biashara

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wimbi kubwa la wasomi walioajiriwa kukimbilia biashara za nguo na viatu mitandaoni

    Wakuu salama? Kitambo sijapost hapa ila nimeona leo tuangalie upande wa pili wa shilingi; tuna idadi kubwa sana ya vijana wetu wasomi tena ambao wapo kwenye ajira iliyo rasmi lakini wakati huo huo wanafanya ujasiriamali mdogomdogo. Sioni tatizo kufanya biashara ila shida inakuja pale ambapo...
  2. JamiiForums Tanzania Baada ya Lissu kusema mikoa ya mipakani itakuwa milango ya biashara

    Lissu alisema wananchi wanaoishi katika mikoa ya mipakani wanaweza kufanya biashara ndani ya nchi na pia wanaweza kufanya biashara katika nchi jirani. Mfano Mkulima wa Korosho anaweza kuuza korosho Msumbiji kama bei ni nzuri zaidi ya Tanzania au kahawa ya Kagera kuuzwa Uganda kama bei ni nzuri...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kukopesha huku ukibaki na dhamana

    Habari wakuu, Nafikiria kuanzisha biashara ya kukopesha kama ka microfinance kadogo lakini nibaki na dhamana. Kwa mfano una simu au laptop unakuja unaicha ofisini (baada ya kujaza form ya mkataba na kuacha kopi ya ID) then unachukua mkopo unafanya yako within siku thelathini unakuja na pesa...
  4. JamiiForums Tanzania Fursa ya biashara kwa sisi wa Uswahilini

    Nilikwenda soko la Ferry kununua samaki. Niliona wavuvi wanauza dagaa kwa ndoo. Wazo nililolipata ni kwenda Ferry asubuhi na jiko la mkaa na kopo moja tu la mkaa ndani. Chupa ya mafuta na chumvi. Ukishanunua wale dagaa unawakaanga pale unawaweka kwenye ndoo na kupanda nao mwendo kasi...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Biashara ya A4 copy paper kutoka nje. Nahitaji mwenye taarifa sahihi kuhusu hii biashara anisaidie

    Habari wana jamvi! Nafikiria kuanzisha biashara ya A4 copy paper kutoka aidha South Africa au Thailand! yaani kuleta container. soko langu nalilenga kanda ya ziwa. Wadau nahitaji mwenye taarifa sahihi kuhusu hii biashara anisaidie kunipa taarifa wapi mzigo mzuri nitapata, mtaji, brand gani ya...
  6. JamiiForums Tanzania Nini siri ya wamasai kwenye biashara ya sandals?

    Hii kitu huwa najiuliza sana kwanini wamasai wanapenda zaidi biashara ya kutembeza sandoz (sandals) kuliko biashara zingine? Siku za nyuma nilikua naamini wao ndio wanazitengeneza kumbe sivyo nao ni walanguzi tu. Hii imepelekea mpaka zipewe jina la sandals za kimasai wakati hawazitengenezi wao...
  7. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sokoine, Mbeya: Magufuli asema Tulia amemsumbua sana kwa ajili ya maendeleo ya Mbeya, amuomba Joseph "Sugu" Mbilinyi kura

    Leo Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni katika mkoa wa Mbeya Uwanja umefurika wananchi wa itikadi mbalimbali na bendera zao hakika siasa siyo Uadui. Viongozi mbalimbali wanaendelea kuwasili hapa uwanjani. ========= MAGUFULI: Mwaka 2015 tulipita hapa kuwaomba kura wana-Mbeya, mlitusikiliza...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba: Mazingira ya kufanya bishara Tanzania ni magumu sana

    NIKIWA RAIS NITAIMARISHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI,KUFANYA BIASHARA NA UJASIRIAMALI"PROF.LIPUMBA" USHETU,SHINYANGA Mazingira ya kufanya bishara Tanzania ni magumu sana. Kwa mujibu wa Ripoti ya Benki ya Dunia ya mazingira ya kufanya biashara ya mwaka 2020 – (Doing Business 2020), Tanzania ni nchi...
  9. JamiiForums Tanzania Mijadala ya Mawazo na Michanganuo mbalimbali ya Biashara na Uchumi kwa Ujumla

    Habari wakuu, Ni dhahiri kuwa Jukwaa letu la Biashara limesheheni mada nyingi zenye miongozo kwa wanaoanza biashara na hata wanaohitaji msaada kwa biashara zao. Kutokana na mada nyingi kuwa na umuhimu na kuwa sticky, inalazimu kuweka links za mada hizi sehemu moja kwa urahisi wa kuzifikia na...
  10. JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu biashara ya mahindi na milling kwa ujumla

    Niko kwenye hii biashara kwa zaidi ya miaka 7 sasa, kwa wale wanaopenda kujua ABC karibuni kwa maswali.
  11. JamiiForums Tanzania Eneo la kufanyia biashara ya M-pesa, Tigopesa etc

