biashara

  1. JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa milioni 2, naomba ushauri wa biashara ya kufanya

    Habarini wanajamvi wenzangu, Vijana wenzangu, wadogo Zangu na wakubwa Zangu, ndugu jamaa na marafiki nimekuja jukwaani humu kuomba msaada kwa yeyote ambaye anaweza kunipatia ushauri juu ya baishara halali yenye manufaa ya kimaemdeleo ya maisha. Nipo Dar mtaji wangu ni million mbili pia sina...
  2. JamiiForums Tanzania Nianze na biashara gani kati ya hizi?

    Habari wakuu Kwa lengo la kuongeza kipato. Nimekaa na kutafakari nikapata mawazo kwa matatu ya kuongeza kipato kutokana na kiasi kidogo cha pesa nilichonacho. 1: Nimewaza kununua pikipiki kwa ajili ya bodaboda part time job. 2: Kufungua ki duka cha sandals za kike na za kiume za dukani (...
  3. JamiiForums Tanzania Mama lishe, kuna soko kubwa la biashara mkiweza kusambaza chakula

    Biashara ya chakula inauzika na ina uhakika kwasababu kila siku watu wanahitaji kula. Wateja wengi wanavutiwa na ladha ya chakula pamoja na mandhari ya eneo. Katika maisha ya kila siku huku mtaani, wapo ambao hawana muda wa kupika nyumbani, wanatumia muda mrefu katika shughuli zao za kila...
  4. JamiiForums Tanzania Nina milioni 25 nifanye biashara gani itakayo nilipa robo tatu au zaidi ya hiyo kila wiki?

    Nina milioni 25 nifanye biashara gani itakayo nilipa robo 3 au zaidi ya hiyo kila wiki au biashara ipi itakayo nilipa sana na kwa haraka.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Natakiwa kusajili jina la biashara au kampuni?

    Habari wadau, Mimi ni Mtanzania ambaye nimeshaandaa mpango wa kuanzisha biashara yangu binafsi. Biashara yangu itakua inategemea na mzunguko wa hela kutoka kwa watu ambao wataamua kuungana nami. Je, natakiwa nisajili jina la biashara au kampuni ili niweze kuanzisha biashara yangu bila kupata...
  6. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu msimu wa bei nzuri ya Vitunguu Maji

    Wadau habarini, Naombaen ushaur kwa wazoefu wa kilimo cha VITUNGUU MAJI.Nimeshaanza mradi wa kulima hili zao,ndoto yangu ni kulima Ekari 3. Ila hofu yangu ni uhakika wa SOKO,kwa muda ntakaokuja kuvuna.Maana apa nategemea kuja kuvuna mwez wa 9 mwishoni hadi wa 10 hiv. Ombi langu,naomba kujua...
  7. JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua lilipo soko la zao la ngwara / fiwi jamii ya maharage

    Mimi ni mfanyabiashara chipukizi, napatikana Tanga. Natafuta wanunuzi wa zao la ngwara au fiwi jamii ya maharage na choroko. Nina gunia zisizo pungua 8 store. Pia itapendeza kupata mawasiliano au kujua trend ya bei ya zao hili sokoni hususani kwa mkoa wa Arusha.
  8. JamiiForums Tanzania Kilimo chenye viashiria vya faida kubwa

    Habarini wana jamvi, ninapenda kuwashirikisha jambo ambalo nililiona huko mkoani Iringa, wilaya ya Mufindi. Mwezi march mwaka huu 2021, nilienda kijijini kwetu huko mufindi, nikabahatika kumtembelea ndugu mmoja shambani kwake. Shamba lake la parachichi lenye ukubwa wa ekari 15, lakin sehemu...
  9. JamiiForums Tanzania Somo la uchumi (Economics) linapaswa kufundishwa kuanzia kidato cha kwanza kwa wanafunzi wa mchepuo wa biashara (Bookkeeping/Commerce)

    Habari zenu ndugu wa Jamii Forums. Kama ni kweli Tanzania inataka kuandaa wachumi na wataalam wazuri wa kutunza hesabu, sasa wakati umefika kwa wataalam wa elimu kuruhusu wadogo zetu wanaochukua mchepuo wa biashara (ECA) kuanza kusoma somo la uchumi (Economics) kuanzia kidato cha kwanza kama...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu kama kweli umedhamiria kuboresha mazingira ya biashara nchini futa utaratibu wa framework contracts kupitia GPSA

    Kumekuwa na utaratibu wa GPSA kutangaza framework contracts za kusupply bidhaa na huduma mbalimbali kwenye taasisi za umma kila mwaka. Kusema ukweli utaratibu huu hauna tija. Unaongeza ugumu na gharama katika kufanya biashara na serikali. Sisi wafanyabiashara tunapo fungua kampuni...
  11. JamiiForums Tanzania Ni muhimu shuleni likafundishwa somo la fedha na biashara kama hali ilivyo huku kitaa

