biashara

  1. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Asha-Rose Migiro kuwa Balozi nchini Uingereza

    ASHA Rose Migiro, aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), muda wowote kuanzia sasa, atatangazwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uingereza. Taarifa za ndani kutoka katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa zinaeleza kuwa, jina la Dk...
  2. F

    JamiiForums Tanzania FURSA: Biashara ya playstations/games Kariakoo

    Hello fellas. Kuna fursa ya biashara ya playstations/games Watu wengi wamekuwa wakiuziwa games kwa bei ghali sana pia wakiuziwa mashine ambazo sio imara. Kuna mahali Kariakoo wanauza games kwa bei nzuri na mashine zao imara. Ninachopenda toka kwao wanauza games original na wanazo mashine...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania na Marekani kuimarisha ushirikiano

    Marekani imesema itaendeleza kushirikiana na Tanzania katika maeneo mbalimbali ikiwemo Sekta ya Afya. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayeshughulikia Siasa, Balozi Victoria Nuland leo Agosti 04, 2021 Akizungumza na Rais Samia Suluhu Hassan, Balozi Nuland pia amesema...
  4. JamiiForums Tanzania Karibu tufanye biashara ya mazao mbalimbali kutoka Rungwe, Mbeya

    Habari wanna JF. Sisi n wasambazaji wa mazao mbalimbali kwaajili ya biashara sehemu mbalimbali tz bara, tuliamua kufanya hii kazi ili kuwarahisishia wafanya biashara mbalimbali kujipatia mazao wanayoyahitaji kwaajili ya biashara zao yanayopatikana huku RUNGWE mbeya kwagharama nafuu sana tena...
  5. JamiiForums Tanzania Agosti 1, 1838 biashara ya utumwa ilihitimishwa rasmi katika nchi za Jumuiya ya Madola

    It’s nearing midnight, and in a few moments it will finally be August 1, 1838. By law, this will mark the end of slavery in the British Empire. In Jamaica - a British sugar growing colony - a Baptist congregation has been waiting expectantly all night. The clock ticks down to midnight, and in...
  6. JamiiForums Tanzania Biashara ya viatu vya kimasai mkoa wa Singida

    Jamani naombeni msaada wa jinsi soko la viatu vya kimasai mkoa wa Singida kwa mfanyabiasha anayeanza
  7. JamiiForums Tanzania Biashara ya ukahaba ni kaa la moto Dar

    Licha ya juhudi zilizowahi kufanywa na viongozi wa Jiji la Dar es Salaam kudhibiti biashara ya ukahaba na uzururaji jijini humo, shughuli hiyo inaendelea kama kawaida, Mwananchi limebaini. Baadhi ya viongozi waliowahi kuongoza Dar es Salaam, akiwemo Paul Makonda walianzisha kampeni za kupambana...
  8. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kupata tax clearance certificate ni tatizo

    Hii nchi mazingira ya biashara bado ni magumu sana. TRA bado ni kikwazo sana kwenye mazingira bora ya kufanya biashara Tanzania, jamaa wana ukadiriaji wa kukomoa vile na bila kuwekeza kwenye ujanja janja huwezo toboa. Nimefuatilia certficate kwa ajili ya biashara yangu, nimepata usumbufu sana...
  9. JamiiForums Tanzania SoC01 Unavyoweza kufanya biashara bila mtaji

    Picha na mtandao Usuli Biashara ni kitendo cha kubadilishana huduma au mali kwa fedha au huduma kwa huduma. Kwa kawaida kumekuwa na dhana kuwa ili mtu aweze kuanzisha biashara yeyote nilazima awe na mtaji au fedha ya kuanzishia biashara hiyo. Jambo hili limekuwa gumu sana kwa watu hasa...
  10. N

    JamiiForums Tanzania SoC01 Sababu zinachangia kufa kwa biashara za vijana wengi

    Utangulizi Binafsi nafurahi kuona vijana wengi wakike na wakiume wakijiongeza kiuchumi kwa kujiunga na ujasiriamali. Wameichagua moja ya njia inayoweza kutumika kupunguza tatizo la ukosefu wa ajira nchini. Japo sio wote watapendezwa na uthubutu na mafanikio yao lakini bila kujari kufahamiana...
  11. JamiiForums Tanzania Leo tunaadhimisha Siku ya Kupinga Biashara Haramu ya Usafirishaji wa Binadamu Duniani

