SERIKALI imziunganisha benki za TPB Bank Plc pamoja na TIB Corporate ili kuimarisha utendajikazi wa benki hizo na kuhimiri ushindani wa kibiashara kwenye sekta ya fedha.
Kauli hiyo imetolewa leo Jijini Dodoma na Msajili wa Hazina, Athuman Mbutuka alipokuwa akizungumza na vyombo vya Habari...
Wale Ndg. Zangu wa kutumia fursa nawapeni taarifa kiroho Safi biashara ya Tangawizi ishaingia MDUDU huko kilo 1 kwa Sasa 800 TZS kutoka @5,000/= wiki moja iliyopita.
Source: Sokoni Kariakoo Shimoni.
Ndugu zangu, dhana inayofanyika mpaka mtu anapata UTAJIRI kutoka kwa mganga. Hii ipoje kwa anayejua? Pia, mie najiuliza hawa waganga huwa wanaona nini hasa kipindi wanamuagua mtu.
Kama wewe unapeleka mnyaa then yeye anakwambia matatizo yako au matamanio yao. Au kutumia kuku!? Tujadili kama...
Sijawahi kufanya biashara ya aina yeyote isipokuwa nimefanikiwa kukusanya kiasi cha Tshs 25/- milioni ambazo nafikiria kujiajiri kwa kufanya biashara.
Naomba wazoefu wa Jiji la Dar mnipe ushauri juu ya biashara ya kufanya tafadhali.
Maoni ya wadau:
Ndugu habari,
Nimemaliza chuo mwaka jana sasa nina shahada ya kwanza ya Ualimu katika masomo ya Hisabati na Kompyuta. niliporudi nyumbani mwaka huu niligundua kuna fursa ya kuzoa taka katika mitaa ya kata yetu. Hivyo sikuchelewa nikachapa barua fasta na kuipeleka kwa mtendaji wa kata nikiomba...
Kama mjuavyo kwasasa kuna mdororo wa biashara hapa nchini haswa Dar kutokana na sababu mbalimbali. Kuna mdau anataka mawazo kuhusu mradi upi awekeze, waswahili husema penye wengi hakiharibiki kitu.
Biashara pendekezwa
1. Kununua na Kuuza Spare Parts za magari
2. Hardware ya vifaa vya ujenzi
3...
BENKI KUU KENYA YASEMA 75% YA BIASHARA ZA NDOGO NA KATI ZITAKUFA
Gavana wa Benki Kuu ya Kenya Zaidi ya 75% ya biashara ndogo na biashara za kati zipo hatarini kufungwa kutokana na ukosefu wa pesa
Hii ni kutokana na shughuli kuzorota kutokana na kuwa na tishio la janga la #CoronaVirus
Ukuaji...
Wakuu habari yenu.
Kuna vifaa vya stationary nimeachiwa na my brother, yeye kapata kazi mkoa mwingine so ameniachia ili niweze kuvitumia kwa biashara eneo alilokuwa anafanyia hiyo biashara mwanzo lilivunjwa kupisha maboresho ya miundombinu.
So naomba kama kuna mtu yeyote humu kaona mazingira...
Wafanyabiashara katika mpaka wa Holili uliopo Wilaya ya Rombo wamelalamikia kitendo cha wao kunyimwa kuingia nchini Kenya kufanya baishara na kutakiwa kuagiza mizigo kwa njia ya simu huku wao wakiingia nchini na kufanyabiashara bila kubughudhiwa.
=======
nomasana, sam999, NairobiWalker...
Kuanza biashara ni jambo moja lakini kuiendesha isimame na kudumu ni jambo lingine tena linalohitaji kutuliza akili na kuwa na nidhamu sana katika biashara.
Zipo biashara ambazo huanzishwa na hatimae hufa kwa sababu mbalimbali. Baadhi ya sababu hizo ni kama zifuatazo:-
Mazingira/wakati...
Kuna mda huwa tunafanya makosa mengi sana katika maisha tena mengine ya kujitakia kabisa ambayo ukiyakumbuka baadae unayajutia sana. Binafsi kama ningetumia mda vizuri ningekuwa mbali sana sana kimafanikio kuliko nilivo sasa.
Kipindi namaliza O' level baada ya matokeo kutoka nikapangwa Moshi...
CHAMA cha Wafanyabiashara wenye Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA) Mkoa wa Dodoma, kimesema japo serikali haijawafungia watu ndani, lakini hali ya biashara mkoani hapa imeendelea kuwa mbaya siku hadi siku.
Akizungumza wakati wa mahojiano na Habari- LEO, Mwenyekiti wa TCCIA mkoani hapa, Denis...
Hivi karibuni hii biashara ya kusafirisha minofu kutoka kanda ya ziwa kwa kutumia mashirika kama Rwanda Air na leo tena nimesikia Ethiopian airways imerudi kwa kasi na kimekuwa kama kitu cha kujivunia hadi waziri anaenda kushuhudia.
Wengi humu tunajua watoto wetu wamedumaa kwa zaidi ya asilimia...
I just announced that we're launching Facebook Shops today – the basic idea is that any small business can easily start a shop to sell things directly across our apps. If you visit someone's shop, you'll be able to see that small business's story, see their featured products, and buy them in our...
Wakuu naomba kufupisha historia yangu ya kuanzisha biashara nilipokuwa kwenye kibarua fulani nina imani hata wewe itakusaidia sana pengine kama sio wewe ni mwingine.
Miaka kadhaa nyuma nilipokuwa nimepata kibarua fulani nilikuwa nimekaa mda mrefu nikiwaza biashara kichwani ila nilikuwa naogopa...
Wakati majira ya kiangazi yanakaribia nchi nyingi zinazotegemea utalii kama sehemu ya mapato ya ndani zimeanza kufikiria mbinu za kuongoza biashara bila kupoteza kabisa soko.
Cyprus
Wanaruhusu watalii wanaoingia na cheti cha maabara kilichotolewa ndani ya siku nne mpaka msafiri anapoingia...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nimemaliza elimu ya secondary mwaka 2017 nashukuru nilipata ufaulu mzuri ila sikuweza kuchaguliwa hvyo kutokana na uchumi sikuweza kuendelea na masomo bali nikajiingiza kwenye ujasiliamali na kuweza kupata ujuzi wa kutengeneza bidhaa mbalimbali za viwandani...
Ndugu zangu TRA mimi naomba niwaambie ukweli mnauwa biashara siwafichi nasema ukweli ukweli mtupu.
Mnauwa biashara na mnaenda kuuwa secta ya fedha kabisa. Hivi mnajuwa watu wanatoa pesa bank na hawataki kusikia akaunti?
Hivi mnajuwa hizi estimate mnawapa watu zinawafanya kufunga biashara na...
Nauza asali mbichi napatika Dar es salaam eneo la Buguruni Sheri.
Bei yake ni
Robo lita 3000
Nusu lita 6000
Lita moja 12000
Lita 5. 55000
Lita 20. 200000
No 0746696878
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.