biashara

  1. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli alivyosaidia jamii kufanya biashara halali; kesi za kulizwa zimepotea, wajuba wanahaha wasiondoke mjini

    WanaJF. Moja ya kazi ngumu Rais wetu aliyoifanya ni pamoja na kuifanya jamii kufanya biashara halali. Ilikuwa kazi mgumu kuwaondoa wafanyabiashara matapeli kwani walikuwa washirika wakubwa na viongozi wanaoishikiria serikali. Mwanzo tunaowajua hawa wafanyabiashara tuliogopa sana kwamba wanaweza...
  2. JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu biashara ya kuuza na Kubadilisha gesi

    ndugu wana jf, nataka kuanzisha biashara ya kuuza gesi ya kupikia na accessory zake.,naomba msaada kuhusu procedure zinazotakiwa ili niweze kufanikisha ndoto yangu. pia mwenye idea na strategic business proposal naomba anisaidie. natanguliza shukrani.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mtu marketing kwa ajili ya biashara ya utalii anahitajika

    tuko katika mkakati wa kutengeneza na kukuza brand yetu mtu wa masoko ni muhimu hivyo basi kama unadhani ww ni mbunifu, mchapakazi ,unafikiri nje ya box , tuambie kwanini ni ww na si mwingine kwa maneno machache tupe pia uzoefu na ujuzi wako kwa kifupi
  4. JamiiForums Tanzania Anzisha Biashara yako inayosimamiwa au kuwa Managed Digital Ventures

    Angalizo! Huu ni mfumo mpya kabisa wa uanzisha na uendeshaji wa biashara na uko katika majaribio.Ukishiriki katika mfumo huu basi fahamu kwamba utakuwa katika majaribio.Hata hivyo mfumo huu umewekwa katika mazingira ya kuhakikisha kwamba mjasiriamali hapati hasara au kuchukua hadhari isiyo ya...
  5. JamiiForums Tanzania Anayejua biashara ya kununua simu used toka Kenya?

    Habari wadau. Mtu anayejua wapi unaweza nunua simu used kwa bei nafuu nje ya nchi katika huu ukanda wetu wa SADC na kuzi import hapa Tz. Asanteni.
  6. JamiiForums Tanzania Usipende kutoa siri za biashara yako kwa watu wasio wateja wako

    Katika vitu napataga shida ni kwenye kuchagua vichwa vya habari ya thread ninazoanzisha kwahiyo ndugu zangu tuwe tunasameheana inapotokea nimeandka kichwa cha habari halafu content inapishana hapo muwe mnanisamehe tu. Leo bana kuna ishu moja nataka kuongea na wafanyabiashara/wajasiriamali sio...
  7. JamiiForums Tanzania Orodha ya benki za biashara zilizofungwa 2015-2020

    1. Efatha 2.Covenant Bank, 3. KILIMANJARO COMMUNITY BANK 4. Njombe Community Bank, 5. Kagera Farmers’ Cooperative Bank, and 6. Meru Community Bank 7. Federal Bank of the Middle East 8. Tanzania Investment Bank (TIB) 9. China Commercial Bank Limited 10. Bank M 11. Twiga Bank 12. Mbinga Community...
  8. JamiiForums Tanzania Maeneo ya biashara Mbezi Louis stendi mpya walengwa ni kina nani?

    Frem ya mita 3 kwa 4 ni milion 5 kwa kodi ya mwezi. Hiyo hapo ni kwa ajili ya E.MONEY shops(uwakala) sijui mtu atafanya biashara kiasi gani kuweza kupata kiasi hicho cha kodi,mshahara wa mfanyakazi/kodi za serekali, faida n.k Picha ya tatu ni mita za mraba 42 eneo la cafe na fastfood bei ni...
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta asali kwa mtu ambaye anauza

    Habari zenu wapendwa natafuta asali kwa mtu mwenye nayo naomba tufamiane tufanye biashara Asali nyuki wakubwa kwa wadogo awe havuni kwa kutumia moto (traditional way ) awe anavuna kwa njia tofauti na moto. Iwe pure asali mimi niko moshi nitafute kwa 0769625978 tufanye biashara nahitaji kiasi...
  10. JamiiForums Tanzania Biashara ya matunda

    Habari za wakati huu wakuu. Katika pita pita zangu mitandaoni. Nimekutana na hii machine. Haraka haraka likanijia wazo. Je, kama nitaweza kuhifazi matunda kwa kutumia mifuko ya plastik na kuweza kibana vizur kwa machine hiyo. Swali langu liko hapa je inawezekana kuhifadhi matunda kwa njia...
  11. JamiiForums Tanzania Biashara ya nyama choma