    Natafuta eneo lililochangamka kiasi kufanyia biashara ya Mobile money, kama ww ni owner au unaweza kuniconnect na owner, nitashukuru. Mm ni mkazi wa Temeke so naprefer maeneo around Temeke, Tandika, Mbagala, Kijichi, Gongo lamboto au maeneo ya jirani. Kama ni chumba/frame ni sawa au hata kama...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye biashara ya nyanya

    Habari wana Jf, Nilikuwa nahitaji kufanya biashara ya nyanya ninunue kwa wakulima mashambani alafu nije kuuza kwenye masoko Dar. Nilikuwa naomba. 1. Ushauri au muongozo kwa mwenye uzoefu na biashara hii inakuwaje na inafanywajwe. 2. Connection za wakulima wa zao hili. 3. Connection za masoko...
  13. JamiiForums Tanzania Rasimisha biashara yako

    Habari Ili biashara yako itambulike kisheria basi yakupasa uisajili kwa kuzingatia taratibu zote zinazohitajika ili uweze kukamilisha usajili wako, unaweza kuisajili ukiwa kama mmiliki binafsi (Individual), ubia (Partnership) au Kampuni (Company). Na ili uweze kukamilisha usajili huu lazima...
  14. JamiiForums Tanzania Biashara ya viatu inaweza kukutajirisha

    Hello Natumaini mnaendelea vyema na harakati za kutafuta maisha nimeona leo niwaibie siri jinsi hii biashara ya sandals na viatu inaweza kukutajirisha kwa haraka. Historia Mimi kwa majina ya kuzaliwa naitwa Innocent kirumbuyo nimezaliwa Kilimanjaro katika hospital marubeneti miaka mingi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu baada ya kuiteka ngome ya Kanda ya Ziwa, una kazi moja tu ya kuiteka Dar es Salaam umalize biashara hii mapema

    No doubt Ngome ya kisiasa ya raisi Magufuli ya Kanda ya Ziwa imetikiswa sana na mashambulizi ya kampeni ya Lissu Hii kanda ndiyo iliyokuwa muhimu sana kumsaidia Magufuli kubalance nguvu za upinzani katika kanda ya kaskazini na miji mikubwa ya Dar na Mbeya, huku akitegemea mikoa loyal kwa CCM...
  16. JamiiForums Tanzania Wazo la biashara ya mazao na mifugo

    Wazo la biashara ya MAZAO na MIFUGO Niende moja kwa moja katika mada, nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu masuala ya mazao na mifugo na katika hayo nimepata taarifa muhimu sana na nikaona nisiwe mchoyo niweze kushiriki nanyi kwa pamoja tuinue hali zetu za kiuchumi. Ukiangalia katika mwaka...
  17. JamiiForums Tanzania Biashara ya matunda (Fruit Salad)

    Wakuu khabari za asubuhi, mimi kijana wenu mpambanaji ..naendelea kutafuta ni kwa namna gani naweza kujiongezèa kipato. Katika pita pita za town naona kuna fursa ya kufanya hii biashara ya matunda mchanganyiko au kachumbari ya matunda (fruit Salad). Nipeni muongozo wakubwa, naomba kujua...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba akiwa Kigoma Kaskazini: Nikiwa Rais nitaimarisha mazingira ya uwekezaji, kufanya biashara na ujasiriamali

    NIKIWA RAIS NITAIMARISHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI,KUFANYA BIASHARA NA UJASIRIAMALI"PROF.LIPUMBA" KIGOMA KASKAZINI Mazingira ya kufanya bishara Tanzania ni magumu sana. Kwa mujibu wa Ripoti ya Benki ya Dunia ya mazingira ya kufanya biashara ya mwaka 2020 – (Doing Business 2020), Tanzania ni nchi...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Felix Mkosamali Mgombea Ubunge wa CHADEMA atangaza biashara ya uwakili kinyume cha Maadili ya Uwakili

    Sera ya CHADEMA ni maendeleo ya watu sio vitu Wakili Felix Mkosamali Mgombea Ubunge CHADEMA Muhambwe ampinga Lissu na CHADEMA anadi sera ya maendeleo ya vitu kuwa hizo ndizo sera kinyume na Lissu anayepinga maendeleo ya vitu Wakili Mkosamali pia ametangaza biashara yake ya Uwakili kwenye...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Vitambulisho vya Machinga sio lazima, acheni uongo

    Mgombea Urais kupitia CCM Dkt John Magufuli amesema, watu wanazusha kwamba Machinga wanalazimishwa kuwa na vitambulisho, sio kweli. Vitambulisho sio lazima. ''Vitambulisho havilazimishwi ni lazima itolewe elimu kwa wanaoshiriki kwenye vitambulisho ili wakafanye bishara mahali popote, tunataoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…