biashara

  1. JamiiForums Tanzania Sababu Kubwa Inayopelekea Biashara Nyingi Mpya Kushindwa.

    Rafiki yangu mpendwa, Bill Gates ajaye hataanzisha Microsoft. Mark Zuckerberg ajaye hataanzisha Facebook. Elon Musk ajaye hataanzisha Tesla. Na Bakhresa ajaye hataanzisha Azam. Lakini ni vitu gani ambavyo watu wapo ‘bize’ kufanya? Kuiga wale waliofanikiwa, kufanya kama walivyofanya wao wakiona...
  2. JamiiForums Tanzania Ni kuhusu biashara ya asari kenya

    Wakuu nawasarimu..naomba ushauli wenu...nataka kuanza biashara ya asari kutoa tanzania kupeleka kenya,nasikia inalipa sana.sasa humu kuna watu wazoefu wa hizi biashara naomba mnishauli.
  3. JamiiForums Tanzania Marekani: Tume ya Biashara yaitaka Facebook iuze WhatsApp na Instagram

    Tume ya Biashara ya Marekani ambayo inahusika na kudhibiti ushindani wa kibiashara imefungua mashtaka dhidi ya Facebook kwa kujimilikisha (Monopolize) soko la mtandao kinyume cha sheria. Shauri hilo limeitaka Facebook iuze Instagram na WhatsApp ambapo awali shauri hilo lilitupiliwa mbali na...
  4. JamiiForums Tanzania INAUZWA Kwa wanaotaka kufanya biashara ya madini, kitabu kinapatikana

  5. N

    JamiiForums Tanzania Biashara ya hoteli (mgahawa)

    Habari wadau napata changamoto moja kwa wahudumu wangu wa mgahawa kwa muda mahesabu baada ya kuwahudia wateja ukifika mda wamahesabu. Je ni njia gani rahisi naweza kutumia ili nisisumbuane nao
  6. JamiiForums Tanzania Biashara gani halali yenye faida ya haraka within 1 week return?

    Habari yako Kijana, Baba, Mama na Dada mwenye haiba ya Upambanaji na mwenye kuhakikisha haukai pasipo kufanya kitu. Moja kwa moja twende kwenye Mada husika natamani kukusanya hoja na mitazamo ya watu waliofanya vitu tofauti tofauti iwe ni Biashara au aina yeyote ya kitu kinachoweza kutengeneza...
  7. JamiiForums Tanzania Nafikiria kuwekeza Zanzibar

    Habari mdau! Nina Tamani sana kuwekeza Zanzibar. Nahitaji mawazo na ushauri kwa waoifaham vizuri. Pros and Cons Upatikanaji ardhi(beach Au inland) Service Demands Challenges. Nitashukuru sana.
  8. JamiiForums Tanzania SoC01 Human Trafficking: Biashara ya Binadamu - Hali inatisha sasa! - NAFICHUA, NJOO UFICHUE

    Habarini, Leo nazungumza juu ya biashara haramu ya binadamu (human trafficking) naielezea, lengo kuu ni wote tuifahamu tujilinde na tulinde ndugu zetu. Ndio maana naomba sana kama una mchango wa mawazo, uzoefu au mifano halisi utushirikishe ili pamoja tulinde wapendwa wetu. Human trafficking...
  9. JamiiForums Tanzania Elimu ya fedha ambayo BoT wanapaswa kuifahamu

    CASH IS NOT THE KING Najua wengi ni ngumu sana kuamini hiki ninachoenda kukiandika lakini sikuzote ukweli haufichiki na hata ambao wataamini naamini watashangaa sana, ukweli ni kuwa dunia ipo speed sana na kama bado hujui kinachoendelea basi nitaenda kuweka wazi kila kitu bila uwoga kuhusu...
  10. JamiiForums Tanzania SoC01 Nafasi za biashara zipo nyingi lakini tumeshindwa kufungua macho na kuziona

    Katika mawazo ya biashara ya kufanya, weka mawazo yako katika kutoa huduma katika jamii inayokuzunguka. Mawazo yako yakijikita hapa ni rahisi kugundua kitu kinachohitajika sana katika jamii yako. Fikiria jinsi utakavyozalisha kwa wingi bidhaa ile itakavyo okoa maisha au usumbufu katika jamii...
  11. JamiiForums Tanzania Tofauti ya kuingiza pesa kati ya tajiri na masikini

