka tu Wakati miaka ya nyuma pale kitumbini palikua ni soko la wahindi tu sasa wamebaki wachache wengi wao Wamehamia kwenye uzalishaji wa bidhaa kwanini sisi tusifikirie huko au tunakwama wapi
  19. JamiiForums Tanzania Aina za miundo ya umiliki wa biashara (forms of business ownership)

    Kabla ya kuanza biashara, ni muhimu kuchagua muundo unaofaa malengo yako. Muundo wa biashara unaathiri usimamizi, uwajibikaji, ulipaji kodi & ukuaji wa biashara. Zifuatazo ni aina kuu za miundo ya biashara; 1. BIASHARA YA MTU MMOJA (SOLE PROPRIETOR) - Ni biashara inayomilikiwa na kuendeshwa na...
  20. JamiiForums Tanzania RPCs, OCDs, maRCs na maDCs wametumia uwepo wa maandamano ya 77 kutapeli wafanyabiashara mamilioni ya pesa eti ili biashara zao zilindwe 24hrs!

    Anaandika Hilda Newtown kutoka ukurasa wake wa X-TWITTER... ================== Baada ya Gen-Z kutangaza Maandamano ya Amani ya 7/7 #77Tunatoka. Sasa maandamano haya kwa MaRPC na Wakuu wa Wilaya nchini, wao wakaigeuza kuwa fursa ya kutapeli Wafanyabiasha wenye Maduka pamoja na wamiliki wa Petrol...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…