    Mimi kijana wa Kitanzania mwenye umri kamili wa miaka 26, mwenye Degree moja ya Procurement, ni mjasiriamali wa biashara ya chakula, Matunda na Forex ..lakini bado naitaji kuongeza kitega uchumi kimoja na nimeona ni deal na vitu hivyo vya kula kula maana mimi mwenyewe nakimbiza (nakula) japo...
  12. JamiiForums Tanzania Biashara ya Dagaa: Mjadala wa Uendeshaji, Masoko, Faida, Hasara na Changamoto zake

    Poleni na majukumu wadau, me naomba kwa yeyote mwenye uzoefu wa biashara ya dagaa (wakavu) wa mwanza kupeleka Dar, naomba kujua gharama za kununulia kwa wavuvi, gharama za kuwakausha pamoja na usafirishaji, soko lake na mtaji wa kuanzia na yote yanayohusu biashara hii. Natanguliza shukrani...
  13. JamiiForums Tanzania Ushauri wa Mahitaji kuhusu biashara ya kuchomelea (welding)

    Nakuja kwenu ndugu zangu naomba kwa wenye uzoefu na wenye taarifa sahihi kuhusu biashara ya welding (kuchomelea) naomba kujua gharama ya vifaaa vinavyohitajika, Aina ya vifaa na Bei zake Ubora wa Kifaaa na Madhaifu ya vifaa husika Makadirio kwa vifaa vyote mpaka fundi anaanza kuchomelea Geti...
  14. JamiiForums Tanzania Kuwa makini sana ukifanya biashara na mtu aliyeficha Last seen na Read Receipts kwenye WhatsApp

    Umuofia Kwenu wana JF, Kwa uchunguzi na utafiti nilioufanya,wengi wa watu walioficha Last seen na Read receipts kwenye whatsapp wana makandokando katika mishe wanazofanya...Ukitaka kujua mtu kama ni wa magumashi angalia whatsapp ,kama kaficha last seen na read receipts kuna kitu anakimbia...
  15. JamiiForums Tanzania SOFTWARE FedhaBook: Tunza kumbukumbu zako za mapato na matumizi bila malipo ya kila mwezi wala mwaka

    .
  16. JamiiForums Tanzania A-Z: Wazo langu la biashara lililokamilika kwa kila kitu linalohitaji Mtaji

    Bila ya kupoteza muda ningependa kuchukua nafasi huu kwenda moja kwa moja kwenye mada husika. Ninakwenda kufunguka na kueleza kila kitu hatua kwa hatua juu ya wazo hili lilipotokea na kwanini muda huu ni muafaka kulitekeleza Bila kificho nitaeleza kila kitu kinachohitajika na namna wazo hili...
  17. JamiiForums Tanzania Kupunguza idadi ya Maegesho Kariakoo ili kuongeza usalama wa Watu na mali zao

    Nimesoma hivi karibuni Ufaransa itapunguza maegesho 70,000 ya magari katika mji wa Paris,hii inatokana na sababu kuwa maegesho ya magari yanachukua takribani nusu ya eneo la mji wa Paris yakiwa na idadi ya asilimia 13% ya watu katika mji wa Paris. Hapa Tanzania eneo la Kariakoo ambalo ni eneo...
  18. JamiiForums Tanzania Ushauri: Biashara inakaribia kufilisika, pesa ya biashara inatumika zaidi kwenye mambo binafsi

    Ipo hivi wakuu, kuna biashara ya rafiki yangu ambayo ni ya familia ambayo ilikuwa inaenda vizuri tu inaingiza milioni 8 kila mwezi na ndiyo inayolisha familia Sasa ile ni biashara ya familia na mkurugenzi ni baba yao, Pesa ikaanza kuchotwa dukani ili mzee afanyie mambo yake kwenye kesi ya...
  19. JamiiForums Tanzania Unatakiwa uwe na kiasi gani cha mtaji uweze kufuata bidhaa Uganda?

    Habari, Kwa sisi wenye ndoto za kujiajiri kila kukicha tunafikilia nini cha kufanya ili kujikwamua. Unatakiwa uwe na kiasi cha shillingi ngapi ili kuchukua bidhaa either nguo au viatu au mikoba nchini Uganda? (Ya mtumba) Au ni nchi gani za East Africa kuna unafuu wa kufuata bidhaa na ukapata...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima anafaa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Dkt. Kimei Waziri wa Fedha, Tarimba Abbas Waziri Viwanda na Biashara!

    Ni mapendekezo tu kutokana na viwango vyao vya elimu na uzoefu wao katika kutumikia watanzania. 1. Askofu Dr Gwajima........ Waziri wa mambo ya ndani 2. Dr Kimei........Waziri wa Fedha 3. Mh Abbas Tarimba.......Waziri viwanda na biashara 4. Mh Babu Tale........Waziri wa Habari, Sanaa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…