biashara

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma ya Fumigation kuua wadudu

    Habari wadau. Natoa huduma za kuuwa wadudu/fumigation,kwa kupulizia madawa . Napatikana dar es salaam Tunafanya majumbani maofisi na sehemu zingine zozote, Kwa upande wa Bei zetu ,huwa tunaangalia na sehemu husika nna matatizo yaliyopo Kisha tunatoa Bei kulingana . Karibuni mniunge mkono.
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania yaridhia utekelezaji wa mkataba wa uanzishwaji wa eneo huru la biashara Afrika (AfCAFTA)

    Kazi iendelee! ========= BUNGE LAKUBALI KUINGIA SOKO LA PAMOJA LA AFRIKA Bunge la Tanzania limekubali kuingia katika Makubaliano ya kuanzisha Soko la Pamoja la Afrika Maamuzo hayo yamefanyika Septemba 9, 2021 bungeni Dodoma Waziri wa Uwekezaji, Dkt. Kitila Mkumbo amesema Tanzania inaingia...
  3. B

    JamiiForums Tanzania SoC01 Fahamu fursa ya kutumia bussiness whatsapp kufanya biashara

    nawasalimu wote katika jukwaa hili la JamiiForum Nitazungumzia bussiness whatsapp kama nyanja muhimu ya kujiingizia kipato Mtandao wa whatsapp umekuwa ukipata umaarufu kila kukicha kwasababu unakua kwa kasi kila siku Kutoka kwenye status za kuandika mpaka status za picha na video. Kutoka...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ni lini serikali itaanza kukusanya mapato yatokanayo na biashara kongwe ya ukahaba?

    Nilimsikiza mama Samia akiwaambia wananchi wa Kawe kuwa wahisani wamepunguza misaada na kwahiyo kwa sasa lazima tubanane sisi kwa sisi humuhumu ndani ya nchi. Kwa namna nyingine ni kama mama aliamua kuwaelezea wananchi wake ukweli kuwa hizi tozo hazitakoma hivi karibuni. Mimi naishauri...
  5. JamiiForums Tanzania Biashara ya Giza kwenye Usajili wa Taasisi za Dini

    Kuna mambo hii nchi ukitafakari sn unaweza kukosa majibu. Taasisi husika zinazosajili institution nyeti kama za Dini Ni vijiwe vya kupigia hela tu, waziri yupo miaka nenda Rudi, msajili yupo nk. Ukienda pale kwa msajili wa Taasisi hizo kwanza unakutana na majimama fulani yanakuchanganya kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Nani anayesimamia mfumo wa afya unaogeuka kuwa biashara?

    Maono yangu yanaonesha kuwa Huduma za afya zinaelekea kuwa biashara na sio huduma. Nani anayesimamia mabadiliko haya ili yasituathiri miaka michache ijayo? Sijasema tuwazuie wafanyabiashara kufanya biashara hii lakini ni nani anayehakikisha hatuingii kwenye majanga biashara hii ya tiba kama...
  7. JamiiForums Tanzania Ukiona wote mnafanya biashara inayofanana sehemu moja kubali haya...

    Hizi biashara zetu ijalishi ni biashara gani! Ila biashara ukiona mnafanya zinafanana na wote mpo eneo moja au soko lenu lipo sehemu mmoja, kubali haya: • Chuki • Wivu wa wateja, masoko, kuuza • Ushirikina • Kuchongeana kwenye taasisi TRA au idara mbalimbali • Fitina za kibiashara nyingi kama...
  8. JamiiForums Tanzania Nauza Banda la biashara pamoja na bidhaa

    Ni banda la chuma ambalo lina ukubwa wa futi 8 kwa 6. Unaweza kuendelea kufanya biashara hapohapo au uhamishe, kwasasa ni duka/kibanda cha bidhaa za nyumbani pamoja na genge(meza za genge zipo) Mali zilipo ndani Mizani Bidhaa Kreti za soda Location: Ubungo Tanesco Bei 1.65mil WhatsApp/Call...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tunataka Mwanza iwe kitovu cha biashara nchi za maziwa makuu

    Rais Samia: Tunataka Mwanza iwe kitovu cha biashara nchi za maziwa makuu, lazima tuiendeleze Mwanza iwe kitovu majirani wasitupite. Yale yote yaliyopangwa na serikali ya Mkoa wafuateni nayo, Serikali kuu tuko nyuma yenu tunakwenda kumaliza shida zilizobakia. Najua kuna ahadi ya mpendwa wetu...
  10. JamiiForums Tanzania Mbeya: Watatu wakamatwa kwa kufanya Biashara ya kusafirisha Watoto wakafanye kazi za Majumbani

    Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kuwasafirisha watoto wenye umri wa miaka 10 na kuwapeleka kutumikishwa kazi majumbani, kilimo na ufugaji katika maeneo mbalimbali. Kamanda wa Polisi mkoani Mbeya, Urlich Matei amesema leo Septemba 7, 2021 wakati akizungumza...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Fahamu siri kubwa na faida ya DIGITAL MARKETING katika biashara yako

    MASOKO YA KIDIGITAL I(digital marketing) ni nini? MASOKO KWA NJIA YA KIDIGITALI ni matumizi ya mtandao yaliyoanza kuibuka kuanzia miaka ya 90 mpaka 2000 yaliyokuwa na lengo la kuendeleza shughuli za kunadi masoko kwa uuzaji bidhaa mitandaoni/ na services (shughuli) kwa kutumia vifaa vya...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Elimu juu ya Biashara ya Vitunguu

    Habari za asubuhi ndugu zangu. Kutokana na kukosekana kwa ajira. Nataka kujikita katika biashara ya Vitunguu Sokoni. Nataka kununua kutoka mkoani na kuja kuuza Dar es salaam sokoni. Naomba kuelimishwa utaratibu wa kuuza bidhaa sokoni kwa wale waliowahi kufanya biashara sokoni. Lakini pia...
  13. JamiiForums Tanzania Nawaza kufanya Biashara ya maziwa kutoka Kenya (Brookside)

    Hapa majuzi nilirudi Tanzania (huwa nakaa Nairobi Utawala) nilienda Arusha pamoja Singida, sasa nilivyofika sehemu hizo nikawa natafuta maziwa fresh madukani, nilizunguka sana hadi kuyapata na niliyapata kwa bei kubwa sana nikilinganisha price ya Nairobi So nikaja kugundua Nairobi wana maziwa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta mshirika katika biashara

    Habari wapendwa, Mimi ni mwanamke ambaye natafuta mshirika katika biashara ya mgahawa wa chakula na vinywaji, anaweza kuwa wa kike au kiume ila awe anajitambua na kuelewa maisha yanvyokwenda. Pia awe mwaminifu na mchapakazi anaeishi Dar-es-salaam.Eneo la biashara ni mikocheni. Nina masters in...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi gani naweza kupata mkopo wa biashara?

    Naomba mwenye ufafanuzi wa namna ya kupata mkopo kuanzia kiwango cha 10m na kuendelea wa biashara na riba yake per one year anisaidie au anipe ufafanuzi ili niweze angalia kama naweza kufanikiwa kuongeza mtaji
  16. JamiiForums Tanzania Utalii kitaifa hauhitaji vivutio vingi na matangazo; unahitaji historia, siasa, muingiliano, biashara na miondombinu

    Mataifa yanayofanya vizuri na kuongoza katika utalii duniani ni pamoja na; Ufaransa, Hispania, Marekani, China, Italia, Uturuki, Mexico, Ujerumani, Uingereza. Kwa Africa ni South Africa, Misri, Morocco, Algeria, Zimbabwe, Mozambique, Ivory Coast, Kenya na Botswana. Ukiyatazama mataifa haya kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Wabunge tusaidieni kuiuliza serikali ni lini itaruhusu mfumo wa kupokea pesa wa biashara za mitandaoni wa Paypal?

    Dunia ya sasa biashara za mitandaoni ni kubwa mno na hazina mipaka Waweza uza chochote mitandaoni Njia ya malipo ya haraka ya kupokea pesa mitandaoni ni njia ya Paypal ikiruhusiwa itafungua ajira nyingi mno Wabunge tunaomba mtusaidie kwa hili kutuulizia bungeni
  18. M

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE Tumia Mfumo(System/Erp) moja kuendesha Biashara yako(Odoo Erp)

    Hapo zamani, TAASISI au COMPANY zilikuwa zinatumia mifumo(systems) nyingi (zaidi ya mmoja) katika kuratibu shughuli za kila siku. Kwa Mfano Taasisi au Kampuni moja yenye departments tano(5) (Finance, Human resources, Sales, Marketing, Procurement e.t.c) lazima iwe na mifumo(systems) tano(5)...
  19. JamiiForums Tanzania Hawa watu wana majukumu gani?

    Naomba kufahamishwa tofauti kati ya majukumu ya Transportation manager na Tracking Officer kwenye kampuni za usafirishaji mizigo.
  20. JamiiForums Tanzania Changamoto katika biashara ya nyumba ya wageni (Guest House)

    Nyumba ya wageni ikiwa kwenye location nzuri, penye shughuli za kibiashara, ni biashara iitakayo kuingizia pesa ya kula hata na ya ada ya watoto. Sikuhizi watu wanapenda vyumba ensuite, hivyo uwe na uhakika wa kupata maji. Maji yakikosekana fanya jitihada ya kujaza matank ya akiba. Kuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…