Habari wana JamiiForums Karibuni tujadili mawazo ya biashara ambayo yaweze kukutanisha na watu ambao wanauzoefu na hiyo biashara kujadili kwa kina kama kupata uzoefu karibu tujadili
Jinsi ya Kufanya Biashara Yako Ijiendeshe Yenyewe (Thread)
Biashara nyingi zinashindwa kwa sababu mmiliki anafanya kila kitu mwenyewe.
Huwezi kuwa CEO, marketer, mhasibu, na mfanyakazi kwa wakati mmoja.
Unahitaji mfumo unaojiendesha hata ukiwa haupo.
Siri ya biashara inayojiendesha ni...
Miaka ya hivi karibuni wanawake wamekuja juu sana kwenye Biashara nimeshangaa mpaka ilala madada wanauza Autoparts ni jambo jema sababu wanatafuta namna ya kuchangia kwenye familia na kujiwezesha kiuchumi ila kuna changamoto zitafanya kamwe wanawake wasitoboe kwenye business tofauti na wanaume...
Changamoto kubwa kwenye eneo la uhasibu na kodi kwa wanafanyabiashara wengi hasa wanaotumia mtindo kuagizisha mizigo mbalimbali kutoka nje ya nchi kwa kutumia Fedha za wateja kufanikisha au ku-facilitate biashara husika ,changamoto hizi hupelekea biashara au wafanyabiashara wengi wa mtindo tajwa...
Changamoto kubwa kwenye eneo la uhasibu na kodi kwa wanafanyabiashara wengi hasa wanaotumia mtindo kuagizisha mizigo mbalimbali kutoka nje ya nchi kwa kutumia Fedha za wateja kufanikisha au ku-facilitate biashara husika ,changamoto hizi hupelekea biashara au wafanyabiashara wengi wa mtindo tajwa...
Salaam Wanajukwaa.
Kama heading ijielezavyo, katika kuendelea na harakati, leo Wanajf nimekuja tena kuomba muongozo wa biashara ya vyombo kwa mwenye kuijua hata kwa uchache wake
1.Je kwa uchache at least mtaji uanzie kiasi gani.
2.Kama nitaanzia kwa mtaji mdogo bidhaa zipi sio za kukosa au za...
Natangaza hali ya hatari Maana Viongozi Wa ngazi ya Mkoa, wilaya mpaka kata shinyanga mjini wamelala na wameamua kupuuzia suala la biashara ya Ngono inayoendelea shinyanga mjini mtaa wa JOMU.
Pale kuna Dangulo Moja linalofahamika kama Maswa Guest lipo karibu kabisa na ofisi za Serikali ya mtaa...
Mfanyabiashara wa Tanzania anayechukulia biashara yake kwa umakini anapaswa kuwa na mambo yafuatayo:
TIN Number (Taxpayer Identification Number) – Hii ni namba ya utambulisho wa mlipakodi kutoka TRA, inayomwezesha mfanyabiashara kulipa kodi rasmi.
Leseni ya Biashara – Hutolewa na halmashauri...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imeridhia kupumzishwa kwa shughuli za uvuvi katika Ziwa Tanganyika.
Ziwa hilo linatarajiwa kufungwa kutokana na makubaliano ya nchi nne zinazotumia ziwa hilo huku baadhi ya wabunge wakionesha kutoridhika na hatua hiyo.
Biashara ipi ni nzuri na rahisi kuisimamia kati ya hizi. Bajaji ya abiria, cash point (uwakala), tofari za block, au stationary.
Mazingira ya biashara ni mwanza.
Wasiliana nasi leo Kwa WhatsApp no 0656965704 Tukusaidie kuipa Biashara Yako Maisha.
Huduma Zetu ni:
Logo design
Poster design
Flyers design
Kadi za mialiko na Harusi
Business card design
Banners design
Cv design
Social media post template
Karibu Tukuhudimie Leo..
📢 Kwa Nini Ubunifu Bora Ni Muhimu kwa Biashara Yako?
Ubunifu mzuri si anasa—ni silaha ya mafanikio kwa biashara yako! 🎯
✅ Unakutofautisha na washindani
✅ Inavutia wateja zaidi
✅ Inajenga uaminifu
✅ Inasaidia kuuza zaidi
🚀 GraphixPro tunakusaidia kuboresha chapa yako kwa ubunifu wa hali ya juu...
Sifa 10 Za Watu Sahihi Wa Kushirikiana Nao Katika Biashara Ya Ardhi Na Majengo Hapa Tanzania
Makundi Ubia katika biashara ya ardhi na majengo ni njia muhimu ya kushirikiana ili kufanikisha miradi mikubwa ambayo inaweza kuwa ngumu kuitekeleza peke yako. Kwa kushirikiana, wawekezaji huunganisha...
🔴 Kwanini Hupati Wateja Wapya Kwenye Biashara Yako? Unafanya Kila Kitu, Lakini Hakuna Matokeo? Fanya Hivi!
🎯 Unauza huduma yako lakini hupati sales?
🎯 Unatangaza bidhaa zako, lakini hakuna anayenunua?
🎯 Unapost kila siku, watu wanaangalia tu lakini hawachukui hatua?
🎯 Unasema "We are open!"...
-Nikiwa kongwa wilayani nilienda stationary moja iko hapo karibu na kwa DC. Nilichokutana nacho toka kwa mhudumu ina justify ngozi nyeusi ifundishwe business skills na wageni. Na sasa tuna hawa wachina.
-mhudumu stationary unamuomba akupatie bahasha anakunja midomo. .
Unamuomba aweke document...
Ethan alikuwa na ndoto ya kuwa bosi wake mwenyewe. Baada ya miaka mingi kufanya kazi ya 9 hadi 5, hatimaye aliamua kuanzisha kampuni yake ya usanifu wa michoro. Mwanzoni, ilikuwa ya kusisimua—wateja walikuja, pesa zikaingia, na alijivunia kuwa mmiliki.
Lakini kadri muda ulivyopita, Ethan...
Wakuu,
Tunaposema Wachina ni existentia threat kwenye nchi hii, basi tunamaanisha mambo kama haya.
Mimi nilivyoelewa hii katuni ya Masoud Kipanya ni kwamba:
Pamoja na kwamba mchele unaouzwa na Mtanzania ni gharama lakini Mtanzania akinunua mchele, muuzaji ataenda kununua vitumbua baadae so...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.