    Uongo mbaya, shuleni mtu unaweza fika Form Six au chuo lakini kupambana na maisha mtaani mtu wa darasa la saba akakuacha mbali kabisa. Kama elimu haimfundishi mtu kupambana na maisha yake ina faida gani? Haiingii akilini mtu asome hadi form six miaka 13/14au hadi chuo miaka 16/17 halafu...
  12. JamiiForums Tanzania Nataka Nifanye hii Biashara, Wazoefu Tusaidiane

    Niaje wakuu.. Kuna Hii Biashara ya Vibanda vya Movie naona ina return nzuri asee.. 30K per Day kawaida sana. Nimeipenda kwani ina mtaji mdogo lakini pia ni ngumu kuleta Hasara na pia rahisi kufanya. Sasa mie nataka niweke Goli hilo liwe la kuuzia Movies, Miziki, vitu kama Flash na accessories...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Njoo tuwekeze kwenye biashara ya mkaa kijana mwenzenu sina mtaji

    Habari za kazi wakubwa Biashara ya mkaa Ni biashara ambayo inawez kukutoa kutoka sehemu moja kwenda nyingine ,hivo kwa fursa hyo napenda yeyote ambaye atakuwa vizuri tuwekeze pamoja katika mchanganuo huu lakin kwa upande wangu nitawekeza nguvu zaidi (yaani Sina mtaji). Update: Biashara yetu...
  14. JamiiForums Tanzania Kabati la biashara la vioo nauza kwa laki moja

    Kabati zuri kabisa la kuuzia chipsi lina portion tatu na vioo safi naliuza kwa being ya laki moja tu. Limetumika wiki mbili tu. Nipo mbezi beach sala sala. Atakae hitaji anicheki 0679478758 au 0744069243. Karibuni.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ajira za Ualimu: Je, Masomo ya biashara hayafundishwi mashuleni?

    Ajira za Ualimu zimetangazwa na Vijana wengi wameanza kuchangamkia Ajira ili waende kulitumikia Taifa na kuendeleza taaluma zao, lakini Walimu waliopewa kipaumbele ni Walimu wa Sayansi, Hesabu na Mengine Kidogo. Ila Walimu wa Masomo ya biashara yaani Book Keeping na Commerce wametengwa kabisa...
  16. JamiiForums Tanzania Uzi Maalumu wa Vitabu vya maendeleo binafsi (Personal Development)

    Jukumu letu kubwa ni kuwa bora leo zaidi ya tulivyokuwa jana. Njia pekee ya kuwa bora ni kujifunza kupitia usomaji wa vitabu. Vipo vitabu vya aina nyingi ambavyo vinaweza kukupa maarifa mbalimbali. Lakini vitabu vya maendeleo binafsi (personal development) vinakupa maarifa, mbinu na hamasa ya...
  17. JamiiForums Tanzania Tengeneza Urafiki na watu wanaofanya biashara unayoifanya au utakayotaka kuifanya "utafanikiwa"

    Kufanya biashara kila mtu anaweza ila shida inakuja kwenye kudumu katika biashara mtu anayofanya na si tu kudumu ila kufanikiwa katika biashara aliyodumu akiifanya. Watu wengi ni wafanyabiashara ila ni wale watu shika hiki acha shika kile acha (mapepe) kuna mtu anafungua biashara ila hana...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mbegu, mayai ya uzazi biashara inayokua kwa kasi Kenya

    Miaka michache iliyopita kununua na kuuza mbegu na mayai ya uzazi lilikuwa jambo lisilofahamika nchini Kenya. Kenya. Miaka michache iliyopita kununua na kuuza mbegu na mayai ya uzazi lilikuwa jambo lisilofahamika nchini Kenya. Ila kwa sasa imekuwa biashara inayokua kwa kasi kwa wenza...
  19. JamiiForums Tanzania Mafanikio ndani ya biashara ya dhahabu

    Poleni na mfungo ndugu zangu waislam kaka zangu, dada zangu, na wengine wenye umri kama wangu yaani below 25 niulizeni ndugu yenu hapa kijana mwenzenu. Niulize chochote kuhusu hii biashara nitakujibu. Chochote kinachokutatiza nitakujibu. Karibuni kwenye uwanja wa madini msiogope niulize...
  20. JamiiForums Tanzania Nimeamua rasmi kufunga biashara

    Yani nimepata kahela kidogo baada ya kuachishwa kazi nikasema ngoja nianzishe kibiashara tena cha mtaji wa million mbili leo hii watu wa wamanispaa wamenikamata wanataka nilipe faini ya laki nne na nusu na biashara yenyewe kila siku nalala tu ofisini. Kwa anayehitaji nimuuzie biashara ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…