    LEO Julai 30, 2021 Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) inaungana na wadau wote ulimwenguni kuadhimisha Siku ya Kupinga Biashara Haramu ya Usafirishaji wa Binadamu Duniani. Siku hii ilipitishwa na Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Novemba 15, 2000 kupitia Azimio Na. 55/25, na ilianza...
  12. JamiiForums Tanzania SOFTWARE Adiuta Biz Assistant - Programu ya Usimamizi wa Biashara zako

    Maelezo Kwa Kiswahili Habari njema kwa wafanyabiashara mliokuwa mnapata changamoto juu ya namna bora ya kusimamia biashara zenu. Adiuta Business Assistant ni Mfumo unaokusaidia kusimamia fedha za biashara yako kwa kukuwezesha kujua mapato, matumizi, mali na madeni ya biashara yako. Iwe ni...
  13. JamiiForums Tanzania Biashara ndogo za chakula zinazoweza kuanzishwa kwa mtaji mdogo kabisa

    1 Chipsi. Mtaji ni mdogo hapa unaeza anza na ndoo moja ya viazi, mafuta lita 2 vyombo vya kupikia na vyombo vya kuuzia bila kisahau genge ama banda la kupikia na kuuzia. 2 Sambusa. Mapishi ya sambusa pia ni biashara nyingine isiyohitaji mtaji mkubwa. 3 Maandazi. Biashara ya kuuza mandazi...
  14. JamiiForums Tanzania Vijana na mitaji; Nyie mnatafutaje hiyo mitaji?

    Jambo jambo waungwana. tunaanza ni siku ya tatu inafika sina hela mfukoni kila ninaye mtangazia shida yangu naye ananipa yake kichwa kinaniuma nifanye nini na kuiba ni kitu ambacho sikitaki. aisee mimi kama kijana mpaka sasa nimeshafanya kazi kama muajiriwa katika taasisi fulani maisha yalikuwa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania LHRC - Uzinduzi wa report ya haki za binadamu na biashara 2020/2021

    UZINDUZI WA REPORT YA HAKI ZA BINADAMU NA BIASHARA 2020/2021 Legal and Human Rights Centre (LHRC) on 29th July, 2021, launched the Tanzania Human Rights and Business Report that provides the status of human rights in the business field in Tanzania Mainland in 2020. This is progressive report...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo kuhusu masoko ya Machinga

    Habari za majukumu ndugu zangu wa JamiiForums kwanza kabisa napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa ajili ya nguvu na afya tele na jinsi anavyo zidi kutupigani kwenye kanga hili la Covid 19 au UVIKO 19 wimbi la Tatu Pili nitoe pongezi kwa serikali ya Awamu ya Sita chini ya Mheshimiwa Rais Samia H...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini vyombo vya habari kama Televisheni na Redio za Tanzania havina habari za biashara

    Habari za Biashara zinawafungua wananchi wakiwemo wakulima, wafanyabiashara na wafanyakazi juu ya mwenendo wa masoko. Sasa hapa Tanzania je ni kwanini hakuna kituo cha Televisheni au Redio chenye Habari za mashiko za Biashara kama vile Mwenendo wa Masoko ya Hisa ya Tanzania na Afrika Mashariki...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu biashara ya Vanilla

    Wadau Naomba kujua ukweli kuhusu biashara ya Vanilla ambayo inatangazwa sana na jamaa wa Vanilla International wa Vanilla Village wa kule Njombe. Kwa mahesabu ambayo wamenipa naona faida yake ni mamilioni ya shilingi kwa mfanio ukiwekeza 10m faida yake kwa mwaka huo uikshavuna na kuuza...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Hatua ya BOT kuhakikisha riba inayotozwa na mabenki inashuka, inahusu na riba ya mkopo ya wafanyakazi itayotolewa na Mabenki ya Biashara?

    Nimesoma taarifa ya BOT inayoongelea kushusha riba kwa wakopaji katika mabenki ya kibiashara lakini nimeshindwa kuelewa kama punguzo hilo litagusa mikopo inayotolewa na mabenki kwa wafanyakazi Nauliza hivi kwasababu taarifa ya BOT inaongelea punguzo kwa sekta binafs pamoja na sekta ya...
  20. JamiiForums Tanzania Kipi kati ya hivi kina nafasi kubwa kukutoa kimaisha?

    Habarini wana JF, Naomba kuuliza kati ya hivi vitu vitatu, kipi kina nafasi kibwa ya kukutoa kimaisha? (1) KUAJIRIWA (2) KILIMO (3) BIASHARA
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…