    Unajua nini!, bado pesa ipo nyingi katika nchi yetu hata kama imekuwa ngumu kiasi gani lakin ukweli ipo. Pesa ipo kila sehemu, Serikali ina pesa, benki zina pesa, makampuni yana pesa,migahawa na mpaka mama ntilie wana pesa hata kama ni ndogo, wauza biashara ndogo ndogo mpaka wenye biashara kubwa...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kutafsiri movie za Hollywood kwa sound dubbing kama wafanyavyo Azam two

    Habari wanajamii. Mwaka jana mwezi wa Desemba nilikuwa naangalia filamu iliyotafsiriwa na Ahmada Abdulrahman maarufu kama Dj Mark nikajiuliza inashindikana nini kuingiza sauti za Kiswahili kama wanavyofanya Azam tv kwenye tamthilia zao kama Sultan, Jamai raja na Kufli. Jibu ni kwamba gharama ya...
  13. H

    JamiiForums Tanzania SoC01 Nini kifanyike kuchochea maendeleo?

    Maendeleo ni chachu ya kila mtanzania hapa nchini ikiwemo maendeleo kwenye nyanja mbalimbali za kiuchumi, biashara, utawala Bora, uwajibikaji, afya, haki za binaadamu, demokrasia na kadhalika. UCHUMI NA BIASHARA TANZANIA. Ni wazi kua uchumi wetu Tanzania ni uchumi wa kati kwa mujibu wa takwimu...
  14. JamiiForums Tanzania Biashara Zimestuck na Hali ya uchumi si nzuri...

    Hali ya biashara sio nzuri kabisa...nimeona vitu hivi nikajifikiria sana 1.watu wengi sana wanafungua biashara then soon wanafunga,biashara nyingi zinaigwa 2. biashara ya daladala zimedoda sana mida ya saa tatu hadi saa tisa 3.ugonjwa umechangia sana...watu hawatoki hovyo, nahisi kama...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Don't rock the boat. Biashara na uchumi vitayumba

    Kwanza nina declare position, Mimi ni mwana CCM. Tena ni mfanya biashara. Zaidi ya hapo nina muunga mkono Mama Samia. Haya matukio ya kisiasa hivi karibuni kibiashara na hatimaye kiuchumi yameleta ukakasi kidogo. Nasema hivi kwa experience ya yaliyonikuta hivi karibuni. Nilipata ahueni sana...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Nina Mil 30, nifanye biashara gani kurudisha pesa na kupata faida ndani ya mwezi?

    Wadau, salaaam? Nina 30m, nataka kuingiza katika biashara ambayo itanirudishia hiyo pesa ndani ya mwezi na kunipata faida juu. Ushauri pls..
  17. JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu na biashara ya majeneza

    Habarini wakuu, huu uzi kuna member anaitwa Mbwa dume nilimuandikia kama PM ila naona bado sijampata maana alikujaga na uzi wake wa kutangaza majeneza kipindi cha nyuma. Kwa sababu bado sijampata na mimi nna shida .. ningeomba kusaidiwa baadhi ya taarifa kama ifuatavo kwa yoyote mwenye kujua...
  18. JamiiForums Tanzania WAZO LA BIASHARA : Njoo uwekeze katika wazo hili la biashara linaloenda na wakati wa kisasa uendeshaji wake ni rahisi sana

    Habari Mimi ni mtaalamu wa masuala ya I.T Nimefanikiwa kutengeneza mobile apps za food delivery kama ambavyo ilivyokuwa inafanya kazi jumiafood au ubereats Hapa kunakuwa na apps 3 ambazo ni 1.application ya mteja anaye order chakula 2.application ya mmiliki wa restaurant ambaye anakuwa...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu biashara ya kobe

    Nina Kobe lakini sifaham biashara yake ntaipata wapi. Inawezkana. Poor connection niliokua nayo. Kam kuna connection za kuuza kobe tujuzaje au biashara hizi ni za nadharua
  20. JamiiForums Tanzania Ushauri: Nipo Wilaya ya Ilemela Mwanza, kwa mtaji mdogo naweza fanya biashara gani?

    Wakuu Salamu kwenu Nipo Wilaya ya Ilemela kata ya Shibula katika Jiji la Mwanza Sasa Nina laki 5 (500,000/-) je hii naweza kufungua biashara gani ambayo itanipa faida fresh na haitakuwa na usumbufu usumbufu Nahitaji ushauri wenu na mawazo yenu hasa kutoka kwa wazoefu wa biashara. Asante
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…